Sina imani na afya za wagombea urais wa ccm (Tanzania bara)

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,358
Hawa wagombea urais wa ccm (Rais na makamu wake) ambao ndio wanapewa turufu kubwa ya kushinda sina imani na afya zao kabisa.
Kwa kuwaangalia tu kwa macho ya kawaida hawa watu afya zao ni dhaifu sana.
Sasa kama taifa tusije tukapata hasara ya kurudi kwenye uchaguzi muda mfupi ujao baada ya October.
Yangu ni hayo.
 
Washinde kwa uchaguzi upi?? Wasitupotezee muda
 
Hawa wagombea urais wa ccm (Rais na makamu wake) ambao ndio wanapewa turufu kubwa ya kushinda sina imani na afya zao kabisa.
Kwa kuwaangalia tu kwa macho ya kawaida hawa watu afya zao ni dhaifu sana.
Sasa kama taifa tusije tukapata hasara ya kurudi kwenye uchaguzi muda mfupi ujao baada ya October.
Yangu ni hayo.
Nileeteni likebo Niishi nalo nyumbani kwangu sijui ndani lina nyaya ngapi dadeki
 
Muhimu ni kuwa na competent VP, maana akiwa incompetent shughuli itakuwa mbovu kama tunachopitia leo.
 
Ila una hoja mkuu.
Binafsi nchimbi namuona yuko weak sana kiafya.
Huyo Hangaya ukichangia na umri wake mkubwa ana pressure ya kupanda na kushuka.
 
Katiba haina kurudi kwenye uchaguzi. Hata wakifa makamo anaendelea na uraisi.
 
Hawa wagombea urais wa ccm (Rais na makamu wake) ambao ndio wanapewa turufu kubwa ya kushinda sina imani na afya zao kabisa.
Kwa kuwaangalia tu kwa macho ya kawaida hawa watu afya zao ni dhaifu sana.
Sasa kama taifa tusije tukapata hasara ya kurudi kwenye uchaguzi muda mfupi ujao baada ya October.
Yangu ni hayo.
Angalia usije kutamgulia wewe ambao unajona una afya na unafanya kazi na Mungu.

Ngoja nikupe darsa na mnaeno ya hekima.

Kila mwanadamu ni marehemu mtatajiwa usijone wewe na afya yako ukajiona upo salama na kifo unaweza kutoka tu nyumbani ukakutana na mzinga wa bodaboda wala usife ukakatwa miguu yote.
 
Back
Top Bottom