Habari Wana jamiiForums, Nipende kuwapongeza sana madaktari na manesi wa Hospitali ya Afya ya Akili iliyopo mkoani Dodoma.
Kwa mtazamo wangu, niliposikia hii ni Hospitali ya wagonjwa wa afya ya Akili nilijua madaktari na manesi watakuwa ni watu waliokaa kikatili,hawajali na ni watu wa matusi...
Wanabodi,
Watanzania wanajua wanavyotawaliwa na walivyotawaliwa. Kuna mambo yaliyofanywa au kufanywa na baadhi ya viongozi wetu yanatia shaka kuhusu utimamu wao kiafya hasa upstairs.
Haya ni mawazo na maoni yangu. Sijui kama wenzangu mnayaona haya. Na kama mnayaona, mnaonaje ushauri kuwa kuna...
chanzo gazeti la mwananchi la jana 19 Dec 2024
Ila mimi kwa mawazo yangu waache kuonea watumishi wa umma.Wangeenda mbali zaidi na Wanasiasa hadi Bungeni.
kuna baadhi ya mambo wanapitisha mpaka unawaza wanafikiria kwa kutumia matumbo au kichwa?
Ni mambo yapi ambayo mnafikiri wabunge wetu wakati...
Mada Inajieleza.
Mh. Deus Sangu bado ni kijana?
Soma pia:Naibu Waziri Deus Sangu: Tutaanza kufanya vipimo vya afya ya akili kwa vijana kabla hawajaajiriwa Serikalini
Wakuu,
Inakuaje vijana mmekuwa na utovu wa nidhamu kiasi hiki mpaka mnatakiwa mpimwe afya akili kabla hamjawa watumishi wa umma huko Serikalini?
Akizungumza leo Jijini Dodoma na Naibu Waziri , Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu wakati wa akifunga kikao kazi cha siku...
Wahubiri wanatumia watu kua mtaji wao, na kumekua na mahubiri ya kuhubiri mafanikio, na Kuna utapeli unaombatana na Dini, wahubiri wanajinufaisha kupitia Fedha za waumini wao.
Jopo kubwa linalolengwa na wahubiri ni wanawake.
Ukitazama Television nyingi wanashuhudia kujibiwa maombi na Kuna kua na...
Kuna watu wamekuwa kero kama kelele za mbu karibu na sikio. Wanalinganisha mafanikio ya Raisi Samia na yale aliyofanya Raisi Nyerere enzi za uraisi wake. Wanashindwa kabisa kutambua Nyarere kama Raisi hawakuwa na wigo wa serikali kupata mapato alionao Samia hivi sasa. Leo hii ukilinganisha hela...
Hakuna mechi kali Kama Ile inayoanza saa tano na kuendelea watoto wameshalala,
Aidha kama hamna watoto, basi mshamaliza task zote
👉Missionary style ndo iwe style ya mwisho, kutoa wazungu wenye asili ya wayahudi🤣
Kuna ile mechi fulani huwa inaanza Satisa usiku umeshtuka tu usingizini unavuta...
Mimi sio daktari ila nasikia ni kianzilishi kikubwa sana cha magonjwa ya moyo.
Vijana wenzangu ukifikia hali ya kupiga nyeto mpaka mara tano kwa siku basi ujue kwamba una hali mbaya sana.
Kama kuna dawa ya kuacha nyeto basi wataalamu tusaidieni.
Ndio maana siku hizi watu wenye matatizo ya...
Katika hali ya kushangaza,jamaa wakiwa full-combated huku wakiwa wamejibebesha kila aina ya vifaa vya kisasa juu ya miili yao kuwasaidia kwenye battle ground dhidi ya Hamas,hapo ni baada ya jets na tanks za kisasa kusasfisha njia ili kuweka mteremko zaidi lakini mambo yamekuwa si mambo kwa...
Wakuu sina mengi ya kuandika kabisa ila nahisi naelekea huko kwa wapenzi au wasikikilizaji wa nyimbo ya karubandika ya mtoto wa dandu kama umeisikiliza vizuri ndiyo ambacho nikizingua naenda kukipitia hiko maisha si rahisi kama unavyofikiri ndugu zangu dunia imejaa dhiki na maumivu yasioelezeka...
Australia inapanga kuzuia watoto wenye umri chini ya miaka 16 kuingia kwenye mitandao ya kijamii ili kulinda afya ya akili ya vijana, huku waziri mkuu Anthony Albanese akisema kuwa mitandao hii imekuwa na athari mbaya kwa watoto na kwamba ni wakati wa kuchukua hatua. Makampuni ya mitandao ya...
Haya sasa wale ambao wanakutana na matatizo ya afya ya akili hatimaye serikali imewakumbuka sasa
Ila nimeipenda hii itatusaidia wengi sana. Kikubwa hilo baraza lifanye kazi kwa uwelidi na kuwasaidia watu
=====================
Serikali inatarajia kuanzisha Baraza la Afya ya Akili nchini...
Wana Jf mko poa? Aisee wale wenzangu namimi wa sekta binafsi, tuambizane kama nyie mna Afya ya akili makazini kwenu.
Picha linaanza unaingia ofisini saa2 unaondoka saa11, ni lazima sio matakwa tu.
Halafu mshahara wako ambayo ni haki Yako, unapata tarehe 37, 38, 39 sometimes mpaka hata tarehe...
Mhadhara - 48:
Nakiri kwamba Vicoba na michezo ya kutoana/kupeana hela vinawasaidia wanawake kujikimu mahitaji yao madogo madogo ya nyumbani.
Hata hivyo kumeibuka wimbi la wanawake wengi kujiunga kwenye vicoba vingi na idadi kubwa ya vikundi vya kutoana/kupeana hela kuzidi uwezo wao wa kifedha...
Kwa asilimia kubwa ya utamaduni wetu hapa Tanzania mtu anapopitia hali ngumu kiakili huwa ana dhaniwa katika nadharia za kuwa anavuta bangi, ameishiwa (amefulia), anajifanya kujitenga tenga, amelogwa, sio shupavu, etc
Lakini mental disorder is real!!!, na sisi Tanzania tupo nyuma sana katika...
Imegundulika sasa karibia asilimia 90% ya maradhi ya mwanadamu yanatokana na afya ya akili, ingawa kiuhalisia tukiumwa tunapata changamoto katika miili yetu lakini chanzo chake ni afya ya akili.
Kwahiyo kama tukifanikiwa kutatua changamoto ambazo zinatukabili katika afya zetu za akili basi...
Afya ya akili ni kipengele muhimu cha ustawi wa binadamu katika maeneo yote ya maisha, hususan kwenye maeneo ya kazi. Tunapoadhimisha siku ya afya ya akili duniani, na kauli mbiu ya mwaka huu, niongelee kwa ujumla taasisi ninayofanyia kazi. Taasisi za vyama vya siasa zina umuhimu mkubwa katika...
Mi huwa nashangaa watu hasa siku hizi eti mara ooh huyu ana tatozo la afya ya akili mara ooh huyu ana ahangamoto ya afya ya akili.
Ki ukweli kabisa hakuna kitu kama.hicho. Jiulizeni kwa nini hakuna mzungu au tajiri anakuwa na tatizo la afya ya akili. Kwani waafrica tu ndo wamelaaniwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.