ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    Profesa Shivji: Mkataba wa Bandari unaegamia zaidi upande mmoja na hauna ukomo wa muda. Hauwezi kuvunjwa kwa sababu zozote zile

    Mkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu wote ni wajibu wa serikali ya Tanzania lakini haki zote ni haki za DP WORLD Mkataba huu (wa uendelezaji wa bandari) ni mkataba kati ya nchi na nchi kuhusu uwekezaji, na mkataba unasema ni kuhusu...
  2. King Jody

    Lilikuwa tukio la ajabu.

    Nakumbuka tulikwa kwenye mkesha wa mwaka mpya miaka kadhaa iliyopita, Nilikuwa mimi na rafiki zangu wanne, Tulikuwa tunatembea huku tunaimba nyimbo za mwaka mpya, Ghafla tukaona mtu akiwa juu ya mnyama sijui alikuwa mnyama gani yule, alikuwa kwenye spidi kali mno, alipotufikia alishika breki...
  3. F

    Sisi Tanzania ni watu wa ajabu sana! Hakuna tunachoweza zaidi ya UCHAWA!

    Yaani watu mnakwenda tu kwenye maonyesho na mnarudi mmesainishwa mikataba ya kimangungo ya " kuuza" bandari zenu kwa waarabu! Baada ya TICTS kumaliza muda wao iko wapi taarifa ya kina ya utendaji wao ili tuone manufaa, changamoto na skills transfer ambayo Watanzania wamepata ili kuweza...
  4. USSR

    Kanisa la ajabu misungwi mwanza limefungwa huku makaburi yakitafutwa

    Mchungaji huyu mwenye upako Kama yule Mackenzie wa Kenya anayelaza wagonjwa zaidi ya miambili kwa gharama za elfu sitini akiwa na wagonjwa mahtuti waliotoroka mahospitalini amekamatwa na kanisa kufungwa. Wagonjwa wamerudishwa hospitalini na wengine kuamliwa kuondoka huku taharuki ya makaburi...
  5. KING MIDAS

    Erlιng Haɑland, na shamba lake lenye mifugo ya ajabu.

    Shamba la Erlιng Haɑland, limejaa wanyama wenye maumbo ya ajabu, huyu ni ng'ombe mwenye vichwa viwili.
  6. Dam55

    CODEX GIGAS; Kitabu cha kale chenye historia ya ajabu

    KUTOKA KWA NYEMO CHILONGANI. Tuanze kupiga mastori kadhaa kuhusu mambo mbalimbali yaliyowahi kutokea miaka hiyo ya nyuma. Nataka leo nikwambie kitu kimoja kuhusu kitabu kikubwa sana, kitabu kisicho cha kawaida ambacho watu wengi wanasema ni Biblia ya Shetani. Usishtuke sana, acha tupige...
  7. Kichuguu

    Kauli tatu za ajabu sana Tanzania kuhusu vifo vya viongozi

    1. Mungu kaamua ugomvi 2. Watu wazuri hawafi 3. Keshaanza kuoza. Naona kama vile kauli hizi zitatutesa sana kwenye umoja wetu kama taifa huko tuendako.
  8. M

    Tamaduni za kipekee na za ajabu Afrika

    Utamaduni ni jinsi binadamu anavyokabili maisha katika mazingira yake. Hii pamoja na ujuzi, Imani, Sanaa, sheria , mila, desturi, ambavyo mtu anajipatia kama mwanajamii. Inapokuja kwamba mambo fulani yanakubaliwa na jamii fulani kutekelezwa basi huitwa utamaduni wa jamii hiyo. Tutakubaliana...
  9. Saidama

    Umewai kushuhudia/kuona kitu gani cha ajabu kwenye maisha yako ambacho hutosahau?

    Funguka
  10. Mcanada

    Hizi ndizo Ibada 3 za Kingono zinazofanywa Kimila barani Afrika

    Habari zenu wanakijiji cha Jamii Forums leo bhana nimewasogezea Ibada 3 za kingono zinazofanywa kimila na baadhi ya jamii barani Afrika.. lengo la hii thread si kwa nia ya kuchafua jamii hizo au waafrika bali lengo ni kujifunza tu maana kujifunza hakuna mwisho ..haya twende kazi... 1. IBADA YA...
  11. Mwachiluwi

    Mnaopanda daladala mnashuhudia mengi ya ajabu

    Hellow African Jana nikikuwa na safari ya kwenda Chanika nikaona bora nitumie daldala kutokana na umbali pia folenii na marekebisho ta njia Nikiwa kwenye daladala nilikuwa nimesinzia kutokana na kuchoka tulipo fika sehemu fulani sikumbi kwasababu sio mwenyeji wa mitaa iyo nikawa nimetulia...
  12. Bunchari

