afya

  1. M

    Waajiriwa wa sekta binafsi hatuna Afya ya akili

    Wana Jf mko poa? Aisee wale wenzangu namimi wa sekta binafsi, tuambizane kama nyie mna Afya ya akili makazini kwenu. Picha linaanza unaingia ofisini saa2 unaondoka saa11, ni lazima sio matakwa tu. Halafu mshahara wako ambayo ni haki Yako, unapata tarehe 37, 38, 39 sometimes mpaka hata tarehe...
  2. S

    Je kuna uwezekano wa mtu kutoka ajira ya wizara ya afya na kwenda maabara ya mkemia mkuu baada ya kubadilisha fani

    Naweza kuhama kutoka wizara ya afya kwenda maabara ya mkemia mkuu.
  3. RIGHT MARKER

    Vicoba na michezo ya kupeana hela vinaweza kusababisha changamoto ya afya ya akili kwa wanawake

    Mhadhara - 48: Nakiri kwamba Vicoba na michezo ya kutoana/kupeana hela vinawasaidia wanawake kujikimu mahitaji yao madogo madogo ya nyumbani. Hata hivyo kumeibuka wimbi la wanawake wengi kujiunga kwenye vicoba vingi na idadi kubwa ya vikundi vya kutoana/kupeana hela kuzidi uwezo wao wa kifedha...
  4. TheForgotten Genious

    Kati ya elimu na afya kipi kitolewe bure na serikali?

    Elimu na Afya ni huduma muhimu sana katika jamii,ila nina uhakika kwamba moja wapo ni muhimu zaidi hivyo inapaswa kutolewa bure. Nakusanya data kwa kazi maalumu ya kiutafiti,naomba nisaidie kufanya voting kulingana na mtazamo wako. Baada ya polling hii nitakuja na muendelezo ili utimiza adhma...
  5. Stephano Mgendanyi

    Wanu H. Ameir (Mtoto wa Rais Samia) - Kupata Elimu ya Afya ni Jambo Moja, Lakini Muhimu Sana ni Kupima Kujua Afya yako

    WANU H. AMEIR - KUPATA ELIMU YA AFYA NI JAMBO MOJA, LAKINI MUHIMU SANA NI KUPIMA KUJUA AFYA YAKO "Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) tunaunga mkono Serikali zote mbili, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika masuala ya Elimu, Afya na Uchumi" -...
  6. JanguKamaJangu

    Naibu Waziri, Mwanaidi Khamis: Tuondokane na matumizi ya nishati isiyo safi kulinda afya zetu

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaidi Khamis ametoa rai kwa jamii kuondokana na matumizi ya nishati zisizo safi ili kulinda afya zao. Khamis ameyasema hayo Jijini Dodoma wakati akihamasisha wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi na kuanza...
  7. Mindyou

    Mapendekezo kwa TBS ili kuzuia matumizi ya kemikali ya Ethylene katika kuivisha ndizi kwa muda mfupi na kuokoa afya za walaji

    Kwa yeyote anayefuatilia vyombo vya habari nchini Tanzania bila shaka atagundua kuwa siku chache nyuma kumekuwa na taarifa kwamba kuna baadhi ya wafanyabiashara wanatumia gesi ya Ethylene kuivisha ndizi zao. Sasa kama kuna mamlaka ambayo inahusika ina jukumu muhimu katika kuhakikisha usalama na...
  8. JanguKamaJangu

    KERO Haya mazingira ya Vyoo vya eneo la Kivuko pale Busisi ni hatari sana kwa afya

    Nimejiuliza sana kuhusu mazingira ya hivi vyoo, hata kama ndio tunatumia watu wengi, ndio washindwe kuweka mazingira vizuri kwa kiwango hiki? Jionee mwenyewe, vyoo “vimekomaa na uchafu” humu ukiingia unatoka na magonjwam ukiponapona sana umepata UTI sugu. Vyoo hivi vinamilikiwa na Halmashauri...
  9. B

    Ule utaratibu wa wanandoa au wapenzi kuwa na vitanda viwili urudi tu italeta afya ya mahusiano

    kwa miaka ya zamani kwa baadhi ya makabila familia zilikuwa na utaratibu wa wenza kuishi nyumba mbili tofauti ambapo mme aliishi nyumba kubwa mke nyumba ndogo pamoja na watoto wake Baadhi ya makabila wao chumba kimoja kitanda viwili Kila mtu kitanda chake mme kitanda chake mke kitanda chake...
  10. U

    Jeshi la Israel lawaonya wafanyakazi huduma za afya Lebanon kusini waache kutumia ambulance kwani hutumiwa na magaidi ya Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Tahadhari kwa wanaotumia magari ya kubebea wagonjwa almaarufu ambulance kumbe hutumiwa na magaidi ya Hezbollah! #Times of Israel In a separate post, Adraee reiterates an earlier call for health workers and medical teams in southern Lebanon to avoid using ambulances...
  11. Joseph Ludovick

