afisa ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mgogoro wa Ardhi Lindi: Wananchi Muhimbili Juu tunadhulumiwa maeneo yetu bila kupata msaada wowote

    Habari, Wananchi wa Mtaa wa Muhimbili Juu, Kata ya Rasibula, Manispaa ya Lindi, tunataka kunyang’anywa ardhi yetu katika mgogoro ambao umedumu tangu mwaka 2022. Mtu anayejulikana kwa jina la Kahawa kavamia maeneo yetu. Katika utatuzi wa awali, ilipendekezwa kuwa atufidie wananchi au...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kazi za Afisa Ardhi daraja la II zimetangazwa na degree ya Sheria imetajwa kama moja taaluma zinazohitajika lakini kwenye Ajira Portal huwezi omba

  3. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Afisa Ardhi auawa Kilombero kisa mgogoro wa Ardhi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linachunguza mauaji ya Afisa Ardhi wa Wilaya ya Kilombero, Zakaria Rashid Malika (57), aliyefariki baada ya kuvamiwa nyumbani kwake na watu wasiojulikana. Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, tukio hilo lilitokea usiku wa Julai 19, 2026 katika Kitongoji cha Kapolo...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi aagiza kusimamishwa kazi kwa afisa ardhi Handeni kwa kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagiza kusimamishwa kazi kwa Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Mji wa Handeni kutokana na kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi katika eneo hilo. Ametoa agizo hilo Februari 20, 2025, wakati wa ziara ya Waziri Ndejembi katika...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Korogwe: Waziri Ndejembi amng’oa Afisa Ardhi kwa kusababisha migogoro

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, amemuondoa kwenye nafasi yake Afisa Ardhi wa Wilaya ya Korogwe, Nyambega Kichele, kwa kutokufuata utaratibu wa kutoa hati za ardhi na kusababisha migogoro. Waziri Ndejembi amechukua hatua hiyo wakati wa ziara yake ya siku...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Afisa Ardhi Kanidhulumu, naweza kumfukuzisha kazi ila nikikumbuka watoto wake na mke wake nashindwa kuchukua hatua

    Ipo hivi, Nina mshikaji wangu ni Afisa Ardhi (sitaweza taja halmashauri yake) nimesoma naye chuo degree ya Sheria, mwenzangu alibahatika kuwa afisa ardhi. Alinipigia simu anataka simu kuwa Wana uwanja unafaa kwa uwekezaji wa kituo cha mafuta, niliwatuma vijana wangu wakauona ule uwanja , then...
  7. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje Afisa Ardhi apokee rushwa mbele ya Mkuu wa Mkoa na Rais Mwinyi?

    Katikati Hali ya kushangaza sna Jana mkuu wa mkoa wa Arusha bwana Paulo makonda aliwaamuru takukuru kumkamata afsa ardhi bwan mwakyola kwa kutuhuma za kupokea rushwa kiasi Cha shilingi milion tano mbele ya RC na mbele ya rais Mwinyi. Rc makondaa alisema "huyu bwan alivyo wa aajbu alipewa...
  8. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Dondoo Muhimu Kuhusu Upimaji Wa Shamba/Kiwanja Chako Hapa Tanzania

    Utangulizi. Idadi ya mipango miji na vijiji kina kitengo cha upimaji na ramani. Kitengo hiki kimepewa jukumu la;- ✓ Kupima ardhi na ✓ Kutayarisha ramani (survey plan) za miji na vijiji. Ramani zinazo tayarishwa ni hatua za kubuni, kutekeleza na kuratibu mipango ya maendeleo juu ya ardhi kwa...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Katavi: Afisa Ardhi ahukumiwa kwenda jela Miaka 2 kwa tuhuma za Rushwa

    Afisa Ardhi Msaidizi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda, Japhet Noberth MweziMpya, amehukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini ya TSH.200,000 kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya TSH. 70,000 Katika Hukumu hiyo ya shauri la jinai Na. CC. 90/2022 iliyotolewa Agosti 30, 2022 na Hakimu...
Back
Top Bottom