ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jackbauer

    Hongera Wizara ya Afya kwa kukabiliana na uvumi wa maji ya ajabu Micheweni

    Miaka kadhaa imepita baada ya Tanzania kushuhudia vifo vilivyotokana na usanii wa "Babu wa Loliondo". Hivi karibuni kule micheweni Zanzibar palizuka uzushi mwingine wa uwepo wa maji yanayotoka ufukweni yakisemekana yanaweza kutibu magonjwa mbalimbali jambo ambalo limebainika sio la kweli...
  2. Mwizukulu mgikuru

    Siri ya mkoa wa Geita kuwa na matukio ya ovyo na ya ajabu hii hapa

    Habari zenu wana JamiiForums Wenzangu Waislamu poleni na mfungo wa Ramadhani na wakiristo hongereni na Ijumaa kuu nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu zaidi matukio mbalimbali ya ajabu na ovyo yanayotokea mkoani Geita baada ya uchunguzi wangu mdogo nilioufanya nikiwa naishi mkoani Geita maeneo ya...
  3. R

    Dunia ina mambo ya ajabu hii, nikisikia mtu kajiua sishangai kabisa

    Habari wadau, hebu waza hii kwanza umezaliwa kwenye familia ya nje na hio familia ya nje ina familia za nje mmmmh apo siongei sn jiongeze mwenyewe Halafu baba na mama yako na wao pia watoto wa nje ambazo zina familia za nje yaan ni maelezo tu hawa wameshare baba hawa wameshare mama...
  4. Chikenpox

    Watanzania wengi wamekaa kiwiziwizi tu halafu cha ajabu wanashinda makanisani

    Watanzania wamekaa kiwizi wizi haijalishi ni mapasta, Madre, maaskofu au waamini. Ukitaka kujua Hilo mlemle kanisani dondosha elfu kumi halafu unifanye hujaiona nakwambia hata yule aliyekuwa ananena kwa lugha kwa Julia kabisa akiiona atachukua fasta na hakupi. Kila siku watu wanashinda...
  5. NetMaster

    Mariam mama yake Yesu alizaa akiwa na miaka 12 kwa baraka zake Jehova / Mungu, kipi cha ajabu kwa wakristo kukataza mabinti wa miaka 15 wasiolewe?

    leo hii katika suala la kuoa inashangaza sana wakristo wakiwa wanapiga vita kubwa sheria ya mabinti wenye miaka 15 kuolewa kwamba inaendana kinyume na ukristo. Utamaduni wa israel katika uliwachambua mabinti katika makundi matatu NA’ARAH ( נַעֲרָה ) - huyu ni msichana ambae bado hakufikia...
  6. koba lee

    Jiji la Dar es Salaam linanuka harufu za ajabu ajabu

    Kwema wakuu? Twende kwenye mada husika. Narudia jiji hili linanuka harufu ya miozo kwa sehemu nyingi. Mtu mbwa wake kadanja anamchukua anamtupa barabarani au pembezoni mwa barabara, paka, mbuzi, kuku wote vilevile. wanatupwa sehemu ambazo ni makazi ya watu au pembezoni mwa barabara. Hii...
  7. BARD AI

    Bwana Harusi alivyofariki kwa ugonjwa wa ajabu

    Mmoja kati ya watu watano waliofariki dunia kwa ugonjwa wa ajabu katika Kata ya Maruku na Kanyangereko Bukoba vijijini, mkoani Kagera alikuwa bwana harusi mtarajiwa. Watu hao waliofariki dunia ni kati ya saba walioripotiwa kuwa na ugonjwa huo huku wakiwa na dalili za homa, kutapika, kutokwa...
  8. B

    Ugonjwa wa ajabu Kagera uchunguzi siku ngapi?

    Tarehe 16 March, hatimaye serikali ilitaarifu uwepo wa ugonjwa wa ajabu Kagera. Wakati maisha yakiendelea mabasi nayo kazini. Huu uchunguzi tulioarifiwa kuuhusu huu ugonjwa hadi lini?
  9. D

    Ni njia gani ya ajabu ambayo mhalifu alikamatwa?

    Mohammad Ashan alikuwa kamanda wa Taliban ambaye alisakwa kwa ku-organize mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani. Kulikuwa na mabango mengi yaliyotangaza kwamba anatafutwa na maafisa wa Marekani na zawadi ya dola 100 kwa yeyote ambaye angetoa taarifa ambazo zingemfanya akamatwe. Cha...
  10. Mr Why

    Kenya kukubali haki za mashoga ni jambo la aibu sana

    Kenya kukubali haki za mashoga ni jambo la aibu sana kwa vizazi vijavyo, labda wanaharakati wa mashoga ni wale wanaume ambao hawazai au hawatazaa, kwasababu kitendo cha kuona mtoto uliyemzaa anakuwa shoga ni kitendo cha aibu sana, inafikia mahali nchi hiyo mashoga wanafungua forum yao inayoitwa...
  11. Saidama

