afya

  1. R

    SoC04 Typhoid, ugonjwa unaouzwa kama nyanya na hospital binafsi

    " Daktari, Mimi Typhoid yangu naijua nikihisi tu naenda kununua dawa nakunywa na napona vizuri tu" Sentensi hii madaktari tumekua tukikutana nayo mara Kwa mara pindi tuwaonapo wagonjwa wengi huku mitaani. Cha kusikitisha zaidi Ugonjwa huu umekuwa ukitumika kujiingizia faida Kwa hospital...
  2. J

    SoC04 Kuifikia Tanzania Tuitakayo: Matatu ya Kuweka Kipaumbele kwa kuelekea Tanzania Yenye afya njema

    Kumekuwa na kasi ya ongezeko kubwa la magonjwa yasiyoambukiza kulingana na tafiti za shirika la afya duniani (WHO) takriban asilimia 74 ya vifo vyote duniani vinasababishwa na magonjwa yasiyoambukiza nah uku magonjwa kama vile kisukari,shinikizo la damu,magonjwa ya figo na magonjwa ya moyo...
  3. Tunaotarajia kuomba kusoma Vyuo vya Afya kwa mwaka 2024/2025 tukutane hapa .TCU wanafungua mwezi ujao

    Hii ni thread kwa ajili ya kujadili changamoto ,miongozo ya kupata nafasi katika vyuo mbali mbali vya afya Hapa Tanzania.
  4. T

    SoC04 Jinsi Wizara ya Afya inavyo weza kushirikiana na Hospitali Binafsi na Wadau wa Afya kuleta ufanisi katika suala la Bima ya Afya

    Ni mara kadhaa sasa kipindi cha hivi karibuni kumeshuhudiwa sinto fahamu katika mfumo wa bima ya afya swala lililopelekea huduma kusuasua na kuleta sinto fahamu.Ifuatayo chini ni moja ya mfano dhahiri wa kuonesha kwamba kuna changamoto katika kuandaa mikakati ya kuboresha mfumo wa bima ya...
  5. SoC04 "Kuboresha Huduma za Afya Tanzania: Mikakati ya Kuimarisha Utendaji wa Manesi na Kurejesha Imani ya Umma"

    Utangulizi: Katika Tanzania, huduma za afya zinaendelea kuwa muhimu katika kuboresha ustawi na maendeleo ya jamii. Hospitali za umma zinachukua jukumu kubwa katika kutoa huduma hizi kwa wananchi, na manesi wanashikilia nafasi muhimu katika utoaji wa huduma za afya kwa ujumla. Hata hivyo, katika...
  6. Nyoka ndiye mmliki wa madini na tiba ambazo tukizijua basi tutaishi muda mrefu Duniani

    Nyoka ndio mmliki mkubwa wa madini na tiba duniani.watu wengi watajiuliza kwa nini ni mmliki wa madini na tiba. BIBLIA Yesu alisema hivi: “Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika...
  7. Zifahamu faida ya Aloe vera (Mshubiri)

    Ni Tiba Kwa Matatizo ya Tumbo: Kunywa mchanganyiko wa jeli ya aloe vera na maji nusu kikombe mara mbili kwa siku kwa siku tatu hadi wiki moja. Hii hutibu vidonda vya tumbo, kiungulia, na husafisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula. Huziimarisha Kucha Dhaifu: Pakaa majimaji ya aloe vera kwenye...
  8. Kutomwaga maji chooni kabla ya kujisaidia haja ndogo, imekaaje?

    Kumekuwa na katabia kwa vyoo vya public mtu anaingia kujisaidia hasa haja ndogo hamwagi maji kabla ya kujisaidia bali akisha maliza haja yake ndo humwaga maji. Hivi hii kiafya imekaaje
  9. Kutana na Kondom ya kale

    Kondomu zilizotumika katika Roma ya Kale zilitengenezwa kwa kitani na utumbo wa wanyama (kondoo na mbuzi) au kibofu. Inawezekana kwamba walitumia tishu za misuli kutoka kwa wapiganaji waliokufa lakini hakuna ushahidi mgumu kwa hili. Kabila la kizamani la Djukas [1] lililoishi New Guinea...
  10. SoC04 Kuna nafasi kubwa kwenye Huduma za Afya za Kidigitali kwa Tanzania kusaidia sekta ya afya

    Maono ya Kibunifu kwa Huduma za Afya za Kidigitali kwa Tanzania: Miaka 5 hadi 25 Ijayo Utangulizi Katika dunia ya sasa inayozidi kuwa ya kidigitali, Tanzania ina fursa kubwa ya kuboresha huduma zake za afya kupitia matumizi ya teknolojia za kisasa. Huduma za afya za kidigitali zinaweza kutoa...
  11. M

