Polisi nchini Afrika Kusini wameanzisha uchunguzi wa mauaji ya raia wa kigeni aliyepigwa na kundi la watu hadi kufariki dunia katika eneo la katikati ya jiji la Durban, Ijumaa.
Kwa mujibu wa taarifa za awali za polisi, tukio hilo lilitokea katika Mtaa wa Dr Pixley kaSeme wakati kundi la watu...