afrika

  1. Mtoa Taarifa

    Mtanzania Dkt. Wendeline achaguliwa kuwa Mkurungenzi wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika anayesimamia Nchi 22

    Benki ya Dunia, imemchagua Mtanzania, Dkt. Zarau Wendeline Kibwe, kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki hiyo atakayesimamia Kanda Namba Moja ya Afrika inayojumuisha nchi 22 ikiwemo Tanzania, nafasi ambayo Tanzania imewahi kuihudumu miaka 54 iliyopita. Uamuzi wa Dkt. Kibwe kuikwaa nafasi hiyo...
  2. L

    CIIE kuunga mkono Afrika kuungana zaidi na uchumi wa dunia

    Katika mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing mwezi Septemba mwaka huu, China ilitangaza mpango wa kufungua zaidi soko lake na kuzipa msamaha wa ushuru wa forodha bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi zilizo nyuma kimaendeleo, zikiwemo nchi 33 za...
  3. Sir John Roberts

    Nchi zilizoendelea Hasa marekani na ulaya wanachukua rasilimali Afrika na huku wakituambia ni nchi masikini Duniani. Tujitafakari

    Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja...
  4. Waufukweni

    Yanga yapeleka msiba mwingine Msimbazi, yautaka Ubingwa wa Afrika

    Afisa habari wa klabu ya Yanga Ally Kamwe amesema: "Nataka niwaambie tu Yanga hii bado, Januari kutakuwa na ongezeko la mchezaji mwingine wa kigeni. Kwa hiyo haijakamilika, tunahitaji kuchukuwa ubingwa wa Afrika" "Huyo mchezaji aliyemsema Rais Hersi tumemleta alikuwepo uwanjani katika mchezo...
  5. Waufukweni

    Nchi 10 za Afrika zenye Bei nafuu ya Mafuta Oktoba 2024, Tanzania haipo!

    Baadhi ya nchi za Afrika zinaongoza kwa kuwa na bei nafuu za mafuta, hali inayosaidia kupunguza gharama za maisha na kutoa afueni kwa wananchi dhidi ya changamoto za kiuchumi. Licha ya changamoto za kimataifa na kikanda, nchi hizi zimefanikiwa kudumisha bei ya chini ya mafuta, jambo ambalo...
  6. Mwanongwa

    Uchumi wa Tanzania unakua watajwa kuingia kwenye 10 Bora Afrika kwa pato la GDP

    Nchi ya Tanzania imeendelea kutajwa kuwa imara na kukua kiuchumi, hiyo ni baada ya kuingia kwenye orodha ya nchi 10 bora za Afrika kwa Pato la Taifa (GDP) kwa Mwaka 2024, kwa mujibu wa IMF. Ikiwa na GDP ya Dola Bilioni 79.87, maendeleo ya uchumi wa Tanzania yanaonyesha athari chanya za sera...
  7. GoldDhahabu

    Emergency Travel Document inakubalika Afrika Kusini?

    Kwa mtu ambaye hana passport kubwa, akipata safari ya ghafla kwenda mojawapo ya nchi kama AFRIKA KUSINI, BOTSWANA, NAMIBIA, n.k., anaweza kutumia EMERGENCY TRAVEL DOCUMENT? Hiyo huwa inapatikana haraka sana, unaweza ukaipata siku iyo hiyo uliyoiomba. Afrika Kusini itakubali kumpokea...
  8. Mtoa Taarifa

    Idris Elba asema anaweza kuishi Zanzibar akihamia Afrika ndani ya miaka 10 ijayo

    Mwigizaji nyota wa Filamu, Idris Elba amesema anatarajia kuhamia Afrika katika kipindi cha miaka 10 ijayo na huenda akaishi katika miji ya Zanzibar, Accra nchini Ghana au Freetown huko Sierra Leone na lengo kukuza tasnia ya Filamu. Elba ambaye Januari 2023 alikutana na kufanya mazungumzo na...
  9. MwananchiOG

    Yanga yaweka rekodi Afrika, yafikisha mechi 22 bila kufungwa

  10. GoldDhahabu

    Kwanini Watanzania wanahofia kupita Zimbabwe katika safari za Afrika Kusini?

