Aina mpya ya Virusi vya COVID19 kutoka India na Uingereza imegunduliwa nchini Afrika Kusini, Wizara ya Afya imeeleza.
Visa 11 vya maambukizi ya aina ya Virusi vya B.1.1.7 (Uingereza) na visa 4 vya B.1.617.2 (India) vimegunduliwa katika majimbo ya Gauteng na Kwazulu-Natal, na waathirika wamekuwa...
Mimeona huku kwenye mtandao watu wengi wangependa kujua kuhusu nchi za Botswana na Afrika Kusini (South Africa).
Niulize chochote nitakujibu, nimeishi huku miaka 25 sasa na naahidi nitajaribu kusaidia.
Mabibi na mabwana kutokea Afrika Kusini, kuna habari za meli kuwasili huko ikiwa na mzigo wa hatari na wa kutosha kutokea India:
https://www.enca.com/news/vessel-india-docked-durban-crew-tests-positive-covid-19
Huu umewasili kwenye meli. Tena bila shaka kabla ya kutoka India walipimwa dhidi...
Wakuu leo naomba kuleta Story yangu ya kweli ya jinsi nilivyokwenda South Africa bila kuwa na ndugu kule wala mtu wa kunipokea.
Ukweli kuna wakati ilifika nilichoka sana maisha ya hapa nyumbani, ilikuwa Mwaka 2014, nilikuwa napitia changamoto nyingi za maisha hasa katika familia. Ukweli akili...
Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa amemteua Mohamed Dewji kuwa mshauri wake wa Masuala ya uwekezaji.
Mohamed dewji 'MO' atashiriki vikao vyote vinavyohusiana na uwekezaji na atakuwa miongoni mwa washauri wa Rais Ramaphosa kwa kipindi Cha miaka mitatu.
----
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika...
Ivermectin imekuwa ikitumiwa kutibu virusi vya corona katika Amerika Kusini lakini bado haijathibitishwa kwa matibabu.
Dawa ya Ivermectin, ambayo imewagusa wengi kama dawa yenye ufanisi kwa tiba ya virusi vya corona ingawa haijaidhinishwa kimatibabu, imekuwa kitovu cha makabiliano ya kisheria...
Kama mnakumbuka mwaka 2013 kwenye kifo cha Mandela, serikali ya Afrika Kusini ilileta mtafasiri wa Lugha anaeitwa Thamsanqa Jantjie ambae alitia fora kwa ishara za lugha ambazo hazipo Duniani.
Mtafasiri huyo aliletwa na chama tawala cha ANC kutafsiri lugha ya alama kwa viziwi ambapo alitafsiri...
Mwalimu mkuu wa shule moja nchini Afrika Kusini amesimamishwa kazi kwa madai ya kumlazimisha mwanafunzi kijana wa miaka 11 kutafuta simu kwenye shimo la choo.
Inadaiwa kwamba mwalimu huyo alimshukisha mwanafunzi huyo kwenye shimo la choo kwa kutumia kamba akimuahidi randi 200 sawa na dola 14...
Polisi nchini China na Afrika Kusini wamekamata maelfu ya dozi bandia za chanjo ya Covid-19 na kuwakamata wahusika, Polisi wa kimataifa, Interpol wameeleza.
Polisi wamewakamata watu 80 kwenye kiwanda nchini China kwa madai ya kutengeneza chanjo bandia , ambapo dozi 3,000 zilibainika tayari...
Afrika Kusini inatarajiwa kununua dozi za chanjo ya virusi vya corona ya Oxford-AstraZeneca kwa bei mara mbili na nusu zaidi ya nchi nyingi za Ulaya.
Afrika Kusini ndiyo nchi iliyoathirika zaidi na maambukizi ya COVID-19 barani Afrika, inatarajiwa kupokea dozi milioni 1.5 za virusi vya corona...
Unavyoenda nchi za watu ni vema ukajua watu wa nchi hizo wanawaonaje watanzania ili kujua mapema hali ilivyo na kama kuna matatizo ujue mapema jinsi ya kuyakwepa au kama ni positivity uijue mapema.
Kuna dogo hapa anataka kwenda huko kusoma na hatimae kuishi huko.
RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema kuwa kutoroka kwa Nabii wa Malawi na mke wake nchini humo ni jambo ambalo analifuatilia kwa karibu na ameahidi kuchukua hatua baada ya kupata taarifa za kina.
Nabii Shepherd Bushiri na mke wake Mary, wanakabiliwa na mashtaka ya ulaghai na...
Tunawaambie nyie watu wenye primitive mentality kuwa hakuna maendeleo yanayoweza kuhalalisha ukatili, unyanyasji, mauji na utesaji wa raia hata siku moja.
Serikali yoyote duniani ambayo viongozi wake wamekosa utu, haikubali mbinguni na dunia labda itakubaliwa na shetani tu.
Na msisahau...
Fugitive Malawian preacher turns himself in to police
Malawian preacher Shepherd Bushiri and his wife Mary have handed themselves over to police in their home country after skipping bail in South Africa.
The couple turned themselves in Malawi's capital, Lilongwe, on Wednesday morning...
Mchungaji maarufu barani Afrika, Bushiri ametoroka nchini Afrika kusini baada ya kuachiwa kwa dhamana mapema mwezi huu kwa kushtakiwa kwa utapeli na utakatishaji fedha.
Mchungaji Bushiri, ambaye amesema kuwa anataka kusafisha jina lake, amerejea katika nchi yake, Malawi, akiwa na mke wake Mary...
Nchi nyingi Duniani utangaza nakuweka wazi kampuni yakuzalisha vifaa na karatasi za kura na jamaa ni kampuni ya nje ya nchi husika vasi siku vifaa vinaingizwa nchini utangazwa na media uruhusiwa kuona mapokez kama tunavyopokea watalii au ndege zinaponunuliwa.
Pili mkataba wa tenda hiyo uwekwa...
Afrika Kusini ilitekeleza amri ya kutotoka nje tarehe tarehe 27 MachiImage caption: Afrika Kusini ilitekeleza amri ya kutotoka nje tarehe tarehe 27 Machi
Afrika Kusini, ambayo ilikuwa ni moja ya nchi zilizochukua hatua kali mapema zaidi duniani za kukabiliana na kusambaa ka virusi vya corona...
Shinikizo linaongezeka kwa Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa kuongeza kasi ya mabadiliko kwenye sekta za nishati na mawasiliano kwenye nchi hiyo inayoongoza kwenye uchumi wa viwanda barani Afrika baada ya ugonjwa kufuta ukuaji wa zaidi ya muongo mmoja.
Madhara ya Covid kwenye uchumi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.