Kwa muda sasa, China imekuwa ikiendeleza nguvu mpya bora za uzalishaji na kuvutia vyombo vya habari vya nchi nyingi za Afrika. Nguvu mpya bora za uzalishaji zinamaanisha uzalishaji wa kisasa unaoongozwa na ubunifu, ukiepuka njia za jadi za ukuaji wa uchumi, na wenye sifa za teknolojia ya juu...