Huu mwezi wa majanga ya kujinyonga tu, kaanza Askofu, kafata mwanafunzi akisomea upadre amebaki masister nao mjihadhari na hii roho mtaumbuka.
Nimeona huyu askofu amezikwa kikristo baada ya kujinyonga.
Swali langu, roman catholic kutokana na sababu za dogo kujinyonga zinaeleweka nae mtamzkka...
Kuwekeza katika Afya ya Akili kwa Tanzania Yenye Afya ya Akili
Utangulizi
Afya ya akili ni sehemu muhimu ya afya na ustawi wa jumla. Hata hivyo, nchini Tanzania, afya ya akili mara nyingi hupuuzwa au kudharauliwa. Hii imesababisha pengo kubwa la huduma, na kusababisha mateso yasiyo ya lazima...
UTANGULIZI
Kumeendelea kutokea matukio mengi ya uhalifu nchini Tanzania yenye viashiria vya kuwepo tatizo kubwa la afya ya akili miongoni mwa wananchi. Miongoni mwa matukio hayo ni visa vya mauaji kutokana na visa vya wivu wa mapenzi, watu kujinyonga, kujiua kwa sumu, uraibu wa kamari, ubakaji...
Wakuu kwema?
JF imefanya mjadala leo kuhusu kupata mbadala wa adhabu ya viboko shuleni, huku lengo kubwa ikiwa adhabu hiyo kuondolewa kabisa shuleni.
Nimesikia watu wanasema bila fimbo wangekuwa wamepotea huku wengine wakigoma kuwa adhabu ya viboko inapaswa kukomeshwa, mimi binafsi naunga...
Wana MMU,
Wengi tukisalimiana unaambiwa good moorning, unajibu tu kukamilisha salamu. Unaulizwa unaendeaje na hali unajibu fasta tu salama wakati ukweli ni kwamba unakaribia ku give up, maisha yako yameshikiliwa na ki uzi chembamba tu kiasi kwamba upepo ukipiga kidogo tu umekwenda.
Wengine...
Katika ulimwengu wa vijana hasa wa vyuoni, afya ya akili mara nyingi hupuuzwa, licha ya umuhimu wake katika mafanikio ya kitaaluma, ukuaji binafsi, na hali ya maisha kwa ujumla. Makala hii inachunguza changamoto za afya ya akili miongoni mwa vijana na inatoa mikakati ya vitendo vya kukuza na...
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sunday, mkazi wa Kitongoji cha Misungwi Kata ya Usagara wilayani Misungwi mkoani Mwanza, anadaiwa kubaka kuku hadi kufa.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema mtuhumiwa alimkamata kuku huyo ambaye alikuwa anataga kisha kumuingiza ndani ya nyumba yake...
Mahakama ya Wilaya ya Handeni imelazimika kuahirisha kuwasomea hukumu washtakiwa wawili wa kesi ya unyang'anyi kwa kutumia silaha, Waziri Mohamedi na mwenzake Mohamed Ndumi baada ya mmoja kueleza hajisikii vizuri kiafya, mwingine akidai kuwa akili haiko sawa.
Hukumu hiyo ilipangwa kusomwa leo...
Tukio hili la kusikitisha lilotokea mwezi uliopita katika Kata ya Machame Narumu huko wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro limeleta sintofahamu katika familia ya kijana huyo ya watuhumiwa kuachiwa huru hata kabla ya upelelezi na kesi kufikishwa Mahakamani.
Wanafamilia wa kijana huyo wamesikitishwa...
Hivi karibuni kumekuwa na hoja kadhaa kuhusu vifurushi vya Huduma za Bima ya NHIF, kuna mengi yanazungumzwa lakini leo nataka kushea moja ambalo limenikuta na inawezekana likawa na madhara makubwa katika jamii japokuwa Watu wengi hawalitazami kwa jicho hilo.
Katika vifurushi ambavyo vinalipiwa...
Wakuu kwema?
Shuleni ni sehemu ambako watoto (walioanza kwenda shule) wanatumia muda mwingi kuliko nyumbani. Mbali na masomo, chakula ni kitu muhimu pia ambacho kina nafasi kubwa katika ukuaji wa mtoto.
Sasa je, unajua sehemu anapopata chakula mtoto wako ina hali gani?
Kuna shule ukiona...
Kabla ya Kuoa au Kuolewa, Wataalamu wa Uhusiano wanashauri Wenza wajadili na kukubalianana kuhusu hali, tabia, matarajio na mambo mengine muhimu ikiwemo.
Ulipaji Bili zetu utakuwaje?
Mtindo wa Malezi ya Watoto utakuwaje?
Una madeni yoyote na yanalipwaje?
Afya ya Akili yako ikoje? (wote mpime...
#AFYA: Utafiti wa mwaka 2023 uliofanywa na Kituo cha Taifa cha Takwimu za Elimu (NCES) cha nchini Marekani, umeonesha 87% ya Walimu wa Shule za Umma walikabiliwa na Msongo wa Mawazo, Kuelemewa na Kazi Ningi na Mtazamo Hasi juu ya Kada ya Ualimu.
Hata hivyo, utafiti umebaini Shule zenye Utaratibu...
Nairobi, Kenya.
Mnamo Aprili mwaka jana, kiongozi wa kundi la dini nchini Kenya, Paul Mackenzie, alikamatwa baada ya zaidi ya watu 400 kugunduliwa wamekufa na miili yao kuzikwa kwenye makaburi ya pamoja. Jaji ameamuru Mackenzie afanyiwe uchunguzi wa afya ya akili kabla ya kushtakiwa. Wengi wa...
Asilimia kubwa ya watu duniani ni wagonjwa kiakili kwa kujua au kutokujua.
Bahati mbaya watu hawa ambao wengi ni Maprofessionals, Maprof, Wasanii, wachungaji feki (gospelpreneurs), Wanasiasa na wafanya maamuzi ya dunia ndio wanaoaminiwa sana na watu. Hii imepelekea mlipuko mkubwa wa janga la...
MAMA YANGU MZAZI ALIFARIKI NIKAMUOMBEA AKAFUFUKA; PROPHET MALISA
"Moja ya kitu ambacho sitakuja kukisahau katika maisha yangu yote ni siku ambayo mama yangu mzazi alifariki halafu nikamuombea akafufuka, na hakufariki mara moja, ni mara tatu na zote nilimfufua"- Prophet Malisa
Hata hivyo mama...
Uvaaji wa maVazi ni ishara ya jambo fulani kwa mvaaji kama vile huzuni, furaha, umoja, aina ya kazi ufanyayo na ujumbe unaotaka kuwasilisha kwa jamii.
Jezi mpya ya Simba Ina mabango 2 kifuani yanayoitangaza bidhaa ya moxtra, hii inamaanisha nini kwa atakaekuwa ameivaa hii jezi, imekosewa...
Siku hizi Kuna dhana imeibuka karibu kila Kona eti tatizo la afya ya akili. Ki ukweli hakipo kwa sababu zofuatazo.
1. Mtua amemaliza chuo kikuu na alikuwa na malengo mengi ya maisha kama kupata kazi ya uhakika lakini miaka nenda Rudi kazi inakoseka. Sasa huyu mtu akianza kuchanganyikiwa na...
Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 10 Oktoba. Lengo la siku hii ni kuongeza uelewa kuhusu masuala ya afya ya akili, kupunguza unyanyapaa, na kusaidia kutoa msaada kwa watu wenye matatizo ya afya ya akili.
Inasisitiza umuhimu wa kujali afya ya akili kama sehemu muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.