https://youtu.be/MJapGEmItUY?si=-VeOmElPPZE7ppPd
Yani unaharibu mali za watu ,unachoma ndege ,unachoma ofisi za bunge ,nk Kwa sababu Kodi?
Kwa namna navyo waona si Dhani kama ni afya kuwa nao kama nchi Moja huko mbele kwenye maswala ya EAC
•itel kiswaswadu
•Tecno kiswaswadu
•bontel kiswaswadu
•O king kiswaswadu
Na misimu yote ya kichina isiyofahamika ndio wazazi wetu wanatumia tena huku tukijinadi ooh mimi mzazi wangu yupo fresh kumbe dakika mbili tu simu yake chaji imeisha na hapatikani hewani
Mwaka mmoja nilifika eneo moja hapo Morogoro, njia ya Dodoma kabla hujafika mizani, sasa mwenyeji wangu alinambia nikishuka kwa bajaji nichukue boda mpaka kwake, sasa kama kawaida bajaji umesimama tu boda kibao hizi hapa nikadandia moja chap nikampa maelekezo akaanza yafuata, barabarani jamaa...
Sikutegemea kama rafiki yang kipenzi utakuwa na roho mbaya kiasi hiki aisee!
Yani bila aibu kwenye mualiko wako unanimbia kuwa nikija kwako kula mwisho sahani moja.?
Aisee umenifunza kitu.
Kama kuumbuka nilishaumbuka tena si mara moja mara mbili watu tofauti huyu wa pili alisema yeye anatumia simu ya samsung.
Wa kwanza hakuweza hata kuniambia anatumia simu gani.
Kuna jamaa angu anatumia samsung nilimtumia picha ya view once yy hakuweza kuis screenshot wala kuihifadhi! hapo...
Chukua hii nakupa; japo hatupangiani maisha kila mtu anajua jinsi anavyoyaendesha ila kiukweli life ni gumu ndugu zangu na mwaka huu huku mashambani hali sio hali hasa Kwa upande wa zao la mahindi.
Mikoa ambayo sio wazalishaji wakubwa wa chakula tumepata pata ila sio ya kuuza ni kwa ajili ya...
1. Harmonize anaonyesha ishara za lugha za matusi hadharani hasa zikiwadhalilisha wanawake na mashabiki wanazishangalia, jambo la kushangaza mpaka sasa sio LHRC, TAMWA, BASATA, TFF au taasisi nyingine yoyote iliyokemea na kulaani vitendo hivyo.
2. Kingereza kibovu mno katika platform ambayo...
Umeanzisha stationery machine zote muhimu unazo isipokiwa flash na usb Leo flash Hadi buku 5 unapata usb 1500 kwa 2000
Unajikuta unakosa jero ya wateja bure printer ya Epson 300-400k, photocopier ya canon 700-1000k na vikorokoro vingine unakosa usb na flash
#HABARI Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma kwa kutumia basi la Kampuni ya Shabiby namba T 341 EEU, wamenusurika kifo baada ya basi hilo kuanguka katika eneo la Kihonda Manispaa ya Morogoro na kujeruhi abiria kadhaa.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wanasema...
Alikuja akaniazima ghetto,bila hiana nikamuazima alikuwa na pisi yake moja maridhawa! mtoto mchongoko,uno la kigoda ngozi nyepunyepu halafu kamdomo kale kakuombea miamala!..
ujinga wa huyu rafiki yangu upo hapa mfukoni alikuwa na vile vidonge vya pii two!,sasa baada yakumaliza mchezo...
Chadema imepitisha watuhumiwa wa Rushwa kuwa wagombea wa Uwenyekiti wa kanda kwa mujibu wa tuhuma za Makamu Mwenyekiti wao Tundu Lissu
REACTION ANAYETUHUMU WENGINE KWA RUSHWA ni kuomba anunuliwe gari.?
Kama Tundu Lissu ni msafi why he still associated with the worst criminals waliopokea...
Ndoto ya kwanza
Niliota mimi flani nimezaliwa mwaka 1800's na ukijimlisha miaka 100 ni miaka ya 1900's ndo utapata mwaka niliozaliwa hii ndoto niliota kwa msisitizo mkubwa sana na ilinistaajabisha sana
Ndoto ya pili
Niliota niko sehemu ila kuna nyoka wengi wametapakaa kila mahali najaribu...
Utangulizi
Zipo teknolojia nyingi sana ambazo ni kama zimetupita barani Afrika hususan nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara ikiwemo Taifa la Tanzania. Katika teknolojia hizi zilizotupita kidogo, ipo teknolojia ya kifaa cha ajabu ambayo hatupaswi tuendelee kuiacha itupite, na kifaa hiki si...
Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani?
Kuna fedha za ajabu, Iringa, njombe na kwingineko. Pesa za Abdul na mamake zitatuangamiza. Chagueni viongozi ambao hawatatuangamiza. Kuweni macho na hizo pesa...
Marehemu asemwi vibaya ila huyu mwamba alinifurahisha sana.
Mmoja kati ya viungo bora kabisa wa enzi zake,siku moja kabla ya kifo chake,Isnsil Aden Rage akimpatia milioni zaidi ya kumi kama sehemu ya ada ya usajili wake.
Mafisango akaita marafiki zake wakaitumbua aswaa,ilikuwa ni kuhama bar tu...
Ni Furaha na Shangwe zimetawala katika siku hii ya Leo iran ilipoishambulia Israel kwa makombora takribani 200 huku mengine 80 yakiongezwa, baadhi yametunguliwa na mifumo ya ulinzi baadhi yameweza kupiga target.
Ni furaha kama ile ya 7 October mwaka jana Palestina ilipoishambulia Israel lakini...
Idadi / population ya warwanda
Wahutu 85 %
Watutsi 14 %
Watwa 1%.
Kwa hisoria fupi, mauaji ya Kimbari 1994 yalianza baada ya waasi wa kitutsi wakiongozwa na Kagame kulipua ndege aliyokuwemo Rais wa Rwanda mhutu (pia akiwemo rais wa Burundi mhutu), ndipo Wahutu wa Rwanda wakaamua kulipa kisasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.