afya ya akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bonge La Afya

    Kila mtu ana namna anapata hisia (nyege) ili ashiriki tendo, kuna namna nyingine huwa ni magonjwa ya afya ya akili na hamjui. SOMA

    Leo utayafahamu haya magonjwa ya afya ya akili yanayoitwa Paraphilic disorders. Haya magonjwa pia uhusisha matamanio ya kingono ambapo mtu hupata hisia (nyege) katika hali ambayo sio ya kawaida aidha kwa mawazo, vitu au tabia fulani ambazo zinaweza kumletea madhara au kumuweka katika hatari ya...
  2. M

    Mikopo ya watumishi ni hatari kwa uchumi na afya ya akili na mwili

    Kwa muda niliofanya kazi serikalini (TAMISEMI) nimeona shida hii kwa watumishi wenzangu. 1. Ni kweli mikopo ina msaada kwa watumishi walio wengi kwa sababu bila mkopo, hawa watumishi wa local government wangeendelea kutia aibu na kuonekana ni watu masikini sana, kumbuka 75% take home za sisi...
  3. BARD AI

    Mzazi unapaswa kutambua dalili kama Mtoto wako ana Tatizo la Afya ya Akili

    Mtoto mwenye tatizo la #AfyaYaAkili anaweza kuwa na changamoto mbalimbali zinazomfanya awe na Tabia zisizo za kawaida au hali ya kutokuelewana na wengine katika jamii yake. Baadhi ya matatizo ya Afya ya Akili yanayoweza kuathiri Watoto ni pamoja na kuvurugika Kihisia kama vile kuongezeka kwa...
  4. J

    MJADALA: Namna makuzi/ malezi yanavyoweza kuwa chanzo cha matatizo ya afya ya akili

    Je, unafahamu kuwa Kumbukumbu ya Matukio Mabaya (Trauma) ya Utotoni huweza kuathiri Afya ya Akili ya Wahusika? Tafiti zimeonesha kuwa Watoto wanaopitia changamoto kama Unyanyasaji, Kutelekezwa au Kuishi katika Mazingira magumu wana uwezekano mkubwa wa kupata na kuishi na changamoto za afya ya...
  5. BARD AI

    Mama mwenye tatizo la Afya ya Akili alivyotaka kumnyonga mwanae kwa kusikia sauti

    Mjadala uliofanyika Machi 3, 2023, katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA) kuhusu afya ya akili baada ya kujifungua, umenikumbusha mbali. Siku moja napita pita katika wodi ya watoto wachanga nawahimiza akina mama kunyonyesha watoto, mama mmoja aliniita, “Dokta...
  6. BigTall

    Huduma za Afya ya Akili ziingizwe kwenye Huduma za Mama na Mtoto

    Mjadala uliofanyika Machi 3, 2023, katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA) kuhusu afya ya akili baada ya kujifungua, umenikumbusha mbali. Siku moja napita pita katika wodi ya watoto wachanga nawahimiza akina mama kunyonyesha watoto, mama mmoja aliniita, “Dokta...
  7. starlightz

    Meditation: Maana, njia na faida zake

    Meditation ni mazoezi ya akili ambayo hutumiwa kufikia utulivu wa ndani na kuboresha hali ya kisaikolojia. Ni mazoezi ya kimwili na kiakili yanayojumuisha kutulia kwa muda, kuzingatia mawazo au pumzi, na kuachilia hisia na mawazo yasiyofaa. Kwa kawaida, meditation inalenga katika kupunguza...
  8. JanguKamaJangu

    Njia nne zinazoweza kukusaidia kuwa na kumbukumbu bora zaidi

    Usahaulifu au amnesia kwa lugha ya kitaalamu ni hali inayosababishwa na mtu kutokuwa na afya ambayo watu wengi huugua bila kujua. Wakati mwingine hugeuka na kuwa ugonjwa unaofahamika kama "Dementia" na kuwa katika aina tofauti. Professor Richard Restak, anayefundisha sayansi ya ubongo katika...
  9. JanguKamaJangu

    Staa wa filamu Bruce Willis ana changamoto ya Afya ya Akili

    Familia imeweka wazi kuwa Staa huyo aliyetamba katika filamu nyingi zikiwemo Die Hard, The Sixth Sense na Armageddon anasumbuliwa na ugonjwa wa #FrontotemporalDementia unaomfanya kupoteza kumbukumbu na ufahamu wa mambo mengi. Imeeleza kinachomsumbua Willis (67) ni mwendelezo wa hali iliyomtokea...
  10. IamMrLiverpool

    Muziki na afya ya akili

    Muziki ni njia nzuri ya kuweka akili yako imara na kukusaidia kujisikia vizuri. Wataalam wa tiba ya saikolojia wanathibitisha kuwa muziki ni tiba bora kwa magonjwa ya akili kama vile wasiwasi, unyogovu na mkazo. Daktari wa tiba ya akili, Dk. Thomas R. Verny, anasema "Muziki ni tiba ya kiroho na...
  11. JanguKamaJangu

