Msaada wakuu wa idara za afya na vyombo vya ulinzi na usalama

Msaada wakuu wa idara za afya na vyombo vya ulinzi na usalama

Joined
Jun 5, 2024
Posts
84
Reaction score
64
Kuna nafasi za ajira jeshi la Magereza zimetoka na nna mdogo wa kwa upande wa mama wa kambo anataka kuomba,lakini yeye ana changamoto ya kuishi na Virusi vya ukimwi.

Je kwa mwenye uzoefu anijuze ; inawezakana akapata nafasi endapo vigezo vyote anavyo isipokua hapo kwenye suala la afya ambalo lipo compilicated?
 
Kuna nafasi za ajira jeshi la Magereza zimetoka na nna mdogo wa kwa upande wa mama wa kambo anataka kuomba,lakini yeye ana changamoto ya kuishi na Virusi vya ukimwi.Je kwa mwenye uzoefu anijuze ; inawezakana akapata nafasi endapo vigezo vyote anavyo isipokua hapo kwenye suala la afya ambalo lipo compilicated?
Huwa wanafanikiwa Ila lazima awe na MTU wa kumpitisha huko .

Kwakuwa wengi ambao huwa wanarudishwa wanakuwa hata hawajui Kama wana ukimwi .

Ila haiwezekani huyo mdogo wako akawa ndo wewe ?.
 
Nijuavyo Mimi jeshini kama una changamoto ya VVU kupata nafasi ni ngumu unless uvipatie huko ,mpe pole yake huyo kijana
 
Huwa wanafanikiwa Ila lazima awe na MTU wa kumpitisha huko .

Kwakuwa wengi ambao huwa wanarudishwa wanakuwa hata hawajui Kama wana ukimwi .

Ila haiwezekani huyo mdogo wako akawa ndo wewe ?.
Hahahahaa hapana mkuuu,mimi tyr nipo mwenye hizi taasisi za umma na sipo na hyo changamoto kaka,,,by the way ingekua ni mimi ningesema tu kwa sababu siku hz huu ugonjwa umekua sio siri tena na imekua ni kawaida mno coz mtu mwenye virusi hatari ya kuliona kaburi mapema sio kubwa (akizingatia kanuni) kuliko yule mwenye HOMA YA INI ,KANSA AU KISUKARI
 
Back
Top Bottom