    Naomba msaada juu ya jambo hili la ajabu ambalo limetuchanganya kama familia

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, ni jambo lililotushtua kama familia kutokana na uajabu wake. Ipo hivi, siku ya juzi tar 19 majira ya saa sita kasoro usiku nikiwa nimelala fofofo, simu yangu ambayo ilikuwa kwenye 'vibration mode' ilikuwa ikiita. Wife kwakuwa alikuwa bado hajalala akawa...
  12. adriz

    Tahadhari: Baada ya line kuzimwa leo utapeli huu utashamiri kwa kasi ya ajabu

    Moja kwa moja.. Nimeona tangazo kutoka serikali kuwa leo tarehe 13 line zote zisizo hakikiwa zinaenda kuzimwa. Kwa utafiti wangu mfupi nilioufanya unaonyesha Watanzania wengi hawana uelewa wa kutosha kuhusu zoezi ili kuanzia madhumuni yake ,jinsi ya kuhakiki nk.. UTAPELI UTAKUJA KIVIPI ? Kuna...
  13. Balqior

    Kimahusiano, naona kama miaka ijayo tutakuja kutengeneza kizazi cha ajabu sana

    Ninaposoma comments za watu humu mtandaoni especially wanaume na nkiona na hali ilivyo mtaani, sipati picha kwa mfano Mungu akiiacha hii dunia iendelee miaka 500 mbele, taasisi ya ndoa itakuwa na hali gani.. Inaanza taratibu kama utani, wanaume wengi wanaanza kampeni ya kupinga ndoa, hata...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Kuendelea kumtaja Hayati Magufuli kwa mabaya ni upuuzi wa ajabu

    Anaandika, Robert Heriel Sikuwa mshabiki wa Magufuli Kutokana na namna alivyokuwa anaongoza, sisemi Kuwa Magufuli hakuwa na mambo Mema aliyoyafanya, yapo mengi mazuri Sana hasa ya miundombinu, lakini pia yapo Mabaya ambayo aidha aliyafanya au kuyafumbia macho, ambayo ndio yalinifanya nimuone...
  15. Makonde plateu

    Ajabu na inashangaza wakuu! Padri aliyefumaniwa jana ndiyo ameendesha ibada leo kanisani

    Yaani kuna mambo yanakera sana hii dunia ama hakika ukiwa mfuuatiaji wa kila kitu utaishia kuumwa ugonjwa wa ulcer tu yaani kuna vitu vinakera kweli kwenye hii dunia kwakweli Nikuambie kitu jana maeneo x kuna padri wa kanisa x maarufu hapa nchini amefumwa gest x akiwa na mke wa mtu akila uroda...
  16. N'yadikwa

    AJABU ZA MBEYA NA DAR: Bodaboda, Bajaj, vipanya vs Coaster daladala

    Kwenye hii miji miwili ya MBEYA na DAR ES SALAAM kuna mambo yanachekesha sana. Unajiuliza wafanya maamuzi walikuwa wanatafakari kweli? Mbona walifanya maamuzi ambayo yako Illogical! Mwaka 2008 Dar es Salaam jiji walipiga marufuku mabasi madogo almaarufu vipanya "Hiace". Sababu ilikuwa ni...
  17. J

    Mti wa ajabu huku Kigoma umenishangaza sana, jina lake unaitwaje?

    Nilikuwa pande za Kigoma vijijini huko, kwenye kutembea nikakutana na huu mti, sema wenyeji hawaujui jina kwa kiswahili. Anyejua jina lake atuambie.
  18. M

    Tabora: Ahukumiwa kifungo cha maisha baada ya kupatikana na hatia ya ulawiti

    MAHAKAMA ya Wilaya ya Tabora imemuhukumu mkazi wa Kidatu “B” kata ya Mtendeni Mkoani Tabora Husseni Mashibu (32) kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hati ya kumlawiti mtu mzima hadharani huku watu wakishuhudia kwa kumtuhumu kuwa ana mahusiano na mke wake. Akitoa hukumu hiyo leo...
  19. Pascal Mayalla

    Madudu haya ya ajabu ya kisheria yaliweza kufanyika vipi wakati tuna Wanasheria?

    Kwa Maslahi ya Taifa Nipashe ya Jumapili ya 15 January 2023 ni swali "hivi kweli sisi Tanzania tuna wanasheria wa ukweli au tuna wasomi tuu wa sheria, waliosomea sheria na kuhitimu?. Kama ni kweli tuna wanasheria, jee wanasheria waliopo ni wapo kweli au ni wapo wapo tuu?!. Kama kweli Tanzania...
  20. comte

    Katika dunia hii ya kidigitali kulilia mikutano ya hadhara ni ujuha wa kiwango cha ajabu

    Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano...
Back
Top Bottom