Husika na kichwa tajwa hapo juu.
Nina ombi au ushauri wa kuongeza msisitizo Kwa watoa huduma (wauza juisi) za miwa watumie nailon maalumu (zinazovaliwa mikononi) ili kuepusha magonjwa yoyote yanayoweza kuambukizwa kupitia mikono isiyo salama.
Asante .
napenda kuwakumbusha mambo muhimu ya kuzingatia unapoomba nafasi secretariati ya ajira katika utumishi wa umma
1. hakikisha unatoa copy ya vyeti ikiwemo cha kuzaliwa, sekondari na talaluma na kuweka muhuri wa kuverify kwa wakili, mwanasheria au mahakama
2. unapoandika barua ya maombi...
Salaam, Shalom!!
Huwa ninajiuliza juu ya vipaumbele vya Serikali ya Awamu hii nashindwa kuelewa, hivi bima ya watoto chini ya umri wa miaka 5 kufutwa, lengo Hasa ni nini? Matibabu ya watoto chini ya umri wa miaka 5 yaligharimiwa na Serikali Kwa Kodi zetu, sasa Badala ya kufuta ununuzi wa v8...
Kituo cha Afya cha Sabasaba katika Manispaa ya Morogoro, kimezidiwa na wagonjwa wa kuharisha na kutapika wenye dalili zote za ugonjwa wa Kipindupindu, ambapo usiku wa kuamkia Julai 16, ITV imekuta wagonjwa 12 wakiwa wametandikiwa magodoro maeneo mbalimbali ikiwemo sakafuni, kwenye mabenchi ya...
Inawezekana helkopta ilitua vibaya (kwa kujibamiza chini) ikachokonoa majeraha ya Lissu ndio maana haonekani kwenye kampeni?
Namshauri ajipe muda apone vizuri, sio chini ya miaka mitatu au minne. Asichukulie urais kama jambo la dharura kwake. Hili lo nchi lipo tu, aangalie afya yake kwanza.
Habari Wakuu,
Naombeni mnisaidie ni chuo gani kizuri cha private ngazi ya diploma kwa fani ya nursing na clinical medicine ambacho kina hostel za bei rahisi au hostel za bure?
Chuo kisiwe kanda ya ziwa wala kusini mwa Tanzania.
Naombeni msaada pls!
UZINDUZI WA BIMA YA AFYA YA JAMII KIJIJI CHA MUNDINDI - WILAYANI LUDEWA
Tunakushukuru kwa tukio la Uzinduzi wa Bima ya Afya ya Jamii ya Kijiji cha Mundindi- Kata ya Mundindi- Wilayani Ludewa.
Kijiji cha Mundindi kimefanikiwa kuandikisha wananchi kwenye mfuko wa Bima ya afya ya Jamii (iCHF)...
Katika pitapita zangu kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, zaidi ya miezi mitano kuna jambo nimekuwa nikilichunguza ikiwa ni baada ya kukumbana nalo kwa mara kwa mara kwenye nyakati na maeneo tofauti.
Ukipita baadhi ya maeneo yaliyopo pembezoni mwa barabara kwenye Jiji la Dar es...
Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amefika Shule ya Sekondari Ndedo na kukabidhi Kompyuta Tano (05), Printa (Printer), Projekta (Projector) na Mashine ya Photocopy mpya kwaajili ya kufundishia na kuwataka Wanafunzi kusoma kwa bidii kujiongezea Maarifa.
Mhe. Edward Ole Lekaita...
" Ukitaka kupata Mtoto wa Kike hakikisha Mwenza wako ( Mke au Mpenzi ) ukiwa unafanya nae Mapenzi hafiki Kileleni ( yaani Wewe Mwanaume wahi Kumwaga ) kwani ukifanya hivyo utafanya zile Mbegu za Kiume za Y za Mwanaume zisigusane na X za Mwanamke. Lakini pia ukitaka kupata kirahisi Mtoto wa Kike...
Habari wakuu?
Kwa kweli huyu mama yetu mama samia anaupiga mwingi, kwenye hili la kada ya afya kupitia utumishi na kufanyiwa usaili naipongeza serikali sana kwa sababu kupitia usaili usawa utakuepo lakini pia watapatikana watu competence pamoja na hilo usaili utaondoa dhana ya kuwa kuna...
Afya ni ile hali ya mwili, akili, na kijamii kuwa sawa. Ni muhimu kujali afya kwa kula vizuri, kufanya mazoezi, na kupata muda wa kutosha wa kupumzika ili mtu aweze kuwa na afya njema. Hili mtu aweze kutunza afya yake Vyakula vyenye afya vinaweza kusaidia kuboresha afya yako. Kula matunda na...
Tukisema mtoto ni taifa la kesho iwe Ina maanisha Kwa vitendo Kwa wadau wazazi mpka serikali yenyewe.
Ifike mahali wataalam waafya watoe masomo ya mlo kamili Kwa kina mama wajawazito wapo kliniki ili kutengeneza mtoto Bora wa kesho pia ni vizuri wataalam wa afya wakawaoa elimu mama wa jawazito...
Nipongeze ubunifu huu wa kipekee ambao umefanywa na R.C Makonda.
sasa ni muhimu ukawekwa utaratibu kwa kila Mkoa kufanya jambo hili ikibidi kwa mwaka mara moja.
zoezi hili lipewe jina la "wiki ya Afya kitaifa" ambapo madaktari bingwa nchini watatoa huduma zao bure kwa wananchi .
KWA HISANI YA...
Utangulizi
Katika kuiona Tanzania ya baadae yenye wananchi wenye nguvu na afya ni lazima tuweke kipaumbele cha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi wote. Wazo moja la kiubunifu ambalo linaweza kuboresha kwa kiasi kikubwa huduma za afya, hasa katika maeneo yasiyo na huduma za kutosha...
Uhusiano kati ya ustawi wa akili, afya ya mwili, na tabia ya kutoa ni jambo la kuvutia na tata. Safari ya John D. Rockefeller kutoka ugonjwa hadi afya, iliyoanzishwa na mabadiliko yake kutoka mtindo wa maisha unaozingatia binafsi hadi ule unaolenga uhisani, ni mfano maarufu. Hadithi ya...
Wakuu naomba aliye na ABC za muundo wa mafunzo ya miezi mitatu kwa waliobahatika kupata nafasi ha kwenda kwenye mafunzo ya afya ngazi ya jamii.
Hivi kunakuwa na posho wakati wote wa mafunzo. ( Posho kwa siku au kwa mwezi?).
Naomba kulifahamu hili mapema kwa anayejua.
Na Da Vinci XV
Chanzo: Forbes
Wasalaam
Wahenga walisema wakati ni ukuta.
Sasa wakati huo ambao mimi nikihangaika kumpigia kelele mbunge wangu nilie mchagua miaka 4 iliyopita anijengee daraja walau niweze kuifikia zahanati kwa urahisi ili mimi na familia yangu tuweze kupata huduma bora za...