Mbunge wa Jimbo la Solwa mkoani Shinyanga, Mhe. Ahmed Ally Salum, leo Juni 28, 2025, ameonesha nia ya kuendelea kulitumikia jimbo hilo kwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kugombea tena nafasi ya Ubunge katika uchaguzi mkuu ujao.
Ahmed Salum, ambaye amekuwa Mbunge...