Nina miaka 38...Niko single(nimeachana na mke wangu)....sivuti sigara na wala sinywi pombe...sijaajiliwa nimejiajili kwhy hela ya kula vizuri na matumizi madogo mdogo hainipigi chenga kwa kifupi sina njaa...uhakika wa mbunye upo yani simu moja tu naletewa mbunye mpka mlangoni kwa kifupi japo...
Kabla ya ndoa kufungwa,watarajiwa hulazimika kufanya vipimo vya afya zao hususan ukimwi.Hii imekuwa ni kanuni na imezoeleka hivyo.
Kutokana na yanaondelea huko ndoani watu kufanyiani mambo ya ajabu,kujeruhiana,kudhalilishana na hata wengine kutoana uhai.
Nashauri mamlaka husika ziweke sheria...
Afya ya akili kwa wanaume imekua tatizo linalokua kwa kasi sana na kusababisha matatizo na majanga ambayo tumekua tukiyasikia kila siku.
Naomba kuuliza wanaume mliopo JF:
Huwa unazungumza na nani kuhusu matatizo au changamoto binafsi ulizonazo?
Je ukikwama kikazi, kibiashara, kimahusiano...
State of mind na afya ya akili ya vijana wa kibongo utaijulia humu JF. At some point kijana anaweza akakakurushia dongo kali humu, yani 24hrs yeye amevurugwa.
Frustration imekuwa kali, vijana wanachomiliki ni akaunti za mitandao ya kijamii na mia 500 za kununulia bahasha za kuzunguka na CV zao...
Hivi wakuu afya ya akili ya diva mnaiona ipo sawa kweli?
Ana utoto mwingi sana ,juzi kati watu wamemzodoa aliyekuwa mume wake kapata chombo kipya na ni mrembo haswa, eti Diva naye kaona wivu aka download picha ya mkaka mtanashati akaposti kwamba ndo mpenzi wake kwa sasa hivyo hatishiki wala...
Si mara kwa mara huwa napitia Jamii Forums, lakini mara nilipokuja kuvutiwa na mijadala kwenye jukwaa hili, nilikutana na kundi la vijana wanaojiita “Kataa Ndoa.” Vijana hawa wanazua mjadala mkubwa, na maoni juu yao yanatofautiana sana – kuna wale wanaowaona kama wanaokwepa majukumu, wengine...
afyaafyayaakiliafyaya uzazi
akili
gen z
kataa
kataa ndoa
kubwa
kundi
matatizo
members
mfumuko wa bei ya vyakula
ndoa
tatizo
uchumi duni
uzazi
wanaokataa ndoa
wengi
Naona sasa hivi watu wako bizee kumpigia chapuo mwenyekiti wa CCM ili achaguliwe na wananchi ifikapo October mwaka huu.
Hali hii inaonekana kwenye comments za vijana wa kijani ambao kila hoja utakayoleta hapa JF wao wanacomment tu Samia mitano tena.
Umaskini umechangia udumavu wa akili
Katika kuendeleza mradi wa kutoa Elimu ya Afya ya Akili Shuleni Zanzibar, Taasisi ya Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO) inaendelea kufanya juhudi kuhakikisha inafikia shule zaidi ya 50 Kisiwani Unguja kama ilivyo sema hapo awali pia kufikia zaidi ya Wanafunzi 5,000.
Wahusika...
Nimekuwa nikijiuliza muda mwingi mbona kama ni ajira kuna wengine wameajiriwa, wanawake wanahamishia stress zao kwenye kazi zao.
Leo nimeshuhudia walimu wa kike wanamshambulia binti (mwanafunzi) kwa maneno makali tena wote walikuwa kama wanne ivi akijibu huku anaulizwa huku au anaulizwa maswali...
Usijishughulishe kumtafuta Asiekutafuta
Punguza ama acha kabisa kuomba! Kufa Kijerumani.
Zungumza kilicho muhimu tu ili kujiepusha na yanaoepukika!
Atakethubutu kukuonyesha dharau, confront Him/Her immediately.
Usile Chakula cha Mtu zaidi ya aLIvyokula cha Kwako!
Punguza vile unawatembelea Watu...
Kabla ya ndoa kufungwa,watarajiwa hulazimika kufanya vipimo vya afya zao hususan ukimwi.Hii imekuwa ni kanuni na imezoeleka hivyo.
Kutokana na yanaondelea huko ndoani watu kufanyiani mambo ya ajabu,kujeruhiana,kudhalilishana na hata wengine kutoana uhai.
Nashauri mamlaka husika ziweke sheria...
Januari 28, 2025 imekuwa ni siku ya pili ya utekelezaji wa mradi wetu wa Afya ya Akili mashuleni, mradi ambao unalenga kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu afya ya akili kwa wanafunzi na walimu hapa Zanzibar.
Lengo kuu la mradi huu ni kuhakikisha tunajenga kizazi chenye ufahamu wa kutosha kuhusu...
1. Kushindwa kujidhibiti na
kuwajibika.
2. Kukojoa kitandani kwa Watoto katika umri makubwa na Hata watu wazima.
3. Kukosa utulivu pamoja na kulipa kisasi.
4. Kukata Tamaa Baada ya kugunduliwa kuwa Una ugonjwa wa muda mrefu kama vile maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
5. Kutokukubali ukweli wa...
Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Mashuleni
Unguja, Zanzibar – 23 Januari 2025
Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Wizara ya Afya, imeanza kutekeleza rasmi mradi wa kutoa...
Habari wanaJF .
Kiufupi Mimi Baba wa watoto watatu ambao wote ni wa kike.
Naishi nao pamoja na Mama yao .
Tumefanikiwa kuishi miaka 12 mpaka sasa katika ndoa yetu.
Changamoto kubwa ambayo ninaipitia ni hii hapa.
Mimi kazi yangu kubwa ambayo huwa nafanya ni kuuza mazao , kuku wa kienyeji...
Afya ya akili ni miongoni mwa mada zinazopuuzwa, zisizozungumzwa vya kutosha, pia zenye wataalamu wabobezi wachache sana kwa Tanzania. Lakini pia ni mada ngumu kuzungumzwa kutokana na kukosa uelewa sahihi kwa sababu jambo hili huchukuliwa juu juu pasipo upembuzi wa kina.
Mtaalamu mmoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.