Binti mwenye umri wa miaka 17, mwanafunzi wa darasa la 12 katika shule ya Sekondari eneo hilo (jina limehifadhiwa) amesema kwamba walihudhuria sherehe katika klabu ya East London kwa sababu waliarifiwa kwamba iliandaliwa waigizaji mashuhuri
Anasema kwamba watu walipozidi kuongezeka, baadhi ya...
Afrika Kusini imeripoti kuwa na kisa cha kwanza cha Virusi vya Monkeypox, ikiungana na nchi nyingine 40 ambazo zimeripoti kuwa na virusi hivyo.
"Mgonjwa ana umri wa miaka 30, ni mwanaume kutoka Jiji la Johannesburg, hana historia ya kusafiri. Mchakato wa kumfuatilia unaendelea,” anasema Waziri...
“Kujiunga na Amazulu kwangu ni mafanikio makubwa kwani nimekuwa nikiitazama na kuifuatilia kwa muda mrefu. AmaZulu Football inajulikana sana kwetu Zambia kwa sababu watu wengi wanatazama PSL," kauli ya Rally Bwalya wakati akitambulishwa kuwa mchezaji wa Amazulu ya Afrika Kusini.
Timu hiyo...
Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi, yaliyosababishwa na mvua kubwa ya mwezi Aprili imefikia 461 huku watu 90 bado hawajulikani walipo miezi miwili baada ya mafuriko mabaya zaidi kuukumba mji wa Durban
Waziri Mkuu wa serikali ya jimbo la KwaZulu-Natal kusini...
Bondia wa Afrika Kusini Simiso Buthelezi amefariki dunia kufuatia pambano lake na Siphesihle Mntungwa lililofanyika siku ya Jumapili.
Pambano hilo la Buthelezi lilisimamishwa baada ya kuonekana Bondia huyo akimrushia ngumu za ovyo mpinzani wake baada ya kushambuliwa kwenye kamba ya ulingo...
Raia wamelaani shirika la ndege la Ireland Ryanair kwa sera yake ya wasafiri wa Uingereza kufanya majaribio kuthibitisha uraia wao kwa Kiafrikaan (lugha iliyokuwa ikitumiwa na wazungu) kati ya lugha 11 zinazotumiwa nchini humo na kuitaja kuwa ya kibaguzi.
Taarifa iliyotolewa na shirika hilo...
Picha: Kikosi cha Wachezaji wa Matiyasi FC
Klabu moja yenye maskani yake Limpopo katika kitengo cha chini cha mfumo wa soka nchini Afrika Kusini imefungiwa maisha baada ya kufunga mabao 59 katika mechi moja.
Timu ya Matiyasi FC iliyokuwa ikiwania kupanda Ligi ya Mkoa wa ABC Motsepe, iliichapa...
Air Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu Kenya Airways, Ethiopian airlines na Rwandair.
Mvua kubwa imetokea Afrika Kusini wikiendi hii na kusababisha mafuriko makubwa kwa wakazi wa maeneo ya Pwani ya Mashariki ambao wengi wao wamelazimika kuhamishwa katika makazi yao.
Mafuriko hayo yameharibu miundombinu mingi ikiwemo barabara, majengo, hasa maneo ya Durban. Uharibifu huo umetokea...
Kuna watu wanaopenda kulia lia hapa kwamba Tanzania imeikomboa Afrika. Mfahamu Mkenya kwa jina Professor Washington Okumu aliyeleta pande mbili pamoja na kuwezesha uchanguzi wa South Africa wa 1994 kufanyika. Mangosuthu Buthelezi, kiongozi wa watu wa kabila la Zulu alikuwa amekataa kushiriki...
Afrika Kusini imerekodi Maambukizi mapya 10,017 ikiwa ni mara ya kwanza Taifa hilo linaripoti Visa vipya zaidi ya 10,000 tangu Januari. Tayari Mamlaka zilishaonya kuhusu Wimbi la Tano la Maambukizi
Nchi hiyo imerekodi Visa na Vifo vingi zaidi barani Afrika, na Wataalamu wanakadiria Wimbi la...
Uhaba wa mafuta katika uwanja wa ndege wa OR Tambo wasababisha Safari 14 kuahirishwa na kuathiri zaidi ya abiria 3,000, huku mamlaka ikisema inajitahidi kukabiliana na uhaba huo.
Maafuriko ya Mwezi uliopita KwaZulu Natal yanatajwa kuharibu reli ambayo ndio miundombinu ya usambazaji mkuu wa...
Watu wawili wamepoteza maisha na askari mmoja kujeruhiwa vibaya kutokana na shambulio la risasi kutoka kwa mtu ambaye alipora bunduki kutoka kwa askari polisi Jijini Cape Town Nchini Afrika Kusini.
Polisi wamesema aliyefanya matukio hayo ni mwanaume mwenye umri wa miaka 40 ambaye alifyatua...
Labda wengi wenu hamkumbuki jinsi Steve Biko wa Afrika Kusini alivyouwawa na Jeshi katili la Afrika Kusini. Kwa kifupi basi, ni kwamba baada ya kupigwa sana kwa ajili ya harakati zake za Black Consciousness Movement , akiwa na majeraha, Steve Biko alifungwa pingu na kuwekwa katika Land Rover na...
Shirika la Afya Duniani limesema bara la Afrika linashuhudia kuongezeka kwa visa vya COVID-19 vinavyotokana na kuongezeka maradufu kwa visa vya maambukizi vilivyoripotiwa nchini Afrika Kusini
Benido Impouma, Mkurugenzi wa Magonjwa ya yasiyoambukiza WHO-Afrika, Aprili 28, 2022 alisema, ndani ya...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe Mohamed Mchengerwa amewatoa hofu mashabiki wa soka wanaotaka kwenda Afrika Kusini kuishangilia Timu ya Simba katika mchezo wa raundi ya pili robo fainali ya Mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kuwa watakuwa salama.
Waziri Mchengerwa...
While they bootlick South Africans claiming they are their brothers and they helped them get independence, here is what South Africans feel.
I always tell my Tanzanian brothers, a perceived favor cannot grant you friendship to someone. I don't see them mentioning Tanzanians. 🤣 🤣
Kiongozi wa Jimbo la KwaZulu-Natal, Sihle Zikalala amesema idadi ya waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa zilizopeleka maporomoko ya ardhi na mafuriko imeongezeka kufikia 443
Mbali na vifo, watu wengine 63 bado hawajulikani walipo. Mafuriko hayo yaliyotokana na mvua kubwa kunyesha kwa siku...
Kufuatia kutokea kwa mafuriko yaliyosababisha zaidi ya vifo 300 katika Jimbo la KwaZulu-Natal Nchini Afrika Kusini, siku chache zilizopita, Rais Samia Suluhu amtuma salamu za rambirambi Rais wa taifa hilo, Rais Cyril Ramaphosa.
“Kwa niaba ya Serikali na Watanzania natuma salamu za rambirambi...
Kiungo mshambuliaji wa timu ya Simba, Hassan Dilunga ameondoka Nchini Tanzania kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya kupata matibabu ya majeraha yanayomkabili kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka katika Klabu ya Simba, imeeleza kuwa nyota huyo ambaye aliwahi kuitumikia Yanga, ameondoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.