afya

  1. Ngufumu

    Kozi 11 za afya za kusoma mwaka 2024/2025

    Hizi hapa Fani 11 za afya za kusoma mwaka 2024/2025 Kwa kutambua tatizo sugu la ajira nchini hizi ni Fani za Afya ambazo kwa mujibu wa Hotuba ya Bajeti ya wizara ya Afya 2024/2025 zitakuwa na uhitajio/Demand kubwa hapo mbeleni Hivyo basi unaweza kumshauri mtoto au ndugu yako kusoma kwa kufuata...
  2. T

    Tuliomaliza vyuo majuzi alafu tukawa na presha ya kusubiri ajira za afya zitangazwe may mosi njooni tupeane mrejesho

    Tuliomaliza vyuo majuzi alafu tukawa na presha ya kusubiri ajira za afya zitangazwe may mosi njooni tupeane mrejesho
  3. Stephano Mgendanyi

    Mwenyekiti UWT Mkoa wa Dar, Cde. Mwajabu Mbwambo Ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani Kituo cha Afya Kinyerezi

    📌Kituo cha Afya Kinyerezi 🗒️15/5/2024 Mwenyekiti Uwt Mkoa Dar es salaam Mwajabu Rajabu Mbwambo ameungana na Shirika lisilo la kiserikali TAHECO linalojishughulisha na masuala ya Afya na Mazingira chini ya mkurugenzi wake Shabani Maliyatabu na baadhi ya viongozi wa serikali za mitaa, chama na...
  4. Roving Journalist

    Wizara ya Afya yafafanua juu ya gharama za Mradi wa Hospitali za Rufaa Mawenzi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuhoji juu ya Mradi wa Serikali kupewa fedha nyingi kuliko bajeti iliyopangwa na kuripotiwa kutokamilika, ufafanuzi umetolewa Mdau alitoa mfano kwa kupitia Bajeti ya Wizara ya Afya 2024/25 iliyosomwa bungeni Mei 14, 2024 ambapo Mradi wa Uimarishaji ya Hospitali...
  5. Travelogue_tz

    Serikali kuburuzwa mahakamani kuhusu wizara ya afya kubadili mitaala ya vyuo vya afya vya kati bila kufuata utaratibu

    Na Mwandishi Wetu Jopo la Mawakili kumi na nne (14), wataalamu wa takwimu nane (8) na wataalamu wa mitaala watatu (3) kutoka katika kampuni za ushauri elekezi na uwakili zinapanga kuiburuza Serikali Mahakamani kutokana na uamuzi ya wizara ya afya kupitia kurugenzi yake ya mafunzo na...
  6. Lady Whistledown

    Afrika Kusini: Mamilioni ya Raia Masikini kunufaika na Bima ya Afya kwa Wote

    Rais Cyril Ramaphosa, Mei 15, 2024 anatarajiwa kusaini kuwa Sheria Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote unaolenga kutoa huduma bora za Afya kwa wote huku wanufaika wakubwa wakiwa ni Mamilioni ya Raia maskini Muswada huo uliopitishwa na Wabunge Mwaka 2023 unalenga kuwapa Waafrika Kusini "wa rangi...
  7. Analogia Malenga

    Miradi miwili ya ajabu kwenye Wizara ya Afya

    Nimeangalia zaidi kwenye bajeti ya afya kuna miradi miwili zaidi ya hospitali ambayo inaonesha walakini kwenye utekelezaji wake. Mradi wa uimarishaji wa Hospitali ya Rufaa ya Rukwa umepokea hela 99% ya walizoomba lakini mradi huo umefikia 65%. Kuna tofauti kubwa ya kilichotolewa na...
  8. chama mpangala

    Jinsi vitunguu Saumu vinavyonufaisha Afya ya wanaume

    1. Kuimarisha Afya ya Moyo Vitunguu saumu vina alicin, ambayo inaweza kusaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo kwa kusaidia kudhibiti viwango vya cholesterol na shinikizo la damu. 2. Kuongeza Viwango vya Testosterone: Utafiti unaonyesha kwamba kula vitunguu saumu kunaweza kusaidia kuongeza...
  9. K

    Ni sahihi kumpa mimba mke miezi miwili tu baada ya kujifungua na kupoteza mtoto?

    Mwezi wa pili mke anajifungua na mtoto kufariki, mwezi wa nne mke anapata mimba nyingine. Ni sahihi wadau kiafya na kisaikolojia ya mke? Karibuni wadau kwa elimu.
  10. Stephano Mgendanyi

    Ziara ya Juliana Shonza Katika Kituo cha Afya cha Tunduma

    Ziara ya Juliana Shonza Katika Kituo cha Afya cha Tunduma Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ametembelea Kituo cha Afya Tunduma kwa lengo la kukagua mazingira ya utoaji huduma na kuwajulia hali wanawake waliojifungua pamoja na watoto wachanga waliozaliwa Katika...
  11. Erythrocyte

