Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Umetisha. Vipi dawa ya Sensodine nzuri au napoteza muda? Hiyo dawa ya Red ipoje?

Kilimanjaro hoyeee1. Pemba
2. Unguja
3. Shinyanga
4. Mbeya
5. Kondoa
6. Kagera
Nb maeneo hayo Nimeyapanga kutoka juu kwenda kwenye unafuu.
Mikoa hii hakuna wimbi la watu wanaonuka midomo hongereni
1. Kilimanjaro
2. Arusha
3. Tanga
4. Tabora
inaitwa Dabur RED ni nzuri, Sensodyne imenyooka sana hata dentists wanashauri kuitumiaUmetisha. Vipi dawa ya Sensodine nzuri au napoteza muda? Hiyo dawa ya Red ipoje?
Ni supermarket tu ?View attachment 3450796
Zipo zinauzwa kwenye supermarkets. Ni muhimu sana kuwa nayo
Naona mara nyingi wao wanakuwa nazo. Maduka ya kawaida sijawahi ona. Kama upo sehemu hakuna supermarkets, tumia uzi tu wa nguo. Nao unafanya kazi ile ile (kuondoa mabaki ya vyakula)Ni supermarket tu ?
Dah 😂 mi huwa siingilii ugomvi wa ndugu 🤣Hapa JF Maghayo Busu la Kenge anaongoza kwa kunuka domo yaani linavuta mibange yake linakuja Jf kuchat sasa changanya domo baya na miharufu ya bange ni shida tupu.
Me niliwahi jitoa muhanga nikamwambia wife K inanuka.! akajirekebisha.Hii ishu ya afya ya kinywa ni janga sehemu nyingi aisee,watu wanatoa sana harufu ya midomo na wengine pia wala hajali/hajui Kama anatoa harufu inayokera kutoka ktk kinywA chake.
Pia nimegundua hta ndoa nyingi zinaharibika kwa sababu HII ambayo kimsingi imejificha na Hata ktk kusuruhisha wahusika hawawezi kukwambia kwamba kunuka mdomo ni Moja ya sababu ya wao kuachana...hili Huwezi kuambiwa kwasbb ni AIBU,pia hta mwenza anaweza asiweze kuthubutu kumwambia mwenzie kwasbb Kuna Uzito flan kumtamkia mtu "mdomo wako unanuka"
Mimi nitoe tu njia Moja Wapo nzuri yenye matokeo ya haraka sana ktk kudhibiti harufu ya mdomo.
1:Kwanza Lazima utambue na ukubali kwamba kinachotoa harufu si Meno,kinachotoa harufu kali ni ULIMI.
2:Tafuta dawa hii ya meno Inaitwa "RED" (Sipigii debe hii kampuni mtanisamehe)ila ndo dawa nzuri mnoo yanye matokeo ya haraka...hii dawa kwa sehemu kubwa imetengenezwa kwa KARAFUU.
3:Kabla ya kulala Chukua mswaki na maji ya uvuguvugu Tia dawa Hiyo kdg kwennye mswaki...anza kusugua meno vzr nje na ndani,juu na chini,kisha TOA ULIMI WAKO NJE KWA KADRI UWEZAVYO...sugua ulimi taratibu na ingiza mswaki karibu na koromeo (hapo jitahidi kuzuia hisiA za kutaka kutapika)sugua vzr na taratibu Usiwe na haraka,chkua kma dk 5 hv kwa zoezi zima.
Baada ya hapo usikimbilie kusukutua....subiri tena kma dk 3 hv dawa ifanye kazi ya kuua bacteria wanaoleta harufu na kuozesha meno,baada ya hapo sukutua Sasa na Yale maji ya moto kiasi kisha LAMBA NDIMU/LIMAO baada ya hapo USILE CHOCHOTE Nenda kalale.
MATOKEO:
Kwa mara hii tu Moja uliyopiga mswaki usiku Huu mmoja bakuhakikishia ukiamka asbhu hakuna harufu yyote utakayouskia na utashangaa,ni Kama vile hujatoka kulala,yan unakuwa uko Fresh Kabisa na hutaamini....ila Sasa ukishaamka Piga tena vile vile Kama jana usku Afu Nenda kwenYe shughli zako....fanya zoez Hili kma wiki tu baada ya hapo utaona mwenyew kwamba utakuwa una uwezo wa kupiga mswaki usiku tu then asbh ukaendelea na Mambo yako na usihisi chochote...fresh kbs yan.
Watu watumie hii technic then tulete mrejesho hapa.
Mtanisamehe kuitaja kwa Jina Hiyo dawa kwa sababu sikuwa na namna ila lengo langu tusaidiane maarifa.
Utakuwa unakunywa pombe kali labda hasa konyagi na kvant, au aliamua na wewe kukukomesha tuMe niliwahi mwambia wife
Me niliwahi jitoa muhanga nikamwambia wife K inanuka.! akajirekebisha.
Balaa likahamia kwangu akaniambia mipombe yangu inamchefua kiasi kwamba migenye inamkwisha nikipumua karibu yake.!
Niko hapa kama paka mtia huruma na gambe siwezi Acha, hizi tabia za kujifanya mjuaji zimenimaliza kiranga chote
Inawezekana ndo maana ukanda huo ishu ya madonda tumbo na gesi ipo kwa watu wengi sana ukanda huoPemba, Kagera, Mbeya kuna uambukizo mwingi tu wa H.pylori, kutokana na namna wanavoishi (communal eating, crowded living etc.) watu wananuka vinywa sababu pia ya hayo maambukizo sio ishu ya usafi wa meno pekee.
Bado unanihurumiaUtakuwa unakunywa pombe kali labda hasa konyagi na kvant, au aliamua na wewe kukukomesha tu
Basi hatariBado unanihurumia
Napiga vitu hata dunia havijatafuta jina lake
Ahsante sana kwa muongozo mkuuHii ishu ya afya ya kinywa ni janga sehemu nyingi aisee,watu wanatoa sana harufu ya midomo na wengine pia wala hajali/hajui Kama anatoa harufu inayokera kutoka ktk kinywA chake.