Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amegawa mahitaji ya mapishi kwa vitendo kwa ajili siku ya Afya na Lishe ya kijiji, hayo ameyafanya Novemba 22, 2024 alipokua katika kikao cha tathimini ya mkataba wa Lishe robo ya kwanza kwa mwaka wa fedha 2024/2025.
Mahitaji hayo ni sukari...
Katika hali ya kushangaza,jamaa wakiwa full-combated huku wakiwa wamejibebesha kila aina ya vifaa vya kisasa juu ya miili yao kuwasaidia kwenye battle ground dhidi ya Hamas,hapo ni baada ya jets na tanks za kisasa kusasfisha njia ili kuweka mteremko zaidi lakini mambo yamekuwa si mambo kwa...
Nafasi
Tutors (Diogonostic radiography na Nursing), Receptionist na Networking
Sifa za Mwombaji
Elimu ngazi ya diploma na kuendelea
Maombi yote yatumwe kupitia
Email: info@nyaishozicollege.ac.tz
au
Whatsapp: 0745009792
Kero na malalamiko wanayoyatoa wa Tanzania kuhusu changamoto kwenye Sekta ya Afya moja ya sababu ni Mifumo iliyowekwa huko nyuma kusimamia afya na kum chagua Mtu ambae hana maono / jicho la kutambua kero na Hajasomea Afya kusimamia Sekta ya Afya. Kwani yeye sio Daktari na hajawahi hashinda...
Wananchi wa Vijiji vya Simambwe, Shibolya, Usoha Njiapanda, Ilembo Usafwa na Galijembe vilivyopo Kata ya Tembela, Wilaya ya Mbeya, walilazimika kuchangishwa michango kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Simambwe kutokana na changamoto ya upatikanaji wa huduma za matibabu ambapo vijiji vyote...
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu hatari za UKIMWI ikilinganishwa na magonjwa mengine makubwa kama figo kushindwa kufanya kazi, kansa, na kisukari. Watu wengine wanadai kuwa UKIMWI si hatari sana ikilinganishwa na magonjwa hayo. Ingawa ni kweli kwamba magonjwa kama figo, kansa, na kisukari...
Akitoa taarifa ya kufukuzwa kwa watumishi hao baada ya baraza hilo kujigeuza na kuwa kamati mwenyekiti wa halmashauri Pankrasi Maliyatabu aliwataja Watumishi hao kuwa ni Atanasi Ignas Mgunda Mteknolojia msaidizi na Japhet Masud Kimondo ambaye ni tabibu msaidizi.
Amesema kuwa Watumishi hao...
Niko hospital ya wilaya ya Butiama mda huu. Mama yake na rafiki yangu amepata ajali ya pikipiki, mguu kuanzia kwenye mapaja mpaka kikanyagio haufai, nyama hakuna mifupa Iko nje.
Picha linaanza anafikishwa hospitali anawekwa pembeni mnaambiwa daktari hayupo, hamna huduma yoyote na ukimuangalia...
Huko hali ni mbaya kwa baadhi ya majimbo mfano Unity ambapo maji ya kunywa yamechanganyikana na mafuta kutokana na mafuriko.
Mafuta yanachimbwa sehemu mbalimbali mfano Uarabuni . Je, na huko hawajali afya za wananchi au wawekezaji na watawala wanatuona wananchi kama manyani?
Kuna kesi za...
Wengi wame na bado wana umizwa na suala zima la mahusiano,,,hivyo basi yahitaji neema ya mnyaaz'mngu ufanikiwe kusamehe na kusahau ili maisha yaendelee .........haijalishi umo ndoani au umo upwekeni.....
Bila kusamehe na kusahau hupelekea muhusika kuugua baadhi ya magonjwa na kupelekea...
Katika kipindi hiki Cha msimu wa matunda ya maembe, ninakukumbusha kutumia kikamilifu ili yaendelee kuboresha afya yako.
Katakata(chop) Kisha weka kwenye kikombe Cha chai. Halisababishi kupanda kwa sukari sababu ya nyuzinyuzi zake( Low glycemic index) pia kiwango kidogo Cha nishati( Less than...
Serikali ni bora itowe huduma za afya bure kuliko elimu.
Fedha za elimu bure zihamishwe kwenye afya ili madawa na huduma kwa ujumla vipatikane kwa urahisi kwa kila raia.
Ukiwa na afya mgogoro hata hiyo elimu huwezi kuipata. Ada zirudishwe shule zote za serikali ila iwe kiasi kidogo sana na...
Mimi ni mmoja wa wadau wa JamiiForums, kuna kitu nataka nishauri au kukemea kabisa. Kuna vitu hawa Mama Lishe au Mama Ntilie wanafanya siyo kabisa kwa afya ya Wateja wao kupitia vitafunwa wanavyoouza.
Nimeona hali hiyo maeneo tofauti Nchini, ni kama vile ni watu ambao wote wana staili ileile...
SERIKALI KUJENGA KITUO CHA AFYA KATA YA MTUNDA, KIBITI
"Kata ya Mtunda ni Kata ya kimkakati katika Jimbo la Kibiti ambayo ilikumbwa na mafuriko kipindi kilichopita. Je, nini kauli ya Serikali katika kujenga kituo cha Afya kwa wananchi ambao wamesubiri kwa muda mrefu sana?" - Mhe. Twaha...
Nafahamu kwamba suala la uumini au dini ni pana, kuna baadhi ya mambo kulingana na Katiba yetu na miongozo mbalimbali Serikali inaweza kufungwa mikono kuyaingilia moja kwa moja, lakini kuna uwezekano kwenye baadhi ya vitu Serikali haifungwi mikono kuviingilia hususani suala la usalama wa...
Salamu!
Mimi ni muumini na mdau kindakindaki wa huduma endelevu za afya chini ya uwekezaji wa Watanzania wenyewe. Nimesimama na hoja hii kwa muda mrefu na nitasimama nayo hadi kieleweke.
Tanzania kama nchi lazima tukamilishe uhuru kamili kwa kuhakikisha masuala ya msingi, hususani huduma za...
Haya sasa wale ambao wanakutana na matatizo ya afya ya akili hatimaye serikali imewakumbuka sasa
Ila nimeipenda hii itatusaidia wengi sana. Kikubwa hilo baraza lifanye kazi kwa uwelidi na kuwasaidia watu
=====================
Serikali inatarajia kuanzisha Baraza la Afya ya Akili nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.