TTCL ni shirika la uma, limefufuka ila halina wateja wa kutosha
Sasa huu ndio muda wa kuvuna wateja.. serikali iwabebe kama ilivyoibeba NHIF...
Tigo, voda , hallotel mtawapora wateja wote
Katika hali isio ya kawaida mmefunga laini za mawakala zenye kutumia majina ya wakala wakuu kama NITAK LTD, bila ya kutoa taarifa. Mmezifunga laini zenye pesa zetu, tunaomba mtufungulie japo kwa siku moja ili tuzihamishe
Kwa sasa mtandao cheap kabisa ni Airtel ila wana changamoto ya uslow kwenye data, sioni kama kuna hatua zinachukuliwa.
Baada ya anguko la Tigo wamepata wateja wengi sana, zile kero za Tigo zamani zimerudi Airtel sasa, ukipiga simu unaweza kuambiwa haipatikani kwa sasa, ukirudia ikapatikana...
Tangu mchana leo 4.3.21 mteja akituma meseji haziendi kuna shida gani, je mtatufidia vifurushi vyetu tulivyojiunga na muda wake wa ku expire unakaribia?
Pamoja na kuvumilia nainua mikono na kaachana nao.
Sababu ni nyingi kwanza badala ya kuendeleza vivutio ili wateja waendelee kuwepo mmeamua kupunguza ofa. Mnamfahamu kabisa kwamba watu wanatumia internet zaidi kwa bando za ofa nyinyi mmegandamiza tshs 1000 kwa MB 500.
Pili nimewahi kutuma...
Nimezoea kutumia kifurushi cha UNI OFA cha Airtel napata 500MB. Leo nimejiunga nashangaa wamebadili imekuwa 200MB! Nimeacha Tigo nikahamia huku baada ya Tigo kupunguza sana kiasi cha MB Sasa huku nako wameanza tena mambo yale yale. Wakuu mtandao gani una ofa nzuri ya bundle za internet nihamie huko?
Nimepokea ujumbe unaonitahadharisha kufungwa kwa line yangu.
Na nikatumiwa namba ili nitume vitambulisho vyangu, jamani kuweni makini.
Details zako ndizo zitatumika kama njia ya kukutapeli.
Cha kuzingatia chunguza logo ya masage kutoka airtel, huwa inaanzia herufi kubwa na kufuatilia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.