Kutoka kwenye jarida hilo
Wanasema kuwa Afrika kutoendelea ni sababu ya viongozi kutokuwa na uwezo mkubwa wa kiakili ilihali wamelalia rasilimali lukuki.
Jarida linasema wapigania uhuru wengi walikuwa ni watu wenye akili kubwa na maono makubwa na nchi zao kuliko viongozi wa sasa ambao wao...
Ingefaa kwamba Umoja wa Afrika (AU) ingekuwa kama baba kwa nchi za Afrika.
Uwepo wake ulipaswa kunufaisha raia wa nchi wanachama!
Pamoja na uwepo wa AU, bado nchi za Afrika zimeendelea kuwa kama watoto wasio na waangalizi.
1. Vita vya wenyewe kwa wenyewe, mfano ilivyotokea Rwanda na baadaye...
Ukizungumzia miongoni mwa vyombo vya Habari ambavyo vina uwekezaji mkubwa kwenye miundombinu naamini RFA kutoka Sahara Media itakuwa namba 1 kabisa. Radio hii imewahi kuwa na Watangazaji bora kuwahi kutokea na waliokuja kubadili kabisa sekta ya Utangazaji nchini.
Lakini Radio Free Afrika...
Kwa muda mrefu sasa suala la maendeleo ya nchi za Afrika limekuwa ni mjadala kwenye majukwaa mengi ya kiuchumi na kisiasa duniani. Licha ya juhudi zinazofanywa na nchi za Afrika, hatua za maendeleo zimekuwa ni polepole sana ikilinganishwa na sehemu nyingine duniani. Kuna wanaosema hali hii...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es Salaam. Siku hii huadhimishwa Juni 16 ya kila mwaka.
Katika kuadhimisha siku hii, Rais Samia amesisitiza umuhimu wa Serikali, familia na jamii...
Wazazi na Walezi Salaam.
Nawakumbusha kuwatakia Watoto wenu wote chini ya umri wa miaka 18 Heri ya Siku ya Mtoto wa Afrika Leo Juni, 2024.
Wapeni Wosia kuwa: wamshike Sana Elimu, wasimuache aende zake....🇹🇿🤝✍🏻
Zaidi ya yote tuseme nao kuhusu janga la ukatili dhidi yao, tusiwaonee aibu maana...
Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila Mwaka ifikapo Juni 16 kuwakumbuka Watoto waliouawa na Serikali ya Kibaguzi huko Soweto Mwaka 1976 wakiwa katika Maandamano ya kudai Haki zao ikiwemo Haki ya kupata Elimu na kufundishwa kwa kutumia Lugha zao Asilia
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan ametuma salamu nzito za pongezi kwa Mheshimiwa Cyril Ramaphosa ,kwa kuchaguliwa kwake kwa kishindoo kwa muhula wa pili kama Rais wa Taifa hilo.
Salamu hizo zimetolewa na Rais wetu kupitia...
"Mustakabali wa akili bandia barani Afrika ni upi?" Wakati swali hili linaingizwa kwenye majukwaa kadhaa ya akili bandia mitandaoni, jibu lake huwa ni: "mustakabali wa akili bandia barani Afrika umejaa fursa… utaonesha nafasi muhimu katika sekta mbalimbali kama vile huduma za afya, kilimo na...
Motsepe na genge lake bado hawana uhakika wa kuwa na Afcon msimu wa 2025 kwa sababu inaingiliana na ratiba mpya ya vilabu duniani.
Wakati huo huo msimu huu inaonekana kabisa Euro inaenda kuwa na ushindani mkubwa na mvuto usiomithirika kiasi kwamba watu hata hawaongelei Copa America.
Namshauri...
Arusha
🗓️ 12 Juni, 2024
Shirika la Posta Tanzania limejidhatiti kushirikiana na Posta nyingine Barani Afrika hususani katika huduma za Biashara Mtandao “E-Commerce” pamoja na huduma za Usafirishaji.
Hayo yamebainishwa na Postamasta Mkuu Maharage Chande wakati akizungumza na Postamasta wakuu wa...
Ni Afrika pekee na nchi ambazo ni maskini ndio wanamsemo huu ufuatao,
"WANAUME HATUJAUMBIWA MWANAMKE MMOJA"
Sijawahi ona nchi zilizoendelea "Developed Countries" wakiongea huo upuuzi wa Wanaume hatujaumbiwa Mwanamke mmoja.
Nimeishi U.S.A, ULAYA NA ASIA LAKINI SIJAWAHI KUONA KITU CHA KIJINGA...
Leo nimeunganisha matukio ya vyama vikongwe vya siasa Afrika ambavyo vimeonesha weledi wake na kufanya nchi zao ziwe za kupigiwa mfano Afrika.
Chama cha kwanza ni chama cha United National Independency Party (UNIP) Cha Zambia ambacho kilitawala Zambia tangu mwaka 1964 hadi mwaka 1991.
Mwaka...
Jina lake ni Josephine Myrtle Corbin. Alizaliwa Marekani 12/05/1868.
Maumbile yake hayakuwa ya kawaida. Alizaliwa akiwa na miguu minne, na pea ya viungo vya uzazi uzazi. Madaktari mbalimbali waliomfanyia uchunguzi walibainisha kuwa Josephine alikuwa na afya njema na anaweza kuishi kama binadamu...
Kwa mujibu wa takwimu, nchi za Kiarabu zipo 22. Kumi na mbili zipo bara la Asia na kumi zipo Afrika.
Zilizopo Afrika ni Algeria, Comoro, Djibouti, Misri, Libya, Mauritania, Morocco, Somalia, Sudan, na Tunisia.
Kwa kuwa inafahamika kuwa Afrika ina jumla ya nchi 54, waliopo kwenye hizo nchi 10...
Erik Prince, afisa wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Marekani na mwanzilishi wa kampuni ya binafsi ya kijeshi ya 'Blackwater', hivi karibuni alitoa maoni yake kwamba nchi za Kiafrika zinapaswa kurudishwa kwenye ukoloni kwa sababu viongozi wake wana ufisadi na ubinafsi.
Prince alitoa mtazamo...
Serikali mpaka sasa inakanusha kuhusu mkopo na dhamana ya madini ila korea walishafanya kikao kuhusu madini wanayotaka afrika.
Naomba tuunganishe dot hii
https://www.youtube.com/watch?v=1_46tHD6Y6s
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.