    Sijawahi kufika kwenye hizo nchi, lakini naamini nitafanya hivyo muda si mrefu.Lakini kwa stori za hapa JF, wengi wa wadau wanashauri kutokupita Zimbabwe kwa safari za kwenda Afrika Kusini. Natamani, katika safari yangu, niende kwa ndege, lakini wakati wa kurudi, nitumie usafiri wa usafiri wa...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Top 5 viongozi bora Afrika 2024

    Kwangu mimi hii ndio orodha ya viongozi bora Afrika kwa sasa. 1. Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania) 2. Dkt. Tulia Ackson (Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa IPU) 3. Rais Hakainde Hichilema (Zambia) 4. Rais Nana Akufo-Addo (Ghana) 5. Rais Cyril Ramaphosa (Afrika Kusini)
  12. JanguKamaJangu

    Nchi 10 Afrika zenye deni dogo zaidi la Serikali katikati ya Mwaka 2024

    Top 10 African countries with the smallest government debt mid-2024 Maintaining a low government debt is critical for African countries seeking to stimulate economic growth, raise living standards, and attract international investment. Countries with low debt loads gain from currency stability...
  13. L

    Ushirikiano na China unafanya usasa kuwa jambo linalowezekana kwenye nchi za Afrika

    Mkutano uliopita wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC uliofanyika mwezi Septemba mjini Beijing, kaulimbiu ya “Kuungana Mkono ili kuendeleza Usasa na Kujenga Jumuiya yenye mustakabali wa Pamoja ya China na Afrika”, ilifuatiliwa na kuchambuliwa na wataalam na wanazuoni mbalimbali...
  14. Mwande na Mndewa

    Mwaka 2050 bara la Afrika litakuwa na vijana wengi wasomi watakao kwenda kulisaidia bara la Ulaya, Je watanzania tumejiandaaje kutoa vijana hao?

    Kenya already in it - they doing it BIG, Rwanda Next one in line.. Uganda might as well be on the move - Sisi tukajiandikishe daftari la kupiga kura na mambo yetu ya serikali za mitaa kwanza.. Part of Africa is Doing iT 🙃
  15. JanguKamaJangu

    Mkutano wa Kwanza wa Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao Kusini mwa Afrika Wafanyika Tanzania

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa ujio wa Mkutano wa Jukwaa la Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao kwa Nchi za Kusini mwa Afrika unadhihirisha namna Tanzania chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia ilivyokuwa na mahusiano mazuri ambayo yamefungua milango...
  16. E

    TBC mmedanganya. Nyerere hakuwa wa kwanza Afrika kustaafu kwa hiari

    MHESHIMIWA Léopold Sédar Senghor Rais kwa kwanza wa Senegal Alistaafu kwa hiari December 1980 MHESHIMIWA Ahmadou Babatoura Ahidjo Rais wa kwanza wa Cameroon Alistaafu kwa hiari November 1982
  17. Eli Cohen

    Vijana hawa Wakiafrika wametengeneza video kuonesha mnyororo wa upigaji wa pesa za miradi Afrika. Its funny but depressing 🤣😠

    https://youtube.com/shorts/5lm6tYWIaAk?si=ljz2wml3yqs92TuF
  18. AFRIKA ACTIVE ACTIONS

    Busara za Mwalimu Nyerere katika kudumisha na kulinda umoja wa Afrika

    Januari 1976,huko Ethiopia,Addis Ababa, mkutano maalumu wa wakuu wa nchi za OAU uliitishwa Ili kupata suluhu ya mgogoro mzito na wa kutisha uliotaka kuligawa bara la Afrika vipande vipande. Mgogoro huo ulikuwa baina ya nchi zilizokuwa zinaiunga mkono serikali ya MPLA chini ya Antonio Agostino...
  19. L

    Afrika inaonesha hekima na uamuzi bora zaidi kuhusu magari ya umeme ya China

    Hivi majuzi, Klabu ya Magari ya Ujerumani ADAC ilitoa ripoti ya utafiti ikionyesha kuwa karibu 60% ya watu waliohojiwa wa Ujerumani wanafikiria kununua magari ya chapa ya China, huku asilimia 72 ya watu wenye umri wa miaka 18 hadi 39 wakipendelea magari hayo. Kuhusu magari ya umeme, asilimia 80%...
  20. Mtoa Taarifa

    Mwaka 2022, Nchi 10 tu Afrika ikiwemo Tanzania zilipokea 46.4% ya Misaada yote ya Maendeleo kutoka nchi 24 za nje

    Ripoti ya Taasisi ya Mo Ibrahim Foundation (MIF) imeonesha kwa kipindi cha mwaka 2022, nchi 10 tu za Afrika zilipokea karibu nusu ya Misaada yote ya Kimaendeleo kutoka kwa Wafadhili wa Nje iliyokadiriwa kufikia zaidi ya Tsh. Trilioni 103.34. Aidha, kwa mujibu wa takwimu za Shirika la...
Back
Top Bottom