Sikiliza hapa:
Katika Mkutano huo wa Hadhara jijini Arusha Gobless Lema amedokeza kuwa wapo baadhi ya Viongozi wa Serikali wanamtulana Rais Samia. Akifafanua jambo hilo Lema anasema:
"Natoa maelekezo kwa Viongozi wa Kanda na Makatibu Rais Samia yupo Arusha apewe Kadi ya CHADEMA. Anatukanwa...
As/aleikum wakuu
Dunia ina mambo sana, kuna jamaa ametangaza kuuza nyumba yake kikawaida uku akimtegemea Mungu, imepita miaka ajaiuza, na nyumba ipo sehemu nzuri tu, akaona bora amtafuta mtaalamu anaemjua yeye, akaja akamfanyia ya uongo na kweli, akamuambia haidhidi wiki au mwez utaiuza, kwel...
Hawa watu sijui ni wanamdharau mama au ni nini hiki?
Yani inawezekanaje usimjue mdeni wako?
--
Ukaguzi wa CAG umebaini TTCL ina madeni makubwa ya TZS bilioni 21, lakini uongozi haukuweza kutambua wadaiwa husika. Shirika hilo limetoa pendekezo kwa bodi kufuta deni la bilioni 7.51.
Hizi namba za 3D imekuwa Ghafla sana kung'olewa, na Jeshi la polisi limesimama imara katika Hili, Ombi langu kwa Jeshi la Polisi ni hili:-
Namba za Ajabu
Mtaani huku kuna namba nyingi ambazo sio rasmi, Nyeusi, Nyeupe na Njano hapo nyuma mlitoaga tamko lakini hizi namba bado zipo na hatujui...
Kuna picha moja inatend ya mmoja wapo wa mtumishi wa Afya akiwa amebeba vaccine carrier kwa maana chanjo akivuka mto kwenda kutoa chanjo.
Ile picha imenifikirisha sana kwanza yule mtumishi wa Afya ni mpumbavu,mjinga na hajielewi yaani unavuka kwenye mto ili iweje?
Je, haoni hatari ilioje? Na...
Huku mtaani kuna vipanya fulani hivi vina pua ndefu na mlio mkali sana vikilia utadhani ni mtu anasugua chuma.
Cha ajabu hivi vipanya ukitega kwenye mtego kikanasa panya mwenzake akija kukikuta hapo anamla utumbo na nyama laini zote za ndani ngozi anakuachia hapo.
Kingine hawa panya hata...
Ulimwengu wa upishi umekuwa ni darasa kubwa ambalo watu hutumia kujifunza utamaduni na hata wengine kujipatia nafasi ya kuingiza kipato, ila wapo wanaovutika kutokana na ubunifu na pamoja na utamaduni za jamii mbalimbali, na hivyo maarifa kadhaa ya upishi yanasambaa zaidi. Walakini, mara kwa...
Habari za mapambano wana Jf?
Mimi ni kijana wa miaka 27 ni muhitimu wa chuo kikuuu x na nipo nasubili ajira. Na saivi najishughurisha na bodaboda pia nalima. Kuna ndoto inanijia mara kwa mara yaaani " naota nipo shule nafanya mitihani ambayo ni migumu ambayo simalizi, nyingine nipo kwenye...
Kuna hili limetokea, gari dogo baada ya kusimamishwa na traffic likaoneka lina deni. Kuagalia vizuri fine(madeni) zote zimeandikiwa mkoa wa Dodoma ikiwa gari dogo halijawahi kufika Dodoma, lipo Morogoro.
Makosa hayo ni kuzidisha abiria, maana yake ilitumika kukusanya maokoto.
Wataalam naomba...
Kwenye ulimwengu wa sasa kuna kipindi unachukua namba ya mtu na unashindwa kumsave kwa jina lake, sometimes husababishwa na majina kufanana au kutomfahamu vizuri aliekupa namba.
Ni jina gani la ajabu umesave kwenye simu yako?
Tar 21 Nov 2023
Moroco vs 🇹🇿
Novatus discuss kiroshi alipata Redcar dk ya 72.
Jana dk almost zile zile anapewa card mechi vs Moroco
Sioni sana kipya tusaidie badala ya kujazana ujinga. Kocha akiona giz dk za 70+ aangalie anawezaje kumpumzisha
Also akae na mchezaji wake amwonye amwelekeze kosa...
HABARINI FJ PEOPLE
Nimependa leo niseme kitu kidogo juu ya tatizo la HIV/AIDs. Hamna asiyejua kwamba HIV ni janga kubwa hasa katita nchi zinazoendelea. Am sorry najua humu kuna baadhi wapo na HIV+ status lakini ni lazima waelewe kwamba ni jukumu letu sote kupambana na kutokomeza hii kitu...
Cristiano ronaldo ana uwezo mkubwa wa kufunga magoli kutokana na uwezo wa ajabu alio nao, Ronaldo anafunga magoli ya kichwa kwa kuruka juu mpaka meter 2.95 ,binadamu wa kawaida anaruka mpaka meter 1.8 ..Alex ferguson alishawahi sema "Nilimlaumu evra kwann hakumzuia ronaldo, lakini baada ya...
Kila siku tunaambiwa ikitoka CCM Madarakani hakuna chama kingine cha siasa chenye uwezo wa kuchukua nafasi yake.
Hivi CCM inafanya kitu gani chanya kwa Tanzania ambacho vyama vingine vya Siasa havitaweza kufanya CCM ikitolewa madarakani?
On This Day 2020, Iranian arch-terrorist Qassem Soleimani was ELIMINATED in Iraq.
Iranian people found a creative way to celebrate his assassination by eating Kotlets (Persian Meat Patties) on this day.
Happy Kotlet Day!
Kulikuwa na mtu huyu, wakati wa kusoma chuo cha ufundi, alikua ni mtu ambaye tulikuwa darasa moja pindi tupo chuo, alikuwa ni mkimya sana na hajawahi kuchangia chochote wala kuzungumza na mtu yeyote darasani.
Alikuwa Hana makundi, alikuwa hana ushirikiano, alikuwa hana marafiki. Hakuna mtu...
Mwenzenu ninapendwa japo sipatiwi tendo la ndoa. Naimani asilimia mia kuwa ninapendwa. Maana huyu mwanamke huufurahia sana uwepo wangu, huvutiwa na ucheshi wangu, hunitamka mara kwa mara mdomoni, huniulizia na kunisifia sana kwa marafiki zake, pia marafiki zangu.
Vijizawadi vidogo vidogo vya...
1. Ukipata mpenzi mnaependana sana.
2. Ukipata mtoto wako wa kwanza.
3. Ukifunga ndoa.
4. Ukinunua gari lako la kwanza.
5. Ukifaulu form4 au form 6 (vilaza wenzangu watanielewa)
6. Kuhamia nyumbani mwako baada ya kuishi kweny za kupanga
7. Majibu ya kipimo kurudi HIV negative baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.