    Wazee wa zamani walikuwa na tabia na matendo mabaya na ya ajabu sana

    Habari wakuu,hamjambo? Njlikua na jamaa yangu akinisimulia jambo nikafikiria Sana kuhusu hawa wazee wetu kwa matukio yao Kama ifuatavyo.. Wengine wao walikua na tabia ya kujihusisha kimapenzi na wajukuu,watoto na ndugu wa karibu,kwanini nasema hivyo? Kuna kijana wa kike mdogo na msumbufu...
  13. B

    Mgahawa wa ajabu, nani yupo free nimpeleke

    Je unaweza kushiriki chakula cha jioni ukiwa mtupu bila nguo na watu 40 usiowafahamu? • Huko nchini Marekani upo mgahawa unaowapokea wateja wanaopenda kupata mlo wakiwa watupu. • "The Füde Breathwork Experience" mjini New York City ni hafla ya chakula cha jioni ambapo washiriki hula chakula huku...
  14. D

    Mambo 8 ya kushangaza kuhusu Korea Kaskazini

    (1) Kalenda ya Korea Kaskazini inategemea mwaka wa kuzaliwa wa mwanzilishi wa nchi hiyo, Kim Il-Sung. Mwaka huu 2023, Korea Kaskazini itaadhimisha mwaka wa 112, kwa vile Kim Il-Sung alizaliwa mwaka 1912. (2) Korea Kaskazini ina mfumo wake (operating system) kwenye upande wa computers zao...
  15. benzemah

    Rais Samia akutana na mtoto Hamimu Mustapha aliyetibiwa maradhi ya ngozi yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani Kagera. Mtoto huyo Hamimu alifika Ikulu kwa ajili ya kumshukuru Mhe. Rais kwa msaada wa matibabu...
  16. T

    Pale tunapotakiwa tukasirike tunacheka, na pale tunapotakiwa kucheka eti tunakasirika! Nchi ya ajabu sana hii!

    Nilitarajia kuona kila mtanzania amekasirika na kuonyesha hisia zake hasaa kwenye mambo yafuatayo; Ufisadi Kwanini kuwachekelea waliopewa mamlaka kusimamia haki za wananchi pamoja na kulinda kuhakikisha hakuna shilingi ya Mtanzania inakwapuliwa na mafisadi? Anatokea mtu mmoja tu kusema hili...
  17. Intelligent businessman

    Usibishe hizi ndio sifa za ajabu tulizofichwa, kuhusu wanyama na wadudu

    Mwingine Huyu HAPA Anaitwa TenkSon Scratch Nakuletea Mambo 10 Kuhusu Nyoka Huyu Anayeelekea Kupotea Duniani 👇 👇 (1) Nyoka Huyu Aligundulika Duniani Mnamo Mwaka 1624 Huko Nchini Congo BlazaVile Enzi Hizo Pakijulikana Kama Zaire (2) NYOKA Huyu Uwa Anataga Yai Moja Tu Kwa Mwaka Mzima Yai Hilo...
  18. Wakili wa shetani

    Thamani ya pesa yetu inazidi kuporomoka. Shida ni nini?

    Leo dola moja ni Tsh 2350 mtandaoni. Gharama za vitu tunavyoagiza itazidi kupanda. Shida nini pesa yetu kuporomoka namna hii? Hivi kuna namna tunaweza kuachana na kuagiza vitu kwa dola?
  19. B

    Wavuvi wakutwa na gonjwa la ajabu

    Takriban wavuvi 115 wanatibiwa katika mji mkuu wa Guinea, Conakry, baada ya kutoka baharini wakiwa na vidonda vya maumivu kwenye ngozi. "Sio ugonjwa wa kuambukiza - haiwezekani", anasema Karamba Kaba, daktari katika Hospitali ya Donka, akiongeza: "Tulisoma kwenye mitandao ya kijamii kwamba...
  20. T

    Hivi! Viongozi wetu huwa hawatamani watanzania wafe ili wawepo wao tu?

    Hisia zangu kwa sasa ni kwamba! Tumekuwa nchi yenye viongozi wanaotamani waishi kama maisha ya kama wako peponi na kuwadharau kabisa wanaowafanya wafikie hatua ya kuishi hivyo, watu has ni, walipa kodi na masikini kabisa ambao wanaishi kwa kudra za Mwenyezi Mungu! Watu hawa wanyonge na...
Back
Top Bottom