afya

  1. itakiamo

    Ombi Kwa Bwana Afya mkoa wa Dar Es Salaam

    Husika na kichwa tajwa hapo juu. Nina ombi au ushauri wa kuongeza msisitizo Kwa watoa huduma (wauza juisi) za miwa watumie nailon maalumu (zinazovaliwa mikononi) ili kuepusha magonjwa yoyote yanayoweza kuambukizwa kupitia mikono isiyo salama. Asante .
  2. BOFREE

    Vitu vya kuzingatia kwa waombaji wa ajira za ualimu na afya secretarieti ya ajira

    napenda kuwakumbusha mambo muhimu ya kuzingatia unapoomba nafasi secretariati ya ajira katika utumishi wa umma 1. hakikisha unatoa copy ya vyeti ikiwemo cha kuzaliwa, sekondari na talaluma na kuweka muhuri wa kuverify kwa wakili, mwanasheria au mahakama 2. unapoandika barua ya maombi...
  3. R

    Hivi Serikali ililenga nini kufuta bima ya AFYA ya watoto chini ya miaka 5?

    Salaam, Shalom!! Huwa ninajiuliza juu ya vipaumbele vya Serikali ya Awamu hii nashindwa kuelewa, hivi bima ya watoto chini ya umri wa miaka 5 kufutwa, lengo Hasa ni nini? Matibabu ya watoto chini ya umri wa miaka 5 yaligharimiwa na Serikali Kwa Kodi zetu, sasa Badala ya kufuta ununuzi wa v8...
  4. Mkalukungone mwamba

    Kituo cha Afya cha Sabasaba katika Manispaa ya Morogoro, kimezidiwa na wagonjwa wa kuharisha na kutapika

    Kituo cha Afya cha Sabasaba katika Manispaa ya Morogoro, kimezidiwa na wagonjwa wa kuharisha na kutapika wenye dalili zote za ugonjwa wa Kipindupindu, ambapo usiku wa kuamkia Julai 16, ITV imekuta wagonjwa 12 wakiwa wametandikiwa magodoro maeneo mbalimbali ikiwemo sakafuni, kwenye mabenchi ya...
  5. chiembe

    Helkopta ndio "imetonesha" majeraha ya Lissu? Namshauri ashughulikie afya yake, asifanye Urais jambo la dharura kwake

    Inawezekana helkopta ilitua vibaya (kwa kujibamiza chini) ikachokonoa majeraha ya Lissu ndio maana haonekani kwenye kampeni? Namshauri ajipe muda apone vizuri, sio chini ya miaka mitatu au minne. Asichukulie urais kama jambo la dharura kwake. Hili lo nchi lipo tu, aangalie afya yake kwanza.
  6. H

    Msaada wakuu, Chuo kizuri kozi za afya ngazi ya diploma

    Habari Wakuu, Naombeni mnisaidie ni chuo gani kizuri cha private ngazi ya diploma kwa fani ya nursing na clinical medicine ambacho kina hostel za bei rahisi au hostel za bure? Chuo kisiwe kanda ya ziwa wala kusini mwa Tanzania. Naombeni msaada pls!
  7. Stephano Mgendanyi

    Uzinduzi wa Bima ya Afya ya Jamii Kijiji cha Mundindi - Wilaya ya Ludewa

    UZINDUZI WA BIMA YA AFYA YA JAMII KIJIJI CHA MUNDINDI - WILAYANI LUDEWA Tunakushukuru kwa tukio la Uzinduzi wa Bima ya Afya ya Jamii ya Kijiji cha Mundindi- Kata ya Mundindi- Wilayani Ludewa. Kijiji cha Mundindi kimefanikiwa kuandikisha wananchi kwenye mfuko wa Bima ya afya ya Jamii (iCHF)...
  8. JanguKamaJangu

    Mazingira ya Mashine za maji ya kunywa ya bure kwa Wananchi Dar es Salaam haziko salama, Wizara ya Afya fatilieni kinachoendelea

    Katika pitapita zangu kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, zaidi ya miezi mitano kuna jambo nimekuwa nikilichunguza ikiwa ni baada ya kukumbana nalo kwa mara kwa mara kwenye nyakati na maeneo tofauti. Ukipita baadhi ya maeneo yaliyopo pembezoni mwa barabara kwenye Jiji la Dar es...
  9. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 3.5 Kiteto Kukamilisha Huduma za Afya Wilaya ya Kiteto, Manyara

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amefika Shule ya Sekondari Ndedo na kukabidhi Kompyuta Tano (05), Printa (Printer), Projekta (Projector) na Mashine ya Photocopy mpya kwaajili ya kufundishia na kuwataka Wanafunzi kusoma kwa bidii kujiongezea Maarifa. Mhe. Edward Ole Lekaita...
  10. GENTAMYCINE

    Mtaalam wa Afya ya Uzazi: Mimba za Watoto wa Kike 'Style ni ya Mende' na za Watoto wa Kiume 'Style ni ya Bong'oa' hivyo Kazi Kwenu sasa mnaowatafuta