    Pre GE2025 Rais Samia amepunguza vifo vitokanavyo na UKIMWI - Waziri Ummy

    Katika Hotuba yake Bungeni, akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake, amezungumza mambo mengi mazuri sana na ya kueleweka. Isipokuwa mimi labda kutokana na uchovu wa mwili , sijaelewa kwenye jambo hili , naomba Aliyeelewa anieleweshe Natanguliza Shukrani
  12. Paspii0

    SoC04 Tanzania tuitakayo Kwa kizazi cha sasa na kijacho hususani kwenye Nyanja ya Afya, Ardhi, Mazingira

    Niwasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!!...... Awali ya yote napenda kujadili maada hii kwa Maslahi mapana ya Taifa. 👉Kizazi cha sasa na kijacho nchini Tanzania kinahitaji uongozi bora, elimu bora na fursa sawa za kimaendeleo kwa vijana. Pia, panahitajika kuwekeza katika...
  13. Gemini AI

    Vipaumbele 10 vya Wizara ya Afya kupitia Bajeti ya Tsh. Trilioni 1.3

    iKuimarisha huduma za kinga dhidi ya magonjwa; Kuimarisha upatikanaji na ubora wa huduma za afya zinazotolewa na vituo vya kutolea huduma za afya kuanzia ngazi ya Zahanati hadi Taifa; Kuimarisha mifumo ya ugharamiaji wa huduma za afya nchini; Kuimarisha huduma za afya ya uzazi, mama na mtoto ili...
  14. Roving Journalist

    Wizara ya Afya kutumia Tsh. Trilioni 1.3 kwa mwaka 2024/25. Tsh. Bilioni 632.2 ni matumizi ya kawaida

    Wizara ya Afya imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. Trilioni 1.31 itakayotumika kwa mwaka 2024/25 ambapo Tsh. Bilioni 632.26 (48%) ya Bajeti zitaenda katika Matumizi ya Kawaida ikiwemo Mishahara na Matumizi Mengineyo Pia, Wizara itatumia Tsh. Bilioni 679.57 (52%) ya Bajeti katika Miradi ya...
  15. BARD AI

    Wizara ya Afya: Vifo vinavyotokana na UKIMWI na Kifua Kikuu vimepungua nchini

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema idadi ya Vifo vya Wajawazito vimepungua kutoka Vifo 556 vilivyotokea mwaka 2016 hadi kufikia Vifo 104 kwa kila Vizazi Hai 100,000 Akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2024/25 Bungeni, pia, Waziri Ummy amesema Vifo vya Watoto wenye chini ya Miaka...
  16. Stephano Mgendanyi

    Jitihada za Kuboresha Huduma za Afya Jimbo la Igunga

    JITIHADA ZA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA JIMBO LA IGUNGA "... Tumekamilisha ujenzi wa Wodi ya Wagonjwa Mahututi (ICU) yenye uwezo wa kuhudumia Wagonjwa mahututi kumi kwa wakati mmoja, Tumekamilisha ujenzi wa Wodi ya Mama na Mtoto yenye uwezo wa kuhudumia kina Mama na Watoto hamsini kwa wakati...
  17. TZ-1

    Suala la bima ya Afya kwa pamoja

    Habari wana jamvi, naona bunge na Serikali ikiwa na hoja nzuri yenye mtazamo wa kuweka mazingira ya wananchi kupata afya kwa mfumo wa bima. Kwakuwa ni shirika moja ndio linalotegemewa (NHIF) kwenye hiyo bima ya pamoja kwa watanzania wa maisha ya kati na chini zinaweza tokea changamoto hizi:-...
  18. MK254

    Magaidi wenye mlengo wa kiislamu wachinja watu kwenye kituo cha afya DRC

    Huyu 'mungu' wao anapenda damu sana.... At least eight civilians died on Thursday in an attack on a health centre in eastern Democratic Republic of Congo, according to media reports that cited locals. The attack was carried out in DRC's North Kivu Province. Locals said the attack was carried...
  19. A

    KERO Nyumba ya Ibada iliyo karibu na Kituo cha Afya ZAMZAM katika Manispaa ya Bukoba ni KERO kwa wagonjwa

    Hii imekuwa kero kubwa hasa katika kituo cha Afya Zamzam kilichopo Manispaa ya Bukoba ambapo jirani na kituo hicho Kuna Kanisa ambalo mara nyingi zinapigwa Ngoma hali inayosababisha usumbufu kwa wagonjwa. Mamlaka zinapaswa kuingilia kati hali sio nzuri kwani usumbufu ni mwingi sana kwa wagonjwa...
  20. Cute Wife

    NHIF yarudisha dawa 178 zilizoondolewa

    Kufuatia mapitio ya orodha ya Taifa ya Dawa Muhimu (National Essential Medicine List -NEMLIT) yaliyofanywa na Wizara ya Afya Aprili 30, 2024 kwa kujumuisha muunganiko,muundo na nguvu kwa dawa 178 pamoja na kujumuisha dawa nne zilizokuwepo kwenye Mwongozo wa Taifa wa Matibabu lakini hazikuwemo...
Back
Top Bottom