Mwezi mmoja sasa tokea Israel inaaze kuitwanga Gaza. Israel inaitwanga Ghaza baada ya HAMASI kuishambulia Israel kwa kushitukiza na kuwachukua watu kama Mateka. Lengo la Israel kuibomoa Ghaza ni kutaka kuwachukua Mateka wao.
Israel ni nchi inayoelezwa kuwa inaongoza Ulimwenguni kwa kuwa na...