Habari za kazi wataalamu wa Afya.
Nina tatizo la sauti yangu kutoka kwa kukwaruza.
Nimetumia dawa lkn sauti yangu halisi imekataa kurudi, naelekea kumaliza mwaka Sasa.
Naomba msaada kwa anaejua mahala sahihi ambapo naweza kupata matibabu.ama kama mtu anaweza kunifanyia matibabu nitashukuru...
1. Osha
2. NIMR
3. Ocean Road
4. NashCop
5. MOI
6. NACP
7. TMDA
8.Muhimbili
9.Benjamini Mkapa hospital
10.MSD
11.Jakaya kikwete Cardiac Institute (JKCI)
12.
13.
Kama kuna zingine ongezea
NB: uzi uliokuepo hakuongelea sana taasisi za Afya.Taasisi za serikali Usitoke nje ya Rada
Pia soma...
Wakati wa utawala wa Rais John Magufuli, serikali ilifanya juhudi kubwa za kuboresha sekta ya afya, na hizi ni baadhi ya takwimu kuhusu miundombinu ya afya iliyojengwa au kuimarishwa:
1. Hospitali za Rufaa:
- Hospitali 7: Hospitali za rufaa zilijengwa katika mikoa tofauti, ikiwa ni pamoja na...
TANZANIA YAUNGA MKONO MKAKATI WA KIKANDA WA USALAMA WA AFYA NA DHARURA (2022-2030)
Tanzania inaunga mkono mkakati wa kikanda wa usalama wa afya na dharura kwa kipindi cha 2022–2030 kupitia hatua za utekelezaji wa miradi muhimu, kuanzisha mpango wa wafanyakazi wa afya ya jamii ulio jumuishi na...
Ni ukweli kwamba watu wengi wa afya walioitwa kwenye usaili wako wameajiriwa sehemu au kujishikiza sehemu .
Kuna watakao pita kwenye usaili , tatizo wale watakao shindwa uhakika wa ajira huko walikokuwepo utakuwaje ? Je waajiri wetu ni waelewa ?
Tujiandae kisaikolojia
Leo utumishi wametoa majina ya wasailiwa kada ya afya, usaili huo utaanza septemba 2 mpaka tarehe 9, katika mikoa waliombea nafasi!
Niwapongeze sekretariati ya umma kwa kazi nzuri ambapo kwa sasa ni imani yangu saili zote zitafanyika kwenye mikoa ya waombaji hii itawaondolea vijana gharama na...
Wakuu Habari,
Naombeni msaada nawezaje kubadili kituo cha kufanyia usahili. Nimepangiwa interview lakini sitoweza kufika katika kituo hicho husika nataka nibadilishiwe kituo cha kufanyia huo usahili. Sekretarieti ya ajira leo hawashiki simu kwenye namba zao.
Msaada wakubwa🙏
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano, Stanley Kafu (kati) kutoka Benki ya Exim Tanzania, akizungumza wakati wa kutangaza ujio wa tamasha la Exim Bima Festival 2024, likiwa na kaulimbiu ‘Amsha Matumaini’, ambalo litafanyika terehe 28 Septemba mwaka huu katika Viwanja vya Gymkhana jijini Dar es...
Ndugu wanaJf ni simu yangu tu au na ninyi kwenye simu zenu Jukwaa la Afya kutoonekana! Tangu Jana nalitafuta silipati. Kuna shida gani! Naomba mwenye kujua tatizo atuambie....
Polisi walitumia nguvu kubwa mpaka ya akiba kuzuia kongamano la vijana wa CHADEMA kule Mbeya kwa kuwatenda unyama na kuwatweza vibaya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA.
Kabla hakujapoa, Ngorongoro ikainuka, wamasai wakajaa barabarani kudai haki yao ya kutambuliwa kama raia huru wa nchi hii ambapo...
Hello!
Leo katika pita zangu mtaani kwetu makuburi nikamkuta bwana afya wa kata ya makuburi kibangu wanakoromeana na mmiliki wa banda la chips huku mmiliki wa banda hilo akimnyooshea kidole bwana afya kuwa anafanya utapeli kwa kuwa yeye(mwenye banda la chips) ana miaka zaidi ya mitano katika...
India imepiga marufuku dawa 156 za mchanganyiko zilizotengenezwa kwa dozi maalum (FDC) zinazotibu homa, maumivu, mzio nk
Hatua hiyo ni baada ya wasiwasi juu ya kutokuwepo kwa uhalali wa Kisayansi na hatari zinazoweza kutokea kwa Afya ya Binadamu atakayetumia dawa hizo
Miongoni mwa dawa hizo ni...
YAH: MALALAMIKO KUHUSU ZUIO LA USAJILI WA POLYCLINICS (KLINIKI ZA KIBINGWA) MPYA KATIKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)
Mhe. Waziri wa Afya,
Katibu Mkuu wa Afya,
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF,
Sisi, wadau wa sekta ya afya nchini Tanzania, tunakuandikia barua hii kwa nia ya kuwasilisha...
Wakuu,
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TISHIO LA UGONJWA WA MPOX
Agosti 17, 2024, Dodoma.
Ndugu wananchi, Itakumbukwa kwamba, Wizara ya Afya ilitoa tadhadhari kwa umma kuhusu ugonjwa wa Mpox mnamo tarehe 3 Agosti 2024. Katika kipindi chote, Wizara imeendelea kufuatilia kwa karibu mwenendo wa ugonjwa...
Mwendazake hakuwahi kumpa u-full minister wa Wizara ya afya. Na Rais Samia alimpa mawasiliano kisha akamuacha. Lakini huyu ndiye angeweza kuwa waziri bora sana kwa Wizara ya Afya Tanzania.
Sasa hivi yeye ni candidate kwenye position ya Director of WHO- Africa region. Tumuombee apate. Asipopata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.