Mamlaka za Mji wa Durban zinasema takriban watu 306 wamepoteza maisha katika mafuriko, huku zikionya kuwa watu wengi zaidi bado wanahofiwa kupotea
Mvua zilizonyesha kwa siku kadhaa zimesababisha maporomoko ya udongo na kusomba makazi ya watu. Idadi ya waliofariki inatarajiwa kuongezeka wakati...
Kesi ya ufisadi nchini Afrika Kusini inayomkabili Rais wa zamani Jacob Zuma imeahirishwa tena kusubiri matokeo ya rufaa ya kiongozi huyo wa zamani ya kutaka mwendesha mashtaka wa serikali aondolewe kwenye kesi hiyo.
Zuma hakuwepo katika Mahakama Kuu ya Pietermaritzburg kutokana na "dharura ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Simba Barbara Gonzalez amethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Bernard Morrison hawezi kuingia ndani ya ardhi ya Afrika Kusini kutokana na kuwa na kizuizi cha kuingia nchini humo.
Morrison kabla ya kujiunga na klabu za Yanga na Simba alishawahi kufanya kazi...
Huyu malema sasa amekiwasha kweli kweli na sijui itakuwaje, ila ki msingi ameyasema yaliyomo moyoni mwangu japo kuwa sifurahii kabisa masahibu wanayoyapata wa 'Ukraine' kwa ujuha wa rais wao!
Mamlaka ya afya ya Afrika Kusini ilisema Ijumaa kamba takriban dozi 100,000 za chanjo ya Pfizer ya COVID-19 ziko katika hatari ya kuharibiwa ifikapo mwishoni mwa mwezi huu kutokana na watu kutojitokeza kwa haraka kupokea chanjo.
Afrika Kusini imerekodi idadi kubwa ya maambukizi na vifo vya...
Kampuni ya kutengeneza chanjo ya Ujerumani BioNTech leo imetangaza mpango wa kupeleka vifaa vya kutengeneza chanjo zake barani Afrika.
Kampuni hiyo ambayo pamoja na kampuni kubwa ya madawa ya Pfizer ilitengeneza chanjo ya kwanza ya virusi vya corona iliyoidhinishwa na Umoja wa Ulaya na...
Kenya and South Africa have, for the longest time enjoyed a cordial relationship, from the time before the latter attained independence to date. As such, South Africa has become the destination of choice for many Kenyans looking for greener pastures.
From those searching for further education...
Polisi wa kijeshi nchini Uholanzi leo wameshangazwa kumkuta mtu aliyekuwa amejificha chini ya ndege kwenye eneo la tairi la mbele kuwa yuko salama.
Ndege hiyo ilisafiri kwa saa 11 kutokea Afrika mpaka Ulaya.
Ndege hiyo ya mizigo ilitokea Afrika Kusini na kutua Kenya kwa muda mfupi kabla ya...
Waziri wa kilimo ameandika kwenye ukurasa wake wa kijamii.
Kuwa maparachichi yaliyo enda kuuzwa nchini Afrika ya kusini kutokea Tanzania yamekataliwa na kutupwa kutokana na mapungufu ya ubora unao hitajika ikiwemo kuchumwa yakiwa bado machanga au hayaja komaa vizuri.
Je lawama apewe nani kati...
Simba na Puma katika mbuga ya kuhifadhia wanyamaporinchini Afrika Kusini huenda wameambukizwa virusi vya corona kutoka kwa wamiliki wao, kulingana na utafiti uliofanywa na wanasayansi katika chuo Kikuu cha Pretoria.
Wanasayansi hao wameonya kuhusu hatari ya kirusi kipya kutokea iwapo virusi...
Taifa hilo limeondoa marufuku ya watu kuwa nje kuanzia saa saa sita usiku hadi 10 alfajiri. Vilevile, mikusanyiko ya ndani haitakiwi kuzidi watu 1,000 na ya nje watu 2,000
Pia, Serikali imeashiria kuruhusu uuzaji wa pombe baada ya saa tano usiku, hatua inayotoa ahueni kwa Wafanyabiashara ambao...
Rais Cyril Ramaphosa anasema Hospitali Nchini humo zinaandaliwa kulaza wagonjwa zaidi hospitalini, wakati Kirusi cha Omicron kikiendelea kuenea na kupelekea Wimbi la Nne
Rais Ramaphosa anasema idadi ya maambukizi ya siku imeongezeka mara tano zaidi ya wiki iliyopita. Amewataka Wananchi kupata...
Habari zenu ndugu zangu, ama baada ya salam ningependa kujielekeza kwenye mada husika. Mimi ni mbongo ninaeishi hapa Afrika Kusini, kuna salon nimefungua, so nahitaji vinyozi watatu wenye sifa tatu.
1) sifa ya kwanza kinyozi awe na uzoefu wa kutosha wa kazi hii, na awe anajua kunyoa style...
Afrika Kusini imerekodi ongezeko kubwa la maambukizi ya virusi vya corona ambayo yameongezeka maradufu kote nchini humo tangu Jumatatu.
Maafisa wa afya wanasema aina mpya ya Omicron iliyogunduliwa inaweza kuwa inachochea kuongezeka, ingawa haijulikani wazi ni watu wangapi kati ya wenye...
Rwanda imetangaza kusitisha safari zake za ndege kwenda South Africa, Zambia na Zimbabwe na kurejesha masharti ya karantini ya siku 7 kwa wote wanaotoka kwenye Nchi hizi baada ya kirusi kipya hatari cha corona kugundulika South Africa wiki iliyopita.
Hadi pale kirusi cha Corona kitakapo tokomezwa inafahamika kuwa zitakuja variants hatari zaidi za kirusi hiki.
"Dhana kamili ya kuwa hakuna aliye salama hadi sote tuwe salama."
"Omicron" ndiyo iliyo variant mpya zaidi ikitokea Afrika Kusini.
Nchi kadhaa duniani zinachukua tahadhari kukizuia...
Mamlaka nchini Afrika Kusini zimeripoti kuwepo kwa aina mpya ya Virusi vya Corona, B.1.1.529, ambavyo ni tofauti na aina zingine za virusi vinavyofahamika.
Mkuu wa Kitengo cha Magonjwa ya Mlipuko nchini Afrika Kusini, Prof. Tulio de Oliveira amesema kuwa kirusi hicho kipya kina zaidi ya...
MJUE FREDERICK DE KLERK 1936-2021
Mkombozi wa Afrika Kusini
Najua wajua lakini acha wanaojua kidogo wajue zaidi.
Ninataka umjue rafiki wa Waafrika weusi kwenye kundi la weupe wachache, watawala fedhuri Makabulu (boers) wa Afrika kusini. Mtu huyo wa ajabu ni Frederick de Klerk rais wa mwisho...
FW de Klerk, rais wa zamani wa Afrika Kusini na mzungu wa mwisho kuiongoza nchi hiyo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85.
Bw de Klerk, ambaye pia alikuwa mhusika mkuu katika kipindi cha mpito cha taifa kuelekea demokrasia, alikuwa amepatikana na saratani mwaka huu, kulinagana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.