    Afya ya Akili na Kazi kwenye Vyama Vya Siasa

    Afya ya akili ni kipengele muhimu cha ustawi wa binadamu katika maeneo yote ya maisha, hususan kwenye maeneo ya kazi. Tunapoadhimisha siku ya afya ya akili duniani, na kauli mbiu ya mwaka huu, niongelee kwa ujumla taasisi ninayofanyia kazi. Taasisi za vyama vya siasa zina umuhimu mkubwa katika...
  12. JanguKamaJangu

    Mhandisi Mwijage: Wananchi Bukombe tumieni Nishati Safi ya Kupikia ili kuimarisha afya na kutunza mazingira

    Wananchi kote Nchini wametakiwa kuendelea kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili kuimarisha afya zao sambamba na kutunza mazingira. Wito huo umetolewa Oktoba 10, 2024 Wilayani Bukombe Mkoani Geita na Mkurugenzi wa Teknolojia za Nishati Jadidifu na Mbadala kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA)...
  13. D

    Nionavyo, hakuna kinaitwa tatizo la afya ya akili bali ni umaskini wa kipato tu

    Mi huwa nashangaa watu hasa siku hizi eti mara ooh huyu ana tatozo la afya ya akili mara ooh huyu ana ahangamoto ya afya ya akili. Ki ukweli kabisa hakuna kitu kama.hicho. Jiulizeni kwa nini hakuna mzungu au tajiri anakuwa na tatizo la afya ya akili. Kwani waafrica tu ndo wamelaaniwa na...
  14. Mtoa Taarifa

    Oktoba 10: Siku ya Afya ya Akili Duniani - Je, sehemu unayofanyia kazi inaheshimu na kujali masuala ya Afya ya Akili ya Wafanyakazi?

    Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka ikilenga kuongeza uelewa kuhusu masuala ya Afya ya Akili na kuchochea Watu kupata Msaada wa changamoto zinazotokana na Afya ya Akili. Kaulimbiu ya mwaka 2024 '#AfyayaAkiliKazini' imependekezwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) ili...
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Bima za Afya za Mitandao ya simu ni utapeli. Hivi serikali ya Tanzania mbona imelala kiasi hiki?

    Hizi bima ni kampuni binafsi sasa ili kupata namba za Watanzania kirahisi wanajifungamanisha na kampuni za simu kama Tigo au Vodacom. So far sasa wamepewa ruhusa ya kutumia namba 100 ili wasionekane matapeli. Wale wahudumu wanamtumia mwanya wa Watanzania kutokujua mambo muhimu kuwalaghai...
  16. third eye chakra

    Tunza Afya yako kwa kuzingatia haya

    👉 AFYA NI TUNU👈 ❗CHUKUA NA HII👇👇👇👇 🔞walau mara 2 kwa wiki uwe unafanya hako kamchezo hapo😀usikubali vitunguu na nyanya ziharibike hata siku 1❗ 🌹🌹Faida zake🌹🌹 🧅🧅🧅FAIDA ZA KITUNGUU MAJI🧅🧅🧅 🌺🌺kuuwa bacteria 🌺🌺 dawa ya vidonda 🌺🌺dawa ya upere 🌺🌺dawa ya Maumivu kwenye ngozi 🌺🌺dawa ya kifua...
  17. G

    Kuishi/kufanya kazi kwenye msongamano wa watu wengi huharibu afya ya akili

    Wafanyabiashara wa Kariakoo wengi ni nusu vichaa Wanaoishi maeneo ya uswahilini kama Manzese Mbagala, Vingunguti, Buguruni, Kwa Mtogole, n.k wengi zimefyatuka. Wanaoishi nyumba za kupanga familia 3+ kwenye nyumba moja wamechizika kabisa.
  18. Stephano Mgendanyi

    Vituo vya Afya Vitano Vipya Vyajengwa Wilaya ya Hai

    VITUO VYA AFYA VITANO VIPYA VYAJENGWA WILAYA YA HAI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kusogeza huduma za Afya karibu na wananchi kwa kujenga vituo vya Afya Vitano katika Halmashauri ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro. Waziri wa...
  19. Roving Journalist

    Serikali yatumia Sh Milioni 500 kupata Kituo cha Afya Daraja la Kwanza Kijiji cha Ikondo Mkoani Njombe

    Kijiji cha Ikondo kilichopo Kata ya Ikondo kupata huduma za afya za daraja la kwanza baada ya Serikali kutoa milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya matatu katika Kituo cha Afya cha Ikondo. Akizungumza Oktoba 04 2024 na Wananchi wa Kata ya Ikondo baada ya kuzindua kituo hicho Prof...
  20. L

    Balozi wa Marekani Nchini Akutana na Kufanya Mazungumzo na Waziri wa Afya Jenista Mhagama.

    Ndugu zangu Watanzania, Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Back
Top Bottom