afrika kusin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali za mataifa ya Afrika ziendelee na mipango ya kuwaondoa raia wake nchini Afrika Kusini, kinacho endelea kinatisha

    Kushambuliwa kwa raia wa kigeni jijini Durban, Afrika Kusini, na kundi la takribani watu 50 kunaibua maswali kuhusu usalama wa wahamiaji nchini humo, hasa katika kipindi ambacho kumekuwa na maandamano dhidi ya wahamiaji katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo. Kwa miaka kadhaa, suala la wahamiaji...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Polisi Afrika Kusin kuanza uchunguzi wa kifo cha raia wa kigeni jimbo la Durban

    Polisi nchini Afrika Kusini wameanzisha uchunguzi wa mauaji ya raia wa kigeni aliyepigwa na kundi la watu hadi kufariki dunia katika eneo la katikati ya jiji la Durban, Ijumaa. Kwa mujibu wa taarifa za awali za polisi, tukio hilo lilitokea katika Mtaa wa Dr Pixley kaSeme wakati kundi la watu...
Back
Top Bottom