Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemhukumu mkazi wa Kata Mjele, Wilaya ya Mbeya, Mateso Wilson (34) kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua na kunyofoa viungo vya mkewe.
Mateso alidaiwa kumuua mkewe Zaina Mela na kunyofoa viungo vyake yakiwemo maziwa na masikio.
Hakimu...
Mkosoaji wa utawala wa Rais Paul Kagame aliyejizolea umaarufu mkubwa kutokana na video zake kupitia mtandao wa Youtube amehukumiwa miaka 15 jela mjini Kigali.
Yvonne Idamange mwenye umri wa miaka 42 na mama wa watoto 4, hakuwepo katika korti hiyo mjini Kigali wakati hukumu hiyo ikitolewa...
Godfrey Kazinda ambaye alikua mhasibu ofisi ya Waziri Mkuu wa Uganda amekutwa na hatia ya ubadhirifu wa dola milioni 26.4 (Sawa na Tsh. Bilioni 61.16) zilizotolewa na serikali ya Ireland, Sweden na Denmark
Kazinda alitumia fedha hizo kukaa hoteli kubwa kwa miezi 10 na kuishi maisha ya anasa...
Paul Rusesabagina aliyeonyeshwa kama Shujaa katika filamu kuhusu mauaji ya kimbari ya 1994 amekutwa na hatia katika Mashtaka yanayohusiana na ugaidi.
Anatuhumiwa kuwa mfadhili wa kundi la waasi ambalo lilifanya mashambulizi Nchini Rwanda na kuua Raia kadhaa mwaka 2018.
Familia ya Rusesabagina...
Kiongozi wa upinzani Belarus, Maria Kolesnikova amehukumiwa kifungo cha miaka 11 jela. Vyombo vya habari vya Belarus vinaripoti kuwa hii ni baada ya kuhusika katika maandamano ya mwaka jana kufuatia uchaguzi uliokumbwa na utata nchini humo.
Mshirika wa Kolesnikova ambaye pia ni wakili Maxim...
Kuna jambo limenishangaza sana!
Jana Mahakama ya Akimu Mkaazi Kisutu ilimuhuku aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kwenda jera miaka minne ama kulipa Faini Milion 8 kwa kuisababishia ATCL hasara ya Tsh Billion 71.
- David Mataka ahukumiwa kulipa faini Tsh milioni 8 kwa...
Mahakama ya Juu zaidi Nchini Afrika Kusini imemhukumu aliyewahi kuwa Rais wa Taifa hilo, Jacob Zuma kifungo cha miezi 15.
Uamuzi huo umekuja baada ya Mahakama ya Kikatiba kumkuta na hatia ya kudharau Mahakama baada ya kukaidi agizo la kufika kwenye Uchunguzi wa Ufisadi wakati akiwa Rais.
======...
Rais wa zamani wa Mauritania, Mohamed Ould Abdel Aziz, amehukumiwa kifungo cha jela na jaji anayehusika na uchunguzi wa rushwa.
Rais huyo alikuwa chini ya kifungo cha nyumbani katika siku za nyuma.
Aziz ambaye aliongoza taifa hilo la kaskazini magharibi ya Afrika kuanzia mwaka 2008 mpaka 2019...
Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ambaye jana alihudhuria kongamano la CHADEMA leo amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja.
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe yuko ziarani mkoani Mara.
Taarifa rasmi itawajia punde.
Kazi Iendelee!
Hakimu mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya hakimu mkazi Manyara Mh. Simon Kobero mnamo tarehe 27/ 05/2021 amemhukumu kwenda jela kutumikia kifugo cha miaka 2 au kulipa faini ya sh. 300,000/= mwenyekiti wa tawi la Maisaka kati Wilayani Babati mkoani Manyara Bw, Bakari Khatibu Yangu.
Bakari amehukumiwa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka na mwenzake kulipa faini ya Sh35 milioni kila mmoja au kutumikia kifungo cha miaka sita jela.
Mbali na Mattaka, mshtakiwa mwingine ni Elisafi Mathew aliyekuwa kaimu ofisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.