China na nchi za Afrika zinaendelea kufurahia ushirikiano na urafiki wao wa kudumu ambao uliwekewa jiwe la msingi na mwasisi wa China Mwenyekiti Mao Zedong na viongozi wengine waasisi wa Afrika.
Katika kipindi chote cha zaidi ya miongo sita China na Afrika siku zote zimekuwa zikiheshimiana...
Kama sielewi hivi watu wa Mpira wanapoona Simba kuwa Pot 1 ni jambo dogo kuliko Rais wa Yanga Hersi Saidi kuwa Mwenyekiti wa vilabu Afrika.
Hivi kati ya hayo mambo mawili ni lipi watanzania wanatakiwa kujivuna nalo???
Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amekuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kuchaguliwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards kwa mihula mitano, akiwania vipengele sita, ikiwa ni pamoja na Best African Act mara tano na Best Worldwide Act mara moja.
Katika mihula minne...
Aliyekuwa Rais wa Ethipia Sahle-Work Zewde (kushoto) na Rais mpya wa nchi hiyo Taye Atske Selassie (kulia)
Taye Atske Selassie, aliyekuwa Waziri wa mambo ya nje tangu Februari, 2024, ameapishwa mbele ya Bunge kuwa Rais wa Nchi hiyo huku mamlaka ya kisiasa ikiwa kww Waziri Mkuu, Abiy Ahmed...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesisitiza kuwa Tanzania itaendelea kuunga mkono juhudi za kurejesha hali ya amani na usalama zinazoendelea kufanywa sehemu mbalimbali barani Afrika ikiwemo Ukanda wa Afrika Magharibi, Pembe ya Afrika na...
Wajue Wapinzani wa Simba SC Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika
Katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba SC inakutana na wapinzani wenye historia kubwa katika michuano hii. Wapinzani hao ni CS Sfaxien na CS Constantine.
1. CS Sfaxien: Huyu ni bingwa mara tatu wa Kombe la...
Pato la Taifa la Afrika linafikia dola trilioni 2.8 mwaka 2024, pato la kiuchumi la watu bilioni 1.4. Lakini sio tija yote hiyo inasambazwa kwa usawa.
Ramani hii inaangazia nchi tano ambazo pato lao la kiuchumi kwa pamoja ni sawa na lile la bara zima. Data imetolewa kutoka Shirika la Fedha la...
Klabu Ya Yanga SC imeendelea kuzungumza kwa namna tofauti katika ushiriki wake wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika. Hii inatokea kwa sababu ya ushindani wake ambao wameuonyesha katika misimu miwili iliyopita.
Kesho ndiyo siku ya makundi kufahamu Yanga atapangwa na nani katika hatua ya makundi...
- Awapongeza Rais Samia na Museveni kwa msimamo wa uongezaji thamani madini
- Azitaka nchi za Afrika kuwa na mkakati wa pamoja wa uvunaji wa rasilimali Madini
- Uganda yavutiwa na maendeleo ya sekta ya madini nchini Tanzania
📍Kampala, Uganda
Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amezitaka...
Nathan ni sahihi siasa za gulioni zikadhibitiwa ili zisiathiri usalama na utengamano wa nchi. Ndio maana China, Urusi, Tanzania zina siasa zenye mtangamano.
Mambo ya siasa za gulioni (demokrasia iliyopitiliza) yakiruhusiwa, yanaitoa nchi kwenye mstari.
Ndio kinachotokea Kenya, wananchi...
Pamoja nauwepo maji ya kutosha lakini watuwanakosa maji safi na salama ya kutumia
Hivi karibuni, katika Jiji la Nairobi nchini Kenya, ilizinduliwa Taarifa kuhusu Hali ya Mazingira ya Afrika kwa mwaka 2024, ikiangazia zaidi suala la upatikanaji maji salama barani humu.
Kikubwa katika uzinduzi...
Kisa cha wanawake wawili weusi wanaodaiwa kupigwa risasi na mzungu na miili yao kupewa nguruwe waile kimezua taharuki nchini Afrika Kusini.
Maria Makgato, 45, na Lucia Ndlovu, 34, inadaiwa walikuwa wakitafuta chakula katika shamba la mzungu huyo karibu na Polokwane katika jimbo la Limpopo mwezi...
Karibu nchi zote za Africa polisi wanabeba mitutu/ rifles tofauti na nchi nyingi za Magharibi wakoloni wao ambao polisi wao wanatumia bastola zaidi.
Hii imesababishwa na gharama za bastola au ufanisi wa mitutu?
Afrika yenye barabara na magari machache zaidi katika eneo lolote duniani, lakini ni bara lenye idadi kubwa ya watu wanaokufa kutokana na ajali za barabarani.
Ajali hizo zinachochewa na uzembe, mwendo kasi, ulevi na miundombinu duni. Ripoti ya Shirika la Afya Ulimwenguni WHO imetaja pia...
Katika soko maarufu lililoko Changsha, mji mkuu wa mkoa wa Hunan katikati ya China, mwanamke mmoja aitwaye Li anachagua vitafunwa kwa ajili ya mtoto wake wa kike na wa kiume. Amechagua boksi mbili za dagaa wa maji chumvi waliokaushwa. Li anasema, anapenda watoto wake kula chakula bora, hivyo...
Kutokana na kuimarishwa kwa uhusiano kati ya China na Afrika, katika miaka ya karibuni, uwekezaji wa China umeendelea kuongezeka barani Afrika. Hivi karibuni serikali ya China ilitoa taarifa inayosema kwamba uwekezaji wa China barani Afrika mwaka 2023 ulikuwa dola za kimarekani bilioni 3.96...
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limependekeza posho ya kila mwaka ya dola za Kimarekani 50,000 sawa na Shilingi Milioni 136.5 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika (African Club Association - ACA). Pendekezo hilo litajadiliwa kwenye Mkutano wa 46 wa Kawaida wa CAF, unaotarajiwa...
Chama Kikuu cha Upinzani (PUDEMO) Nchini Eswatini, kimesema hali ya Afya ya Kiongozi wake, Mlungisi Makhanya inaendelea kuimarika baada ya kulishwa sumu akiwa Uhamishoni Afrika Kusini, katika jaribio la Kumuua
Mlungisi Makhanya, (46) ambaye amekuwa akiishi uhamishoni nchini Afrika Kusini kwa...
Habari gani wana jamvi, leo nimekaa nikawa napitia baraza la mawaziri pamoja na sifa za wateule hao katika sekta mbalimbali kisha nikakutana na document moja hivi ikizungumzia mawaziri wa Afya nchi mbalimbali Africa. Nilipomaliza kuisoma hiyo document kwanza nikajiuliza, ni nani aliyeandaa doc...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.