Wasalaam
Kuna jambo linamiumiza kichwa nimeshindwa hata kulala usiku huu nikaona niwashirikishe humu
Historia ya Charles David
Mtoto huyu ambae nimepata kufahamiana na mama yake kwa zaidi ya miaka 7 hivi. Kwa majina anaitwa Charles David. Hakuzaliwa na ulemavu, alipata ulemavu wa mwili na...
Ndugu,Jamaa na Marafiki kwa sasa kumekuwa na Wimbi kubwa la watu kukata tamaa na kuamua kukatisha maisha kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo za kimahusiano,Ukosefu wa ajira, na mambo mengine kama hayo.
Sasa kwa kuwa watu hawa wengi ni waumini wa Madhehebu mbalimbali ni muhimu sasa kanisani...
Wakuu hivi hawa waganga wa kienyeji Huwa Wana maneno matamu kiasi Gani yaani mtu mpaka anamtorosha mgonjwa wake hospitali ili ampeleke Kwa mtaalamu.
Cha ajabu zaidi ugonjwa wenyewe unakuta unatibika hospitali kwa gharama mdogo sana lakini akienda upande wa pili mwamba anapiga Hela na anauachia...
Mpina atakuwa ana tatizo la afya ya akili (kwamba ni kichaa)? Hoja imetolewa na mbunge ambaye kaonyesha wasiwasi kuhusu afya ya akili ya mbunge Mpina.
Ukichaa ni moja ya mago hwa yanayotibiwa na Hospitali yetu bingwa kabisa ya afya ya akili, Milembe, ambayo haiko mbali na viunga vya Bunge...
Kati ya sababu zinazochangia ongezeko la Watu wanaothirika na matatizo ya Afya ya Akili hasa kwa Wanaume ni pamoja na masuala ya Mahusiano, Talaka, Ukosefu wa Fedha, Ajira, Magonjwa, Upweke, Mzigo wa Familia, au Pombe kwa Wanaotumia
Pamoja na kukabiliwa na changamoto zote hizo, wengi wao huwa...
Afisa kutoka Wizara ya Afya, Asnath Mpelo amesema kuwa Serikali ipo katika hatua za mwisho kuanza kutoa mafunzo ya shahada ya juu ya uuguzi wa afya ya akili, ikiwa lengo ni kufikisha huduma hizo za kibobezi katika ngazi chini kwenye jamii.
Ameyasema hayo leo June 20, 2024 wakati wa utoaji wa...
Rejea kichwa cha habari hapo juu
Nahitaji maoni ya wadau
Je, kuoa uliyemzidi umri au kuoa aliyekuzidi umri au mnayelingana ipi hapo ni nzuri na salama kwa afya ya akili kwa mwanaume
Na kwa wadada kuolewa na mtu mzima Sana , au mnayelingana umri , kuolewa na Ben 10 ipi mnaona sio pasua kichwa
Ukijiona unapenda kupinga kila jambo hata kama hakuna sababu ya kufanya hivyo, basi ujue safari ya Mirembe inakuhusu. Hakika kuna watu ambao hupenda kupinga na kukataa kila kitu hata kama ukweli uko wazi kabisa. Najiuliza tu, sijui ni wanachama wangapi wa upinzani wataenda Mirembe.
Ukijiona una...
Tafiti za Kiafya kuhusu Afya ya Akili zinaonesha Binadamu yeyote katika wakati fulani hukabiliana na mambo kadhaa yanaweza kuathiri Ubora wa Afya ya Akili kwa muda mfupi au kubaki na athari hizo kwa muda mrefu
Inaelezwa kuwa Matatizo ya Afya ya Akili huanza kuwa Sugu katika Umri wa miaka 14 na...
With the alarming increase in the number of people being affected or at risk of being trapped into mental health issues , the society has experienced a shift in approach to mental health through "Mental Health Awareness".This is a transformation characterized by creating awareness, open...
Habari zenu wakuu?
