Wakuu habari za wakati huu? Moja kwa moja niende kwenye mada. Kwa dunia ya sasa internet imekuwa ni moja kati ya basic needs kama ilivyo chakula, mavazi na malazi. Lakini changamoto kubwa hasa kwa nchi zetu za ulimwengu wa tatu huduma ya internet inaonekana kama ni anasa. Kwanza ni unreliable...
Kama tangazo linavyojieleza nataka lain ya Router Airtel ile yenye kifurushi cha 70k 10Mbps, router ninayo. Je kuna mtu anaweza akafanya ma nouver nisajili hiyo lain bila kununua router!
Mwezi uliopita nilienda Airtel shop kununua router kwa ajili ya internet. Nilipewa options mbili nipewe router bure na niwe nalipia kifurushi 110,000 kila mwezi au ninunue router 200,000 alafu niwe nalipia kifurushi 70,000 kila mwezi.
Mi nikalipa 200,000 na kifurushi cha 70,000 kwa mwezi wa...
Aisee kujua unaibiwa had ujaribu kitu kingine.
Nimekua nikinunua hili bando la 2100 la Gb lakin halikai hata dk tu limeisha.
Sasa hiz siku mbili nimeunga voda GB 1 inakaa sana aisee had sasa nimetumia MB300 tu tangu sa moja na matumizi ni yale yale.
Nimeamini Airtel ni wezi wa bundle kuna...
Message za maboresho nimepokea kama mara tatu kwa wiki tena maboresho kwa muda tofauti tofauti na Leo yanafanyika mchana why?
Angalieni muda mzuri wa kufanya hayo maboresho ikibidi mfanye usiku wa manane
Mnafukiza na ku lower trust kwa wateja sababu ya usumbufu huu.
Walau mfanye usiku...
Wakuu, Toka jana nimejiunga hiki kifurushi cha Mitandao yote SME ila cha kushangaza pesa yangu 5000 wamekata halafu kifurushi hakuna, licha ya kuniletea message za kuwa nimefakiwa kununua kifurushi hiki ila bado hakionekani na hata nikipiga simu naletewa ujumbe kuwa sina salio la kutosha...
Job type: Full-time
Airtel Tanzania PLC is one of the leading providers of telecommunications and mobile money services with operations across Tanzania. Headquartered in Dar es Salaam, Airtel Tanzania ranks amongst the top 3 mobile services providers in Tanzania in terms of subscribers. Airtel...
Kwa ajili ya shughuli zangu mbalimbali nimekuwa naweka 10,000/= na kupata kifurushi cha dakika 1,200 kwa mitandao yote na kwa mwezi mzima.
Leo nashangaa nilipokuwa nimejiandaa kujiunga kwa 10,000 kupata hizo dakika 1,200 nilizozoea nashangaa menu imekuja na chaguzi kadhaa mojawapo ikiwa ni ya...
Jamani ukioiga Airtel kwenda matandao mwingien yeyote yaani hamuwezi kusilizana,sijui kwanini Airtel huduma zimaenza kuwa mbovu hivi?TCRA mmemchukua hatua zipi?
Wakuu, Nimetembelea stores kadhaa za Airtel ku acces huduma ya esim bila mafanikio yoyote yale, Inashangaza hata Matawi makubwa kama Mlimani City nako hakuna huduma ya esim kabisa Airtel Tanzania
Kama kichwa kinavyojieleza, nimekua mtumiaji wa voda unlimited kifurushi cha 115K miaka miwili sasa, lakini huu mwaka kimekua na usumbufu wa hali ya juu as if ni msaada.....
Nataka nihame chimbo, option pekee ni airtel, TTCL wameniwekea mkwamo, tigo nilipo ni mtihani mkubwa......
Kama unatumia...
Jana dakika zangu za wiki zilikuwa ndo zinaishia meseji ikaingia kwamba kifurushi kitajinunua chenyewe wakati sio makubaliano yetu tabia ya hovyo. nitawapeleka mahakamani
Wakuu salaam,
Airtel kama mitandao mengine ina huduma inayokuwezesha kuomba kutumiwa pesa na mteja mwingine (kwa TiGO sijaona huduma hii), lakini kwa Airtel iko tofauti kiasi.
Kwa Airtel unaweza kutuma maombi hayo kwa mtu mwingine anayetumia Airtel pamoja na wateja wa mitandao mengine, yaani...
Pasipo kupepesa macho, airtel ni moja ya mtandao ambao matapeli kila itwayo leo huutumia kutuma sms za kila aina, mpaka muda huu sijajua tatizo ni nini??
Natumia mtandao wa tigo pia, kwakweli nisiwe mnafiki nakaa mpaka miezi 6 yaan huwezi kuona sms yeyote ya kitapeli, sijui tuma kule, mimi...
Rate ya BoT kwenye kampuni za kukopesha ni 3.5% as a guidance issued by BoT.
A simple study imefanyika kwenye mikopo ya Vodacom kupitia Mpesa and there is huge deviation which is believed to be against BoT guideline.
1. Informant amekopa kiasi cha 84,800, Mgodi huwa wanakata kwanza riba yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.