Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka ikilenga kuongeza uelewa kuhusu masuala ya Afya ya Akili na kuchochea Watu kupata Msaada wa changamoto zinazotokana na Afya ya Akili.
Kaulimbiu ya mwaka 2024 '#AfyayaAkiliKazini' imependekezwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) ili...
Wafanyabiashara wa Kariakoo wengi ni nusu vichaa
Wanaoishi maeneo ya uswahilini kama Manzese Mbagala, Vingunguti, Buguruni, Kwa Mtogole, n.k wengi zimefyatuka.
Wanaoishi nyumba za kupanga familia 3+ kwenye nyumba moja wamechizika kabisa.
Benki ya Exim Tanzania imefanya tamasha linalojulikana kama ‘Exim Bima Festival 2024’ lenye lengo la kuchangia huduma za afya hususani kwa Wagonjwa wenye changamoto ya Afya ya Akili.
Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete amezindua Tamasha la Exim Bima Festival ikiwa...
Watu wengi mtu anapokosea kufanya jambo, tunalaumu. Wachache hujiuliza amekutwa na nini. Jambo tusilofahamu ni kwamba, kila moja achukuliwe kwa upekee alionao. Haina maana tumpongeze mtu anaevunja taratibu nzuri katika jamii zetu.
Upekee hujengwa na sababu za kimazingira, na za kibaiolojia...
KUJIONA | KUJIPENDA | KUJIJALI
Jambo lolote unalohisi haupewi ni kwa sababu hauna, ukiona mtu analalamika hapendwi ndani yake yeye ndio upendo hamna, mtu akisema anadharauliwa ndani yake dharau zimejaa, vivyo hivyo kwa kupoteza kipaumbele chako mwenyewe.
Hii ni kwa sababu ukiwa na kitu ndani...
Huku dunia ikidhiamisha siku ya hamasishisho dhidi ya kujitia kitanzi leo, takwimu kutoka kwa Idara ya takwimu nchini (KNBS) pamoja na Idara ya polisi zimeonesha kuwa takriban watu 1,576 walijitia kitanzi katika kipindi cha miaka 4 iliyopita.
Shirika la kutetea haki za binadamu KNCHR limetoa...
Afya ya akili haipimwi kwa vile tunavyofanya peke yake, ila ni pamoja na vile tunavyokataa kufanya moja ya nguvu kubwa ya kuwa na afya bora ya akili ni uwezo wa kusema hapana, kama kwako neno hapana ni gumu kulitoa hata kama unaona haiko sawa tambua ubora wa afya yako ya akili una shida kuna...
UBORA WA AFYA AKO YA AKILI.
Ipo haja kubwa ya kutoa elimu zaidi kuhusu maana ya afya ya akili na jinsi ya kujitambua iwapo uko na changamoto hii, watu wengi wanahesabu afya ya akili ni ukichaa ambapo imani hii inawafanya hata wanapokuwa hawako sawa wanaona ni kawaida.
Lakini kwa uhalisia...
MAPAMBANO YA SIRINI.
Jambo la msingi sana kutambua kwenye haya maisha ni kwamba haijalishi unamuona mtu yuko vizuri ama amefanikiwa kwa kiasi gani tambua yuko na mapambano yake sirini, na mapambano ya sirini yanabaki ni siri ya mtu huenda usiyatambue kabisa kwa sababu mbele ya macho yako unaona...
Watu walioumizwa kihisia mara nyingi huonyesha tabia maalum. Hapa kuna ishara 11 za kawaida:
Mara nyingi hutafuta njia za kujishughulisha ili kuepuka mawazo yenye uchungu.
Wakati fulani, wanaweza kupendelea kuwa peke yao badala ya kushirikiana na wengine, kwa kuwa hilo huwasaidia kupata...
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano, Stanley Kafu (kati) kutoka Benki ya Exim Tanzania, akizungumza wakati wa kutangaza ujio wa tamasha la Exim Bima Festival 2024, likiwa na kaulimbiu ‘Amsha Matumaini’, ambalo litafanyika terehe 28 Septemba mwaka huu katika Viwanja vya Gymkhana jijini Dar es...
Huwa natamani kukaa na vijana Kama hawa na kuwajenga KIAKILI na kuwarudisha Katika jamii ili waweze kuwa na tija katika familia zao na jamii kwa ujumla.
Nawaza kuja kufanya project Kama hii kwa kushirikiana na wadau mbalimbali
Kuna wazazi wanaumia
Kuna ndugu wanaumia
I hope one day...
Why smart boy with high IQ most of them like girl with Nyash...?
Answers....
Solution
According to simple manipulation
Let say Brain = A
Nyash = B
But Brain phenotypically resemble with Nyash
So Nyash ~~ Brain
Mathematical
Nyash = K Brain.
(K is beuty costant)
So
A = KB
Biologically...
Afya ya akili inaonekana kuwa tatzio ndio maana imekuwa tatizo kubwa duniani tena kwa nchi ambazo mfano Tanzania wakisingiziwa na CCM kuwa nchi yao ni wapole na wapenda amani.
Wanaokumbuka Y2K basi teknolojia ilikuwa kama CCM mpaka kufanya wajinga wakawa wajinga.
Tuje kwenye mada ambazo ni...
Saikolojia?
Kwamba wanaume wanatunza uchungu moyoni bila ya kushare na wengine kama wafanyavyo wanawake kuwa wepesi midomoni.
Mihadarati?
Kwamba wanaume ndio watumiaji wa kupindukia wa madawa ya kulevya na ulevi wa pombe wa kupindukia zaidi ya wafanyavyo wanawake.
Uchawi?
1: Kwamba mwanaume...
Dkt. Gwajima D Wasalaam,
Ni tatizo la kawaida kwa watu wazima kupoteza uwezo wa kiakili au kupoteza kumbukumbu kadiri umri unavyokwenda. Hata hivyo kwa baadhi ya Watanzania hili suala halijulikani sana. Kuna wenzetu huko wanakotoka labda hakuna wazee au labda wazee wao tatizo hili hawana, kwa...
🔹Kuwa kijana huja na Matukio ya kusisimua ambayo yana Changamoto maradufu.
🔹Akili ya kijana hukua Kulingana na namna anavyoshughulikia maisha yake ya kila siku.
🔹 Tafiti Zinaeleza kuwa 75% ya Matatizo ya akili huanzia katika umri wa ujana. Kijana mmoja Kati ya vijana watano huripoti kuwa na...
Leo tuachane na mambo ya kubeti na kamala nyinginezo za mtandaoni zinavyopoteza nguvu kazi kubwa ya taifa na kuifanya iwe tegemezi.
Tuuangalie mtandao wa tiktok nao pia unachangia pakubwa kuongeza idadi ya vijana wanaopatwa ulemavu wa akili haswa dada zetu.
Wadada wengi wanashindwa kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.