Mwalimu Nyerere aliwahi sema "Uchumi tunao, lakini tumeukalia' ithibati ya maneno ya Baba wa taifa ilikuwa sahihi kabisa, kwa kuzingatia baraka ya rasilimali asili na rasilimali watu katika bara letu la Afrika ni nguzo na mtaji muhimu wa kujiletea maendeleo, kwa kupitia vile vilivyo ndani yetu...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa hivi karibuni alidokeza kuwa hakubaliani na dhana ya kwamba uwekezaji wa Taifa la China barani Afrika unapelekea bara hili katika "mtego wa madeni,"
Ramaphosa alitoa kauli hiyo wakati wa mkutano wa kilele cha China na Afrika huko Beijing, ambapo wajumbe...
Kwenye repoti ya fedha ya Benki ya Dunia inayoishia June 2024 inaitaja Tanzania kama nchi ya 4 kwa nchi zenye madeni makubwa ya IDA. IDA ni taasisi iliyo chini ya benki ya Dunia ila wao wanajikita kwenye nchi 75 masikini zaidi Duniani ikiwemo Tanzania. Mikopo ya IDA hua ni nafuu sana na inalipwa...
Daniel Mthimkhulu, alidanganya kuwa na Shahada ya Uhandisi wa Mitambo kutoka Chuo Kikuu cha Witwatersrand na Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka Chuo Kikuu cha Ujerumani
Aliajiriwa na PRASA mwaka 2000 na kupanda Cheo hadi nafasi ya Mkuu wa Uhandisi kutokana na CV yake ya kughushi, huku akipokea...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini China tarehe 05 Septemba, 2024.
Rais Samia...
Inasemekana Mieleka ni maigizo yenye uhalisia🤨
Mzungu ameweza kuyaaminisha macho ya watazamaji kila kinachoonekana ni kweli😅
Wanatengeneza pesa ndefu sana kwa ile drama yao,
Tatizo Lipi hapo kwa ndugu 👇🏾👇🏾zangu Africans wameamua waonteshe hatuwahi kushindwa na kitu chini ya hii🌍
SASA...
Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya pombe nchini yameongezeka kwa kiasi kikubwa (WHO, 2023) kutokana na sababu kadhaa:
1. Sababu za Kijamii na Kiuchumi Kuongezeka kwa kipato kinachopatikana mikononi mwa watu, hasa katika tabaka la kati, kumefanya pombe iweze kupatikana kwa urahisi zaidi...
RATIBA YA HATUA YA PILI YA MASHINDANO MAKUBWA AFRIKA (CAFCL)
CBE FC 🇧🇴 x 🇹🇿Yanga SC
Dekedda SC 🇬🇼x 🇭🇰Esperance
Gor Mahia FC 🇰🇪 x 🇪🇬Al Ahly SC
APR FC 🇷🇼 x 🇪🇬Pyramids FC
Mbabane 🇬🇼 x 🇿🇦Mamelodi
AS Maniema 🇨🇩 x 🇦🇴 Petro Atletico
Red Arrows 🇿🇲x 🇨🇩 TP Mazembe
Jwaneng Galaxy 🇧🇼 x 🇿🇦 Orlando
Enugu...
Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya ligi yetu ili uwezo binafsi wa wachezaji, siachi kuangalia ligi iwe Pamba vs JKT au Fountain gate vs Namungo.
Wachezaji watatu wwmenikuna sana msimu uliopita na msimu huu bado wanauwasha moto vibaya sana.
Viungo hawa ni viungo 2 wa KMC yule Ibrahim Elias na...
Habari za jioni wana jamii leo nimekaa na kuwaza kuhusu nchi yetu ya Tanzania kwa kina na kwa upana sikuwa na budi bali kuandika haya mambo kwa sisi watanzania wote
Tanzania ni nchi ambayo imekaa vizuri kijiografia yaani tumezungukwa na nchi nane tunaweza sema tisa tukiweka na visiwa vya...
Kwa mujibu wa orodha ya 'Bloomberg Billionaires Index' imemtaja Bilionea Johann Rupert kutoka Afrika Kusini kuwa Mwanaume tajiri zaidi barani Afrika
Rupert anamiliki Kampuni kubwa duniani ya bidhaa za kifahari Richemont inayomiliki 'brand' kama Cartier na Montblanc
Utajiri wake umeongezeka...
mwenyekiti wa chama cha wagonjwa wa kisukari prof.Andrew Swai amewataka watu kuacha matumizi mabaya ya pombe ili kujiepusha bna magonjwa yasiyo ya kuambukizwa kama kisukari, magonjwa ya figo pamoja na moyo. Amesema kua kutokana na takwimu zilizofanyika Tanzania imekua nchi ya 3 kwa ulevi barani...
Mkakati wao wa kushinda mechi ya leo ulianzia airport jana, sisi tunaojua fitna za nje tuliona, hakuna aliyeona hii, mganga wao aliwaambia mechi vs Kagera ni ngumu cha kufanya pale airport kila mtu atoke kwake kivyake mkutane pale, msipande basi la pamoja, mitego inaanzia airport, ndo maana kila...
Maendeleo ya kasi ya kiuchumi na kijamii ya China, yamekuwa ni mambo yanayojadiliwa kwa kina na wasomi wengi duniani, ikiwa ni pamoja na wale wa nchi za Afrika. Moja kati ya mambo ya msingi yanayotajwa kuwa ni kiini cha maendeleo hayo ni njia ya China ya kujiletea maendeleo, ambayo wataalam wa...
Kwa muda mrefu sasa ushirikiano kati ya China na Afrika ulijikta kwenye ushirikiano kati ya pande mbili, yaani ushirikiano kati ya China na nchi moja moja ya Afrika, uliojikita kwenye mahusiano kati ya serikali. Kutokana na kuendelea kupevuka kwa ushirikiano kati ya China na Afrika, wigo wa...
Wakati mkutano wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unafanyika mjini Beijing, wataalamu na wachambuzi wa mambo ya ushirikiano wamekuwa wakifanya mapitio ya baadhi ya miradi inayotekelezwa na China barani Afrika, na matokeo yake kwa uchumi wa nchi hizo. Kinachoonekana ni kuwa...
Ujerumani itatoa dozi 100,000 za chanjo ya mpox kutoka kwa hisa zake za kijeshi kusaidia kudhibiti mlipuko katika bara la Afrika katika muda mfupi na pia kutoa msaada kwa nchi zilizoathiriwa.
Serikali italipatia Shirika la Afya Duniani rasilimali za kifedha kupitia vyombo mbalimbali vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.