Kwa mtazamo wangu, Wizara ya Afya ya Tanzania inaweza kuboresha huduma za afya kwa wananchi kupitia maeneo kadhaa:
1Miundombinu: Kujenga na kukarabati hospitali, vituo vya afya, na zahanati; kuwekeza katika vifaa tiba na teknolojia za kisasa.
Rasilimali Watu: Mafunzo endelevu kwa wahudumu wa...
Katika nyanja ya elimu, hadithi zina jukumu muhimu katika kuleta mabadiliko chanya na kuchagiza maendeleo ya nchi. kwa kuzingatia mbinu bunifu, desturi-jumuishi, na uwezeshaji katika sekta ya elimu, masimulizi haya yana uwezo wa kuhamasisha mabadiliko ya sera, kukusanya rasilimali, na kukuza...
Kumekuwa na tabia ambapo wapika chapati wengi mitaani hasa migahawa ya jioni hutumia sponge/vipande vya godoro kupika chapati.
Je, bidhaa hiyo ni salama kwa kutumika kupikia chapati? Kama kuna Wataalamu wa Afya naomba kujibiwa ama ni uelewa wangu mdogo kuhusu usalama wa chakula na sponge hizo...
Kama kila binadamu hapa ulimwengu atakuwa na afya bora maisha yetu nayo yatakuwa Bora Kwa sababu watu watawajibika katika kujenga taifa na taifa litawajibika kutujenga wnanchi Kwa kutupatia hewa safi isiyo na buguza ndani yake.
Ni vizuri kutambua kila kiumbe hai kina uhitaji wa afya Bora...
Zifuatazo ni changamoto kuu zinazopaswa kushughulikiwa ndani ya kipindi Cha miaka 5-25:
1. Upungufu wa watumishi wa Afya
Changamoto:
Tanzania inakabiliwa na upungufu mkubwa wa madaktari,wauuguzi,na wataalamu wa Afya kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa na idadi ndogo ya wahudumu
Mikakati ya...
Serikali imekua ikiwekeza nguvu katika tafiti za madhara ya vinywaji vya kuongeza nguvu (Energy drink), Tiba asilia na Matumizi ya pombe katika afya ya Figo, Ini na Moyo. Matumizi mabaya ya Dawa yanaathari kubwa katika afya ya Figo, Ini na Moyo.
Je, Madaktari wana waandikia wagonjwa Dawa sahihi...
Mshikeshike, mtifuano unaendelea kuhusu kubadili sifa za kujiunga na astashahada kutoka D mbili za Chemistry na Biology kwenda C mbili au zaidi za Chemistry na Biology!
Kiukweli, sifa zinazopendekezwa na serikali zitaathiri vyuo vya afya vinavyotoa hii kozi! C mbili za Chemistry na Biology ni...
Mimi ni Mdau wa Elimu ninayeishi Goba Mpakani, Mtaa wa Tegeta A, Kata ya Goba, kuna changamoto ambayo imejitokeza ni miezi kadhaa sasa inaendelea kuwa kikwazo kwa Watoto wa Shule kupata haki yao ya msingi ya kupata elimu bora.
Kuna utaratibu ambao umeanzishwa na Uongozi wa Shule ya Msingi Goba...
Anonymous
Thread
afya
chakula lishe shuleni
chakula shuleni
sheria chakula shuleni
Mkufunzi Mstaafu na Mbobezi wa Mitaala.
Siku chache zilizopita niliona andiko katika mitandao ya kijamii lenye kichwa cha habari, “BILA ‘D’ TANO HAUSOMI FAMASIA” na katika andiko hilo kulikuwa na picha ya Mfamasia Mkuu wa Serikali. Nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu habari ile nikagundua kuwa...
Utangulizi
Tanzania inajivunia historia ya maendeleo katika sekta ya afya, lakini bado kuna changamoto zinazohitaji ubunifu na maono ya muda mrefu ili kuboresha hali ya afya ya wananchi. Maono haya yanajumuisha mipango ya kibunifu ambayo inaweza kutekelezeka ndani ya miaka 5, 10, 15 hadi 25...
Huu ndio muonekano wa maeneo ya kuchinjia vitoweo katika Kata ya Goweko ambapo pia ni kwa ajili ya maeneo mbalimbali ikiwemo Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora.
Taarifa ninazozijua ni kuwa Serikali ilitoa zaidi ya Shilingi Milioni 25 kwa ajili ya machinjio hayo kwa ajili ya kata hizo...
Mahala ambapo takataka zimemwagwa na hazijazolewa muda mrefu hupelekea harufu mbaya hata mlipuko wa magonjwa. Je kwenye eneo hilo kama kuna nguzo ya umeme nayo inaathirika? Tazama picha hapo chini.
"Namshukuru MUNGU kwa Baraka na Rehema zake kwa kuendelea kunijalia afya njema. Nampongeza sana Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya Hospitali za Wilaya, Hospitali za Mikoa, Hospitali za Kanda, Hospitali ya Taifa, Zahanati, Vituo vya Afya, na vifaa...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimefurahi sana lna pia namshukuri Mungu na hii ni baada ya kupima afya kwa kuoanisha uzito na urefu wangu na kupata matokeo mazuri kiafya
Nimeweka matokeo kwa rejea yenu
Tujitahidi kupima afya zetu
Jumapili njema.
Hapo Mimi huwa sielewi kibali tayari, nini huwa kinakwamisha au bajeti na mchakato kuchambua maombi utachukua mda Gani na hao watumishi wapya mfano Walimu wataripoti lini au mwezi wa 9? Au Kuna nn kama Mhe. Rais ametoa kibali?
UTANGULIZI
Katika sekta ya afya kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa vipimo vya awali katika zahanati za serikali , hii hali inapelekea vifo au hali hatarishi zaidi kwa zile jamii ambavyo vipo mbali na vituo vya afya ,hospitali au hospitali za rufaa ..
MAADA NA MAELEZO KAMILI
Tanzania...
Kuboresha Sekta ya Afya kwa Matumizi ya Teknolojia ya Telemedicine na AI(Akili bandia) kwa Miaka 25:
Maono na Utekelezaji
Utangulizi
Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi katika sekta ya afya, ikiwa ni pamoja na upungufu wa vituo vya afya, ukosefu wa madaktari na wauguzi, na upatikanaji...
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mimi ni kijana niliyehitimu masomo ya udaktari wa binadamu(MD) mwaka 2021 kutoka chuo fulani nchini Tamzania, nilifanikiwa kufanya Mafunzo ya utarajari pia katika hospital fulani mkoani, nilipomaliza nikafanikiwa kufanya mtihani wa...
Tanzaniani tuitakayo ya miaka 5 hadi 25 ni ile ambayo kwanza tukubali kuanda kizazi Bora kutoka chini ambacho kitakuwa kimeandaliwa katika Mfumo mzuri wa elimu, Siasa , uzalendo, na teknoljia ambayo itaendana mahitaji ya Dunia ya sasa kivipi?
Katika Mfumo wa elimu tunahitaji kuona mabadiliko...
Salamu kamsalimie waziri wa Afya.
Nikiwa kwenye sintofahamu kwanini mambo Yana badirika kimya kimya namna hii.
Inakuwaje kadi ya clinic iliyoandikwa haiuzwi na Sasa inauzwa Kwa Tsh 10,000/=
Inakuwaje mama mjamzito akijifungua mtoto wa kike atoe kiasi Cha pesa Tsh 15,000/= na akijifungua mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.