    SoC04 Bima ya Afya Vikoba

    Kupitia mfumo wa kiditali bima ya AFYA VIKOBA itawezesha makundi tegemezi kama mwanafunzi, ombaomba nk kumudu gharama za matibabu kwa kuchangia Tshs 150 kwa siku, 1000 kwa wiki na 45,000 kwa mwaka. Na watoto umri wa siku 1 hadi miaka 4 wa mwanakikundi kupata tiba bure na hasa kwa magonjwa...
  12. D

    SoC04 Suluhisho la upatikanaji wa bidhaa za afya vituoni hususani bidhaa za dawa

    UTANGULIZI. Licha ya selikari kufanya jitihada kubwa katika huduma za afya, ikiwemo majengo ya kutolea huduma za afya na wataalamu mbalimbali. Bado Kuna changamoto katika upatikanaji wa bidhaa za afya hasa bidhaa za dawa. Wizara ya afya kupitia bohari ya dawa (MSD) imekuwa ikipeleka dawa...
  13. KERO Dampo la ‘Bakhresa’ Mkuranga, linahatarisha afya za wakazi Dar na Pwani. Matunda kutoka dampo hilo yauzwa tena sokoni

    Hapana shaka afya za wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, zipo hatarini. Hii ni kutokana na kuuziwa matunda yanayookotwa katika Dampo hili ambalo wenyeji wa maeneo husika ya Kata ya Vikindu, Mkuranga mkoa wa Pwani, wanaamini mmiliki wa Dampo ni Bakhresa Group. Matunda yanayotupwa hapa, huokotwa na...
  14. H

    SoC04 Mazingira yetu Kwa afya zetu

    Mazingira ni kitu Chochote kinacho mzunguka mwanadamu mfano mito milima na mabonde,bahari,misitu n vitu vingi sana vingi. Ila katika hayo mazingira pia yako mazingira ya kubuni n yako mazingira ya asili kabisa aliyo tupa mwenyezi Mazingira tukiyapenda yatatu tunza pia. Kwenye mazingira yetu ya...
  15. Swali: NHIF Inasajili Vipi Watoto wa Shule za Serikali kwa Bima ya Toto Afya Kadi?

    Ningependa kujua kuhusu utaratibu wa NHIF kusajili watoto wa shule za serikali kwa Bima ya Toto Afya Kadi. Awali, NHIF ilikuwa inasajili watoto ambao hata siyo wanafunzi kwa bei ile ya Tsh 50,400 bila kujali anasoma au hasomi baada ya shirika lenyewe kujipa hasara kwa kuhujumu mfuko ndio wakaja...
  16. Shirika Gani la Bima ya Afya Tanzania Lina Gharama Nafuu na Huduma Bora?

    Habari wanajamvi, Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
  17. Ikitokea umekutana na mtu aliyepotea, mwenye tatizo la afya ya akili; utamsaidiaje ili kuwapata ndugu zake?

    Kuna video clip huwa zinasambazwa zenye kuonesha watu wenye matatizo ya akili ambao wamepotea au kutojielewa kwa wakati huo. Video hizo huonesha mahojiano kati ya mwenye tatizo na mchukua video. Je, ni sahihi kufanya hivyo? Je, ikitokea sasa mwenye hili tatizo akawa sawa, na kuiona video hiyo...
  18. H

    SoC04 Tanzania tuitakayo katika miaka ijayo ni muhimu mifumo ya Tehama katika sekta Afya isomane kuanzia ngazi ya zahanati Hadi hospitali ya taifa

    Sekta ya Afya hapa Tanzania ni miongoni mwa sekta nyeti ambazo serekali imeweka mkazo katika kufanya maboresho ili kuweza kuboresha utoaji huduma Bora za Afya kwa watanzania. Baadhi ya mifumo ya Tehama ambayo hutumika katika sekta ya Afya ni kama vile " District health management information...
  19. D

    SoC04 Tatizo la Afya ya Akili linapaswa kuchukuliwa kwa umakini ili kuokoa maisha ya vijana

    Afya ya akili ni ule uwezo wa mtu kuweza kuendana na Hali ya maisha ya Kila siku kuanzia kufiri Hadi utendaji wake wa kazi. Inapokuwa ni tatizo la afya ya akili,hapo akili inakua imeathiriwa mfumo wake wa utendaji kazi,mfumo wa maisha na hata tabia hubadilika. Tatizo hili limekua ni mwiba kwa...
  20. Naibu Waziri wa Afya tunaomba Waraka Namba Moja wa Mwaka 2021 wa kutokuzuia maiti

    Sasa wananchi wamekuwa wakinyanyaswa kupewa wapendwa wao, kwa ajili ya mazishi. Tunaomba huo waraka No.1/2021 wa wizara ya Afya uwekwe hapa tuuone na tuusome na ubandikwe kwenye maeneo husika nchini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…