Ni kweli kabisa,, machalii wa mbeya wajitafakari,, waelimishane kuhusu afya ya kinywaSijawahi kukutana na chalii ya chuga ananuka mdomo.
Kutana na domo la kinyakyusa, woiiiii utazimia harufu inayotoka humo ni kama MVUKE WA MATUFUNYUNGU.
Cc: Mbaga Jr The Icebreaker Poor Brain Harmful Kalpana binti kiziwi
Wengine mkuu, wanapiga mswaki kila siku lakini hawajui kupiga mswaki kisawa sawa,, unakuta mtu anapiga mswaki dakika 2 tayari..Kuna baadhi ya watu kuwa wachafu ni vipaji.
Hahahaha 😂🤣😂😂Sijawahi kukutana na chalii ya chuga ananuka mdomo.
Kutana na domo la kinyakyusa, woiiiii utazimia harufu inayotoka humo ni kama MVUKE WA MATUFUNYUNGU.
Cc: Mbaga Jr The Icebreaker Poor Brain Harmful Kalpana binti kiziwi
Inategemea na eneo unaloishi au watu unaojichanganya nao, sasa kama wewe unaishi matejoo juu, halafu marafiki zako ni hao wanywa CHARUMBE hoja yako ni sahihi kabisa, mimi maeneo niliyoishi arusha sijawahi kukutana na watu wa sampuli hizo, hama huko unakoishi, au yawezekana hujawahi kabisa kufika arusha, ni story tu umegaiwa.Watu wa Arusha wengi hasa vijana wananuka bangi na mirungi.
Safi sana mkuu.Hii ishu ya afya ya kinywa ni janga sehemu nyingi aisee,watu wanatoa sana harufu ya midomo na wengine pia wala hajali/hajui Kama anatoa harufu inayokera kutoka ktk kinywA chake.
Pia nimegundua hta ndoa nyingi zinaharibika kwa sababu HII ambayo kimsingi imejificha na Hata ktk kusuruhisha wahusika hawawezi kukwambia kwamba kunuka mdomo ni Moja ya sababu ya wao kuachana...hili Huwezi kuambiwa kwasbb ni AIBU,pia hta mwenza anaweza asiweze kuthubutu kumwambia mwenzie kwasbb Kuna Uzito flan kumtamkia mtu "mdomo wako unanuka"
Mimi nitoe tu njia Moja Wapo nzuri yenye matokeo ya haraka sana ktk kudhibiti harufu ya mdomo.
1:Kwanza Lazima utambue na ukubali kwamba kinachotoa harufu si Meno,kinachotoa harufu kali ni ULIMI.
2:Tafuta dawa hii ya meno Inaitwa "RED" (Sipigii debe hii kampuni mtanisamehe)ila ndo dawa nzuri mnoo yanye matokeo ya haraka...hii dawa kwa sehemu kubwa imetengenezwa kwa KARAFUU.
3:Kabla ya kulala Chukua mswaki na maji ya uvuguvugu Tia dawa Hiyo kdg kwennye mswaki...anza kusugua meno vzr nje na ndani,juu na chini,kisha TOA ULIMI WAKO NJE KWA KADRI UWEZAVYO...sugua ulimi taratibu na ingiza mswaki karibu na koromeo (hapo jitahidi kuzuia hisiA za kutaka kutapika)sugua vzr na taratibu Usiwe na haraka,chkua kma dk 5 hv kwa zoezi zima.
Baada ya hapo usikimbilie kusukutua....subiri tena kma dk 3 hv dawa ifanye kazi ya kuua bacteria wanaoleta harufu na kuozesha meno,baada ya hapo sukutua Sasa na Yale maji ya moto kiasi kisha USILE CHOCHOTE Nenda kalale.
MATOKEO:
Kwa mara hii tu Moja uliyopiga mswaki usiku Huu mmoja bakuhakikishia ukiamka asbhu hakuna harufu yyote utakayouskia na utashangaa,ni Kama vile hujatoka kulala,yan unakuwa uko Fresh Kabisa na hutaamini....ila Sasa ukishaamka Piga tena vile vile Kama jana usku Afu Nenda kwenYe shughli zako....fanya zoez Hili kma wiki tu baada ya hapo utaona mwenyew kwamba utakuwa una uwezo wa kupiga mswaki usiku tu then asbh ukaendelea na Mambo yako na usihisi chochote...fresh kbs yan.
Watu watumie hii technic then tulete mrejesho hapa.