Eti kwamba mwanaume ukiwa na msongo wa mawazo (stress) unapaswa kulia machozi kwamba inasaidia kukutuliza na kukuepusha magonjwa ya afya ya akili?
Iko hivi ndani ya miaka mitatu hii Kuanzia 2021 nilipata changamoto mbalimbali kubwa kwa vipindi vifupi vifupi
Mama wa watoto...
Angalia SOUL (NAFSI) cartoon iliyowekwa maneno ya kiswahili na DJ MACK.
Hii kwangu imekuwa kama tiba na kunifanya nijione mwenye thamani katika hii dunia.
Kabla nilijuona ni mtu nisiye na thamani yeyote ile mpaka kutamani heri nife.
Ila kwa kutazama SOUL CARTOON imenirejeshea amani na furaha...
Kuongezeka kwa matukio ya ukatili dhidi ya watoto nchini Tanzania ni tatizo changamano lenye sababu mbalimbali, zikiwemo:
Sababu za Kijamii:
* Mtazamo potofu wa kijinsia: Baadhi ya jamii zinaamini kuwa wanaume wana haki ya kuwadhibiti wanawake na watoto, na hii inaweza kusababisha ukatili wa...
Nadhani kama nchi, lazima tulishafanya study ya saikolojia na tabia za kabila, wilaya, mkoa wa nchi yetu. Hii inasaidia kiongozi akifika huko, anajua jinsi ya ku-deal na watu wa upande aliopo.
Hivi karibuni nilimsikia TAL akilalamika jukwaani, kabla ya kulalamika, ailikuwa akitoa historia ya...
Hali ya uchumi imekuwa ngumu, na zamani, wanamama waliweza kukaa nyumbani na kulea watoto wao vizuri kwa kujishungulisha kwa biashara ndogondogo ana kuweza pia ungalia na kuwa na muda mrefu na watoto wao. Hata hivyo, sasa inawalazimu kuwa na watu wa kuwasaidia kulea watoto kama dada wa kazi au...
Ukatili wa majumbani huwa hususani kwa wanawake ila pia sasa kuna tatizo la unyanyasaji kwa wanaume ni tatizo kubwa lakini mara nyingi halionekani, hasa kwa sababu ya jinsi wanavyokuwa wanaonekana katika jamii kwamba wanaume wanapaswa kuwa na nguvu, kujitegemea, na kushughulikia matatizo yao...
Kuna video clip huwa zinasambazwa zenye kuonesha watu wenye matatizo ya akili ambao wamepotea au kutojielewa kwa wakati huo. Video hizo huonesha mahojiano kati ya mwenye tatizo na mchukua video.
Je, ni sahihi kufanya hivyo?
Je, ikitokea sasa mwenye hili tatizo akawa sawa, na kuiona video hiyo...
CDE JOKATE APEWA TUZO YA UBALOZI WA AFYA YA AKILI
31 MEI, 2024
UVCCM HQ
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) - Cde. Jokate Urban Mwegelo apewa Ubalozi wa afya ya akili kutoka Hospitali ya Taifa ya Afya ya akili Mirembe leo Mei 31,2024 jijini Dodoma ambapo...
Afya ya akili ni ule uwezo wa mtu kuweza kuendana na Hali ya maisha ya Kila siku kuanzia kufiri Hadi utendaji wake wa kazi.
Inapokuwa ni tatizo la afya ya akili,hapo akili inakua imeathiriwa mfumo wake wa utendaji kazi,mfumo wa maisha na hata tabia hubadilika.
Tatizo hili limekua ni mwiba kwa...
Tanzania tuitakayo Selikari ianzishe Application inayo husiana na masuala ya afya ya akili vijana wengi wanaona ni aibu kwenda kuelezea matatizo yanayo wakabili wakiamini Depression ni magonjwa ya kizungu lakini app moja ikianzishwa inayo deal na maswala ya msaada wa afya ya akili ikatoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.