    Matatizo ya Afya ya Akili utotoni yanaweza kuchochea kupoteza kumbukumbu

    Matatizo yanayotajwa ni umasikini, migogoro ya familia au kuugua na kingine chochote ambacho kinaendana na utimamu wa Afya ya Akili. Utafiti wa Chuo Kikuu cha Cambridge cha England umebaini kuwa mtoto anapofikia hatua ya kufanya maamuzi wakati wa ukuaji wake anaweza kuathirika mfano kusahau...
  12. BARD AI

    40% ya Wagonjwa wanaotibiwa Saratani Hospitali ya Bugando ni Wanawake wenye Saratani ya Shingo ya Kizazi

    Mkuu wa Idara ya Saratani wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Dkt. #NestoryMasalu amesema 40% ya Wagonjwa wote wanaotibiwa tangu mwaka 2009 ni Wanawake wenye #Saratani ya Shingo ya Kizazi. Dkt. Masalu amesema #Bugando inahudumia Wagonjwa wapya 1,500 wenye tatizo la Saratani kwa mwaka huku zaidi ya...
  13. R

    Mzazi, nini kinakupa ugumu kumuomba msamaha mtoto wako pale unapomkosea?

    Wazazi wengi huwa hawana utamaduni wa kuomba msamaha watoto wao pale wanapogundua kuwa wamewakosea. Badala yake hutengeneza mazingira ama ya kugeuza kosa lile liwe kwa mtoto, au kutengeza mazingira ya kumfanya mtoto kuonekana anastahili adhabu hiyo sababu alizubaa kusema mapema kuwa hajakosa...
  14. Manyanza

    Je, hauna furaha kabisa na hujui chanzo chake na kila njia unatumia haileti matumaini kwako?

    Kukosa furaha kabisa kwa muda mrefu sana bila sababu yoyote ya msingi huwa ni kiashiria cha tatizo sugu ambalo unakuwa upo nalo kwa muda mrefu sana bila kulipatia ufumbuzi. Kuna tatizo la kisaikolojia ambalo huitwa PTSD -KIWEWE CHA MATUKIO YENYE KUUMIZA, KUHUZUNISHA NA KUSHTUA SANA. Ambapo...
  15. J

    Nawezaje kuishi na Mtu mwenye changamoto ya Afya ya akili?

    Habari Wana JF, Naombeni ushauri ndugu zangu namna ya kuishi na mtu mwenye stress over. Nimeshagundua rafiki yangu anatatizo la afya ya akili kwasababu. Ni mtu mwenye hasira muda mwingi Hana furaha kwasababu mnaweza kukaa siku nzima usione anachekaa. Muda mwingi analalamika hata likitokea...
  16. sifi leo

    Unawezaje kwenda kwenye ATM kutoa pesa yako halafu uisahau hapo hapo?

    Sitaki kupoteza muda wenu ni hivi! Jana majira ya saa mbili za usiku nilifika kwenye ofisi za NMB maeneo ya Himo pale kwenye ATM Kwa lengo kutoa kapesa kidogo Kwa lengo la kununua KITOCHI cha Konyagi pale Mombasa Highway. Nilishangaa kuingiza kadi kwenye ATM na kutoa pesa Ile napapasa macho...
  17. Linguistic

    Makanisa Ya Kilokole Yamechangia Watu Wengi Kuwa na Ugonjwa Wa Afya Ya Akili

    Nataka nifungue Kanisa langu nipige mpunga. Naona future ipo huko. Siku hizi watu wamekata tamaa sana wanahitaji maneno ya faraja tu kidogo alafu wanakupa sadaka. Hebu mwangalie Pastor Mgogo, Yule mzee Majumbasita, Mashimo, Geo David Wa Arusha Kuna mmoja hivi ni comedian, Masanja...
  18. moyafricatz

    Unapataje Afya ya Akili ili hali unadaiwa namna hii?

    Unapataje AFYA ya Akili, ili Hali unadaiwa namna hii? Kanisani. 1. Unadaiwa Fungu la kumi 2. Ujenzi wa Kanisa. 3. Kumnunulia gari Mtumishi. 4. Ujenzi nyumba ya Pastor. 5. Mchango kwa wasiojiweza. Serikalini. 1. TRA 2: TOZO. 3: Leseni ya biashara. 4: Bill ya MAJI 5: Bill ya umeme 6:Tozo ya...
  19. BARD AI

    Makanisa ya ajabu ajabu yanashamiri kwasababu ya Tatizo la Afya ya Akili

    Waziri Ummy amesema “Bila afya ya akili hakuna afya, lakini tunaogopa tunajificha katika kivuli cha unyanyapaa. Tutasikiliza kutoka kwa wachokoza mada tutaangalia tatizo la afya katika jamii, shuleni, afya ya akili kwa watoto, binafsi kama waziri nimeona tuvunje ukimya.” Amesema tatizo la afya...
  20. Jidu La Mabambasi

    Job Ndugai: Wabunge watarajiwa wapimwe afya ya akili

    "Ndugai: Kuna wanaotoa maoni wabunge wapimwe afya ya akili Spika wa zamani wa Bunge, Job Ndugai amesema kumekuwa na maoni wabunge wapimwe afya ya akili kabla ya kwenda kuomba ridhaa ya kuwawakilisha wananchi bungeni akieleza kuwa jambo hilo ni la kuwaachia wananchi ili kuona kama lina...
Back
Top Bottom