Mtanisamehe kuitaja kwa Jina Hiyo dawa kwa sababu sikuwa na namna ila lengo langu tusaidiane maarifa.
Umetisha. Vipi dawa ya Sensodine nzuri au napoteza muda? Hiyo dawa ya Red ipoje?Hii ishu ya afya ya kinywa ni janga sehemu nyingi aisee,watu wanatoa sana harufu ya midomo na wengine pia wala hajali/hajui Kama anatoa harufu inayokera kutoka ktk kinywA chake.
Pia nimegundua hta ndoa nyingi zinaharibika kwa sababu HII ambayo kimsingi imejificha na Hata ktk kusuruhisha wahusika hawawezi kukwambia kwamba kunuka mdomo ni Moja ya sababu ya wao kuachana...hili Huwezi kuambiwa kwasbb ni AIBU,pia hta mwenza anaweza asiweze kuthubutu kumwambia mwenzie kwasbb Kuna Uzito flan kumtamkia mtu "mdomo wako unanuka"
Mimi nitoe tu njia Moja Wapo nzuri yenye matokeo ya haraka sana ktk kudhibiti harufu ya mdomo.
1:Kwanza Lazima utambue na ukubali kwamba kinachotoa harufu si Meno,kinachotoa harufu kali ni ULIMI.
2:Tafuta dawa hii ya meno Inaitwa "RED" (Sipigii debe hii kampuni mtanisamehe)ila ndo dawa nzuri mnoo yanye matokeo ya haraka...hii dawa kwa sehemu kubwa imetengenezwa kwa KARAFUU.
3:Kabla ya kulala Chukua mswaki na maji ya uvuguvugu Tia dawa Hiyo kdg kwennye mswaki...anza kusugua meno vzr nje na ndani,juu na chini,kisha TOA ULIMI WAKO NJE KWA KADRI UWEZAVYO...sugua ulimi taratibu na ingiza mswaki karibu na koromeo (hapo jitahidi kuzuia hisiA za kutaka kutapika)sugua vzr na taratibu Usiwe na haraka,chkua kma dk 5 hv kwa zoezi zima.
Baada ya hapo usikimbilie kusukutua....subiri tena kma dk 3 hv dawa ifanye kazi ya kuua bacteria wanaoleta harufu na kuozesha meno,baada ya hapo sukutua Sasa na Yale maji ya moto kiasi kisha LAMBA NDIMU/LIMAO baada ya hapo USILE CHOCHOTE Nenda kalale.
MATOKEO:
Kwa mara hii tu Moja uliyopiga mswaki usiku Huu mmoja bakuhakikishia ukiamka asbhu hakuna harufu yyote utakayouskia na utashangaa,ni Kama vile hujatoka kulala,yan unakuwa uko Fresh Kabisa na hutaamini....ila Sasa ukishaamka Piga tena vile vile Kama jana usku Afu Nenda kwenYe shughli zako....fanya zoez Hili kma wiki tu baada ya hapo utaona mwenyew kwamba utakuwa una uwezo wa kupiga mswaki usiku tu then asbh ukaendelea na Mambo yako na usihisi chochote...fresh kbs yan.
Watu watumie hii technic then tulete mrejesho hapa.
Mtanisamehe kuitaja kwa Jina Hiyo dawa kwa sababu sikuwa na namna ila lengo langu tusaidiane maarifa.
Ipo inauzwa maduka ya dawa Au supermarket...Hiyo dawa ni balaa aisee,na hta Ukimaliza kupiga mswaki Kuna hisia utapata kwamba "kweli nimepiga mswaki"....Cha ajabu ile dawa wenyewe wala hawaitangazi etiiUmetisha. Vipi dawa ya Sensodine nzuri au napoteza muda? Hiyo dawa ya Red ipoje?
UhakikaWatu wa Arusha wengi hasa vijana wananuka bangi na mirungi.
Shukran sana mkuu umetisha sana.Mada nzuri ..kongole kwa mtoa hoja ingawa mimi sipo kwenye hiyo list yak
.Ni kweli tuna changamoto ya Usafi na Afya ya kichwa..nadhani Elimu iendelee kutolewa hasa mashuleni na kwenye maeneo ya Public..
Mwisho nakumbuka kwenye Maadhimisho ya wiki ya Usafi wa kinywa ujumbe ulitoka kwamba unapomaliza kuswaki usisukutue na maji..acha dawa ifanye kazi...nami nimejqribu ( ingawa mwanzoni ni changamoto kidogo) ila nimefanikiwa na hali ya kinywa ch umeboreka kiukweli