Kama kichwa cha habari kinavyosema
Naitaji msaada wa kitaalam Kwa wafanyakazi wa kampuni ya simu ya Airtel
Kuna kijana wangu, ambae ni mtunza bustan na usafi wa nyumba, ameondoka na funguo za gari yangu Kwa bahati mbaya
Aliniomba bag dogo, nikampatia sasa nilisahau kutoa funguo na diary zangu...