    " Ukitaka kupata Mtoto wa Kike hakikisha Mwenza wako ( Mke au Mpenzi ) ukiwa unafanya nae Mapenzi hafiki Kileleni ( yaani Wewe Mwanaume wahi Kumwaga ) kwani ukifanya hivyo utafanya zile Mbegu za Kiume za Y za Mwanaume zisigusane na X za Mwanamke. Lakini pia ukitaka kupata kirahisi Mtoto wa Kike...
  11. N

    Kwenye hili la interveiw kwa kada ya afya naipongeza serikali iwe hivyo pia kwa kada ya elimu

    Habari wakuu? Kwa kweli huyu mama yetu mama samia anaupiga mwingi, kwenye hili la kada ya afya kupitia utumishi na kufanyiwa usaili naipongeza serikali sana kwa sababu kupitia usaili usawa utakuepo lakini pia watapatikana watu competence pamoja na hilo usaili utaondoa dhana ya kuwa kuna...
  12. L

    SoC04 Jitihada ziongezeke katika kuboresha sekta ya afya nchini Tanzania

    Afya ni ile hali ya mwili, akili, na kijamii kuwa sawa. Ni muhimu kujali afya kwa kula vizuri, kufanya mazoezi, na kupata muda wa kutosha wa kupumzika ili mtu aweze kuwa na afya njema. Hili mtu aweze kutunza afya yake Vyakula vyenye afya vinaweza kusaidia kuboresha afya yako. Kula matunda na...
  13. H

    SoC04 Tule Mlo kamili na upimaji afya viwe ni vipaombele Kwa mtoto wa kesho

    Tukisema mtoto ni taifa la kesho iwe Ina maanisha Kwa vitendo Kwa wadau wazazi mpka serikali yenyewe. Ifike mahali wataalam waafya watoe masomo ya mlo kamili Kwa kina mama wajawazito wapo kliniki ili kutengeneza mtoto Bora wa kesho pia ni vizuri wataalam wa afya wakawaoa elimu mama wa jawazito...
  14. jingalao

    Zoezi la Huduma za Afya aliloanzisha Makonda liwekewe utaratibu kwa kila mkoa

    Nipongeze ubunifu huu wa kipekee ambao umefanywa na R.C Makonda. sasa ni muhimu ukawekwa utaratibu kwa kila Mkoa kufanya jambo hili ikibidi kwa mwaka mara moja. zoezi hili lipewe jina la "wiki ya Afya kitaifa" ambapo madaktari bingwa nchini watatoa huduma zao bure kwa wananchi . KWA HISANI YA...
  15. I

    SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Kuboresha Huduma za Afya kwa kutumia Vitengo vya Afya Vinavyotembea (Mobile Health Units)

    Utangulizi Katika kuiona Tanzania ya baadae yenye wananchi wenye nguvu na afya ni lazima tuweke kipaumbele cha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi wote. Wazo moja la kiubunifu ambalo linaweza kuboresha kwa kiasi kikubwa huduma za afya, hasa katika maeneo yasiyo na huduma za kutosha...
  16. Uhakika Bro

    Nguvu ya Mabadiliko kwa Uhisani: Maboresho ya Afya Kupitia Ukarimu

    Uhusiano kati ya ustawi wa akili, afya ya mwili, na tabia ya kutoa ni jambo la kuvutia na tata. Safari ya John D. Rockefeller kutoka ugonjwa hadi afya, iliyoanzishwa na mabadiliko yake kutoka mtindo wa maisha unaozingatia binafsi hadi ule unaolenga uhisani, ni mfano maarufu. Hadithi ya...
  17. Ojuolegbha

    Nukuu za afya wiki hii

    Nukuu za Afya wiki hii.
  18. Melki Wamatukio

    Msaada: Vyuo vya afya ngazi ya Diploma vinavyopatikana mkoani Morogoro

    Naombeni kufahamishwa vyuo vya afya ngazi ya diploma (kwa mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne) vinavyopatikana mkoani Morogoro, ni muhimu sana
  19. Acehood

    Kazi za afya ngazi ya jamii

    Wakuu naomba aliye na ABC za muundo wa mafunzo ya miezi mitatu kwa waliobahatika kupata nafasi ha kwenda kwenye mafunzo ya afya ngazi ya jamii. Hivi kunakuwa na posho wakati wote wa mafunzo. ( Posho kwa siku au kwa mwezi?). Naomba kulifahamu hili mapema kwa anayejua.
  20. Da Vinci XV

    SoC04 Wenzetu wakifanya upasuaji kwa njia za roboti sisi kwetu bado wahudumu wa afya, maarifa na utendaji viko chini (Tanzania tuitakayo)

    Na Da Vinci XV Chanzo: Forbes Wasalaam Wahenga walisema wakati ni ukuta. Sasa wakati huo ambao mimi nikihangaika kumpigia kelele mbunge wangu nilie mchagua miaka 4 iliyopita anijengee daraja walau niweze kuifikia zahanati kwa urahisi ili mimi na familia yangu tuweze kupata huduma bora za...
Back
Top Bottom