SHIMBWE
Member
- Jan 23, 2024
- 81
- 152
Habari wakuu, poleni na majukumu.
Naombeni kujua kama Kuna uwezekano wa huyu Binti kupata ujauzito.
Binti anasema mzunguko wake hubadilika japo kwasasa anasema ni siku 24 na anapata hedhi kwa siku 5, Sasa tarehe 9 mwezi huu wa 8 mda kama wa Saa 12 jioni aliniambia ameingia hedhi akamaliza tarehe 13 na mm nikakutana nae tarehe 21 mwezi huu, je Kuna uwezekano akashika ujauzito.
Ahsanteni 🙏🏽