Napata wakati mgumu kuelewa kwa nini baadhi ya watu na vyombo vya habari vinasema TOTO AFYA KADI imeboreshwa au kurudishwa.
Inaonekana wengi hawajui nini kimetokea, labda acha niwakumbushe kidogo nini kimetokea.
Tanzania kupitia sera ya bima ya afya, NHIF kama zilivyo bima nyingine wakaboresha...