Breaking: Mchezaji wa Orlando Pirates atimuliwa kwenye nyumba na kufilisiwa Mali zake alizoaziandika kwa jina la Mkewe.
Mchezajini wa Orlando Pirates Tendai Ndoro (36) amepoteza Mali zake zote kwa kufilisiwa baada ya kuachana na mkewe Thando Maseke ambaye ni raia wa Afrika kusini.
Taarifa...
Kesho Afrika kusini itafanya uchaguzi wa serikali za mitaa(LGE). Ushindani mkubwa ni kati ya ANC, DA na EFF .
Licha ya kuwa na utajiri mkubwa wa rasilimali Kama madini nchi hii ya bondeni mwa Afrika imekumbwa na wimbi kubwa la.
*Ukosefu wa ajira
*Umaskini
*...
Endeleeni kupika majungu kwa wivu wenu ila Wakenya wanapaa, tena sio ushirikina ila bidii na elimu bora....hehehehe
======
Vodacom Group has tapped Safaricom's chief corporate affairs officer Stephen Chege as its group chief external affairs officer.
The announcement was made by Safaricom...
MAHAKAMA ya Afrika Kusini imemhukumu kocha wa timu ya taifa ya Uganda, Milutin “Micho” Sredojevic kifungo cha miaka mitatu baada ya kukutwa na makossa mawili ya unyanyasaji wa kijinsia, alisema mwendesha mashtaka juzi Jumanne.
Micho aliripotiwa kufanya kosa hilo mwaka jana wakati alipokuwa...
Mchunguzi Mkuu kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mercy Manyalika ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu alivyochunguza na kubaini fedha za Chama cha Walimu Tanzania,(CWT) zilivyotumika kwenda kuangalia mpira wa kombe la dunia mwaka 2018.
Manyalika alieleza hayo...
Mahakama ya Juu zaidi imeamua kwamba aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Jacob Zuma ameshindwa katika azma yake ya kutaka kifungo chake cha miezi 15 kibadilishwe.
Mwezi Julai, Zuma aliomba Mahakama kutengua Hukumu dhidi yake akisema kifungo cha jela kitahatarisha Afya pamoja na maisha yake, hoja...
Rais Cyril Ramaphosa amesema Kanuni zilizowekwa kudhibiti mlipuko zitalegezwa kuanzia leo Septemba 13, 2021 kutokana na maambukizi kupungua.
Amesema japokuwa Wimbi la Tatu ambalo limechochewa na Kirusi cha Corona aina ya Delta halijaisha, Taifa hilo limeshuhudia maambukizi yakishuka katika wiki...
Japo Afrika Kusini balaa sana, wana vyuo sita kwa mkupuo, Nigeria viwili, Kenya na Uganda kimoja kila mmoja.
Chuo cha Nairobi kimekua namba 563 duniani, Makerere ya Uganda ikaambulia kwenye kundi la 600-800
Baada ya hapo mataifa mengine yote choka mbaya, Afrika bado tuna safari, elimu...
Afrika Kusini imesema haiwezi kuchukua wakimbizi kutoka Afghanistan licha ya ombi.
"Afrika Kusini tayari ni makazi ya idadi kubwa ya wakimbizi na imebanwa kushughulikia mahitaji yao," Idara ya Uhusiano wa Kimataifa ilisema katika taarifa yake.
Ilisema ilikuwa imeombwa kuchukua wakimbizi ambao...
JE WAJUA?
Ingawa madini ya Tanzanite hupatikana Tanzania pekee dunia nzima lakini hadi kufikia 2015 wauzaji wakubwa wa Tanzanite duniani walikuwa ni nchi ya Kenya🇰🇪 ikifuatiwa na nchi ya Afrika Kusini🇿🇦.
- Kufikia 2021 Tanzania🇹🇿 ni nchi inayoongoza duniani kwa uuzaji wa Tanzanite huku pato...
Kampuni ya Vifaa vya Kielektroniki ya Samsung imesema imezifungia runinga za kisasa (Smart TV) ambazo ziliibwa kufuatia ghasia zilizotokea baada ya aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Jacob Zuma, kuhukumiwa na kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15 gerezani.
Hukumu ya Zuma ilipelekea maandamano na...
Sote tunafahamu kuwa Afrika Kusini ndiyo nchi inayoongoza katika bara la Afrika katika huduma bora za afya na teknolojia ya afya.
Afrika Kusini, kwa takwimu rasmi, ndiyo inayoongoza katika maambukizi na vifo vinavyotokana na covid 19, japo kiuhalisia hatujui kama huo ndio ukweli wenyewe au ni...
Mfanyabiashara Yusuf Manji amerejea ughaibuni baada ya kukaa nchini kwa takribani mwezi mmoja huku akikumbana na misukosuko baada ya kukamatwa na kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na kisha kuachiwa kwa dhamana.
Taarifa zilizolifikia Mwananchi na kuthibitishwa na...
Yote ni aina ya muziki wa kiafrika kutoka mitaani wanakoishi Waafrika wa hali ya kawaida.
Amapiano nasikia inatokea mitaa kama Soweto, Katlehong, Vosloorus ama Mamelodi huko Afrika Kusini.
Tena ulionekana muziki wa watu wa mitaani. Lakini hatimaye huu mziki umekubalika na kuigwa na watu wa...
Mama Samia Suluhu Hassan Rais wetu mpendwa nasikitika leo kusema kuwa mpaka kufikia mwaka 2030 kama nguvu kubwa zaidi hazitatumika za kubadili mfumo mzima wa maisha yetu, nahofia vurugu tunazoziona hivi sasa huko Afrika ya Kusini zikitokea tutazishuhudia zikitokea hapa kwetu pia, tena kwa ukubwa...
Wachezaji wawili wa Afrika Kusini ambao wapo nchini Japan kushiriki mashindano ya Olimpiki wamethibitishwa kuwa na maambukizi ya virusi vya corona siku ya Jumamosi, wakitajwa kuwa washiriki wa kwanza wa mashindano hayo kupata maambukizi ya virusi vya corona wakiwa ndani ya Kijiji cha Olimpiki...
Vurugu zilizoibuka wiki iliyopita nchini Afrika Kusini zimemrudisha nyuma kimaisha Mtanzania Omari Juma, anayeishi na kufanya shughuli zake nchini humo.
Juma, aliyekuwa akimiliki studio na kiwanda cha kuchakata chupa za plastiki kwa kushirikiana na raia wa Cameroon, Alino Alino, amejikuta...
Watu 72 wamepoteza maisha nchini Afrika Kusini kufuatia ghasia zinazoendelea kushuhudiwa kati ya wafuasi wa Rais wa zamani wa nchi hiyo Jacob Zuma na maafisa wa usalama.
Kwa siku zipatazo tano, wafuasi wa Zuma ambaye anaendelea kutumikia kifungo chake cha miezi 15 jela, wamekuwa wakiandamana...
Habari Wana JF natumaini mpo njema,
Husika na kichwa hapo juu,
Wote tunaona yanayoendelea Huko bondeni Kwa madiba, Hivi wale ndugu zetu kwa zile akili zao sijui hata nisemaje maana imekua too much aisee.
Yaani katiba ya nchi inamuwajibisha Rais mstaafu Kwa Yale mambo aliyoyatenda akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.