Yaani nimeona sendozi aina ya Teva inauzwa instagram 250,000! Nimepita huku mtaani nikazikuta kwa mmachinga, mpya kabisa. Nimempa elfu ishirini akapokea kiroho safi maisha yanaendelea!
Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
Wakuu leo tupige stori nyepesi. Mambo ya Hamas, Karia & TFF, Siasa, Simba na Yanga tuweke kando kwa muda. Ni ndoto gani uliyowahi kuota ikakushangaza?
Binafsi kuna siku niliota nimekaa sehemu maeneo ya Mburahati Madoto ninakunywa pepsi mara ghafla katokea Aliko Dangote kachoka mbaya anaomba...
Habarini wana JF, naombeni kuwauliza yafuatayo:
1) Hivi inawezekana mimba kutungwa endapo mwanaume katumia kinga kikamilifu (condom imara aina ya rough rider) na kinga hizo hazikuharibika hata kama mwanamke akiwa kwenye siku za hatari za kushika mimba?
2) Inawezekana kipimo cha ultrasound...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuwa serikali igharamie mazishi ya wote waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa iliyotokea na mafuriko katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang.
Rais Samia pia ametaka majeruhi wote...
ajabu
dp world
kimya
kugharamia
kugharamia mazishi
kurejea
kurejea nchini
kutumia
mama samia
mikono
mitupu
ngamia
rais
rais ruto
rais samia
ruto
samia
sana
usafiri
waarabu
wavuvi
wazungu
ziara
Bila shaka ni wazima mpaka mnasoma hapa.
Hiki kitu aisee ni cha ajabu ni kama kinajicontrol chenyewe kwa namna fulani ya ajabu sana.
Kipindi ambacho unahitaji mwenza wa kuanza naye safari ya maisha, hupati hata ile ng'o.
Lakini kipindi unatongoza hovyo wengi wanajirahisisha, wife material...
Wakuu wazima nyie
Kuna jamaa humu ndani ananishangaza sana yaani yeye kila post ana dislike. Huyu jamaa anajiita sijui mdudu gani hapo. Kila uzi yeye reaction yake ni dislike tu. Huyu mwamba atakua iblis labda.
Jamaa anajiita Mdudu wa bunju
Ongezeni wenye tabia kama ya huyu mwamba mzee wa...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Makala ya leo ni kuhusu fursa ya kuufanya uchaguzi Mkuu ujao wa Rais, Wabunge, Madiwani na serikali za mitaa utakuwa ni uchaguzi huru na wa haki.
Kwanza tukubaliane katika uendeshaji wa nchi...
Hakika hiki kipigo cha vyuma vitano kutoka kubwa la maadui Yanga kimewachanganya sana Simba wamekua kama wajenzi wa mnara wa Babeli hawaelewani kabisa kila mtu anakuja na lake humu jamii forum big thinker wao wamekomalia Ushirikina, mashabiki wao wanataka viongozi wasepe, wazee wa simba wanataka...
Yeyote aliyeniona miaka miwili au mitatu tu iliyopita ananishangaa na kutishika.
Walionilea na niliowakuta wakiwa wakubwa sasa ninawapita. Mvi zimetamalaki kidevuni na kichwani mara nne yao.
Nimegeuka kuwa kichekesho na mshangao kwa wanafamilia tunapokutana kwenye matukio yanayotukutanisha...
Leo tuna akina Abdul ambao utawaona na kina Museveni huko wakiwakilisha Watanzania na wakati huo huo hawajulikani wana nafasi gani hapo serikalini
Watoto wa Magufuli na familia yake kwa ujumla walifundwa siyo siri
Baba yao alikuwa kiongozi mkuu wa nchi hii, lakini niseme ukweli kuwa, sikuwahi...
Walaaaaaahiii mtumeewww 5 moko , kimoko tuuu chaliii wanaumeeee tukapiga vitano vya afyaa boraaa hahhhahahhhgh
Ebana heeeeeh ndo ikawa hivyo ...mvua hii people zinavaa nguo hazijakauka na life linasongaa kibabere
Karibuni kwa makasiriko...
Binti alifika dukani mwezi wa kwanza mwaka huu, Ni binti ambae sijawahi kuwa na tatizo nae kasoro hivi karibuni
Siku ya ambayo duka halifunguliwi / mapumziko huwa ni Jumapili lakini kwa sasa hali imebadilika, Kwa takribani wiki 5 mfululizo zilizopita ni lazima siku moja wapo kati ya Jumatatu...
Huyu ndugu tunajuana hapa na pale. Ila nilikuja kugundua ana logic za ajabu sana na za kushangaza.
1. Kuhusu UTI. Anadai kuwa kwenye vyoo vya umma wanaume wanapata UTI wakati wa kujisaidia haja ndogo. Kwamba unapokojoa mkojo unaruka kutoka kwenye sinki na kuingia kwenye njia yako ya mkojo. Huo...
Niseme ya kwamba Yanga ina bahati na kupangiwa timu kubwa ambazo huwa zinapatwa na matatizo, walianza na Tp Mazembe na msimu huu ni Al Ahly
Al Ahlu ya sasa ni timu nzuri ila kuna matatizo ndani ya timu, Kumekuwa na habari kwamba kuna migongano kwa upande wa strikers, Yani hats nafasi...
Kama kuna jamii ya watu wa ajabu ni Waafrica, ukitizama mitandaoni utaona namna gani watu wako busy kuitetea Izrael na Palestina, watu wanakosa usingizi kutetea SLAVE MASTER wao.
Kwa kifupi kama umepata nafasi ya kuisoma vizuri historia ya Africa juu ya biashara ya utumwa ambayo imefanywa na...
Niende kwenye hoja.
Sijui ni ugonjwa gani huu, mapele na yakipasuka yanageuka madonda. Watoto wanawashwa na akijikuna anazidisha maambukizi na madonda huwa makubwa na kwa dalili ilivo inaonekana wanaumia sana.
Madktari nilionana nao wapo kana kwamba wanabuni tatizo.
Kama kuna aliyeona shida...
"Anayesoma ana mengi sana asiyoyaelewa, asiyesoma hana asichoelewa".
Kama umewahi kusikia kuona au kukutana na mila ambayo kwako ilikuwa ni ya ajabu au haijakukalia sawa lakini ulipoiona au kuikuta ilikuwa ni kitu cha kawaida, itupie uzi huu.
Pia tupia hapa mila ambazo kwako au kwenu ni...
1. Jeshi la Polisi - trafic na CID wanakula vitu vinono. Kila kona ya nchi kuna trafic na wapo radhi kusimama akusanye buku buku akifika jioni apeleke nyama home. Uchunguzi hasa case za kuibiwa vifaa vya electroni hakuna anayechunguza. Mtaani panejaa simu na computer za wizi. Watu wa cyber wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.