Wakati China na Afrika zikiendelea kutafakari kwa kina mafanikio yao tangu kuanzishwa kwa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika, FOCAC, mwaka 2000, wadau wanasisitiza umuhimu wa pande mbili za ushirikiano kuwa zingativu ili kuimarisha zaidi uhusiano kati ya China na Afrika.
Kwenye...
Naomba wazee wa jamiiforums wanijibu hili swali hasa wale wenye vinasaba na CCM.
Je, ni nchi gani Afrika hasa zile za kijamaa zilizokuwa na urafiki na Mwalimu Nyerere mfano Zambia, Zimbabwe, Angola nk ambako wanakimbiza Mwenge mpaka leo?
Mbali na hilo hata bajeti ya kukimbiza chuma lile...
Huduma za PayPal barani Afrika kwa ujumla ni chache katika nchi nyingi, haswa linapokuja suala la kutoa pesa. Hata hivyo, idadi kamili ya nchi za Kiafrika ambako PayPal inazuia utoaji wa pesa inaweza kubadilika muda unavyozidi kwenda kutokana na mabadiliko katika mazingira ya udhibiti, ubia na...
Kwa wengi wetu neno hisa ni neno tuliloanza kuliskia tangia udogoni,lakini hata hatuelewi lina maana gani,,,Hii ni kutokana na serikali kutoiweka elimu hii muhimu katika mitaala na kutupatia elimu ya kujua wapi kuna fuvu la kale,dah,,
Soko letu la hisa linajitahidi kujipambanua japo kwa...
Mashindano ya Urembo yamezua Mjadala mkali wa Ubaguzi baada ya watu Mtandaoni kudai kuwa Mshiriki Chidimma Adetshina (23) ni Mnaigeria, na hivyo kudai hawataki kuwakilishwa na Raia wa Kigeni
Waaandaaji wa Mashindano ya Miss South Africa wamethibitisha kuwa Chidimma ni Raia wa Nchi hiyo na...
RIPOTI: Shirika la Chakula na Kilimo (FAO) limesema Robo Tatu ya Idadi ya Watu katika Bara la Afrika hawana uhakika wa kupata Lishe Bora
Kwa mujibu wa Ripoti ya FAO, Takriban Watu 864 duniani hawana uhakika wa Kupata Chakula Bora ambapo Bara la Asia ni Milion 467, Afrika Milioni 316, Marekani...
Wakati Beijing ikiwa inaendelea na maandalizi yake ya mkutano mpya wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) ambao unatarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 4 hadi 6 mwaka 2024, viongozi mbalimbali wa nchi za Afrika wameonesha kuridhishwa na wamekuwa na imani kubwa juu ya ushirikiano...
1. Kaizer Chiefs ya jana na ya sasa siyo ile yenyewe kwani bado Inajitafuta
2. Kaizer Chiefs ya sasa ( ya jana ) bado inajikongoja kwa miaka / misimu karibia saba
3. Kaizer Chiefs ya jana ( ya sasa ) ilikuwa na takribani Wiki moja tokea Wachezaji wajiunge kwa Pre Season
4. Kaizer Chiefs ya jana...
Na Mwandishi Wetu- Zimbabwe
Tanzania inatarajiwa kuwa Mwenyeji wa Kongamano la Pili la Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism), Kanda ya Afrika kuhusu utalii wa vyakula vya asili katika Bara la Afrika kwa mwaka 2025.
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Shirika la Umoja wa...
Wakati wakipita juu ya mto wakiwa kwenye boti kila mmoja alijiuliza mbona wengi sana baadaye inatoka taarifa kuwa wanamichezo ni 9 na ma-afsa wa serikali kutoka wizara mbalimbali ni 67 na watakaa kwa siku 16 zote za olimpiki hapa paris.
Sijajua Bongo aka nchi ya kitu kidogo tumepeleka wangapi...
Abraham Lincoln-democracy is a government of the people, for the people by the people.
Ludovick Uttoh- maoni yake kusema kuwa kila kitu kinafanywa na mtu mmoja serikalini. (Sijakopi kama ilivyo)
Tanzania kila kitu kina fanywa na rais hata kama kimefanywa na mtu mwingine na yeye anapenda.
Mfano...
Inawezekana umesikia mitindo mbalimbali ya nywele kama vile twende kilioni au kilimanjaro.
Hiyo mitindo haikuja tu hivi hivi. Kuna Wanawake enzi za Utumwa huko walikuwa na akili za ajabu sana.
Inadaiwa kuwa wapo waliotumia nywele zao kuwasiliana kwa siri au kwa mafumbo ili wasikamatwe na...
Huwa najiuliza kabla Wakoloni kwa maana ya Wazungu na Waarabu kutuletea dini wakitumia wafanyabiashara, wamishenari na wapelelezi, (traders, missionaries and explorers), wazee wetu huku Afrika waliabudu katika dini gani? Je kwakuwa dini za kigeni hazikuwepo ina maana watu wote walioishi nyakati...
Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi.
Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za...
afrika
kiongozi
kodi
mabaya
magari
masikini
matumizi
matumizi mabaya
matumizi mabaya ya kodi
mchezo
msafara
msafara wa rais
nchi
nchi masikini
rais
rais samia
rais wa nchi
samia
tozo
video
vyoo
wahisani
wake
wananchi
Nchi yao imevamiwa na wahamiaji haramu. Wauaji, wabakaji, maharamia na wagonjwa wa akili kutoka kwenye majela ya vichaa. Ameahidi anaenda kukata mzizi wa fitina wa tatizo hili akichaguliwa.
Na kwenye uchumi, viwanda na biashara ya kimataifa ameahidi anaenda kumaliza exploitation ya mataifa...
Watu wengi wanaamini kwamba maisha yetu ya baadaye yapo mikononi mwa watoto wetu. Ndoto zao zitajenga dunia ambayo tutaishi kesho, na matendo yao, mawazo yao, na maadili yao yatajenga mwelekeo wa jamii. Kwa hiyo, tukiwa kama watu wazima, ni jukumu letu kuwaongoza katika mwelekeo sahihi. Pia ni...
"Tunatarajia sana matunda muhimu ya Mkutano wa 3 wa Kamati Kuu ya CPC, ambayo sio tu yana athari kwa maendeleo ya China, bali pia yatafaidisha Tanzania na nchi nyingine duniani." Haya yalisemwa na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania na Profesa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.