Nimekodi bodaboda kutoka maeneo fulani ya jiji hili, lakini tulipokuwa safarini dereva wangu alitambua kuwa tairi moja la bodaboda limepungua upepo. Kwa hiyo, tulilazimika kujongea hadi kwa fundi ili kulitatua tatizo hilo. Tulipofika, kilichonivutia zaidi si fundi mwenyewe bali kijana mdogo...
Wakuu,
Tunaposema vijana muwe makini na mapenzi hii ndio maana yake
=================================================
Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na hatia ya kuvaa sare za Jeshi la...
Nimewaza tu,kama ni kweli kwamba Lisu amegoma kabisa kulamba asali anataka nini basi?
Yaani anafanya siasa kwa lengo gani kama lengo lake sio kulamba asali?
Kiukweli naona nyota nyota tu🤣🤣🤣🤣🤣
Leo hapa Iringa kwenye yale mabishano ya mitaani kuhusu siasa nimeshangazwa Sana na wana CCM.
Zaidi ya wana CCM 50 niliokutana nao na kuwauliza ni kwa nini chama chao kinaitwa "Chama Cha Mapinduzi" hakuna hata mmoja aliyekuwa na jibu.
Kuna wakati taasisi ya Twaweza waliafanya utafiti wa ni...
Kutokana na mazingira machafu ya baadhi ya mama ntilie
Mwanaume nimeamua kupika
Sasa Jana nimenunua pressure cooker ili kupikia maharage na nyama Cha ajabu naona maharege natumia saa moja na nusu ila maji hayajauki mpaka kupungunza
Nakosea wapi wakuu
Habari za muda wakuu wa Jf....
Binafsi , nakumbuka nikiwa 821 KJ ikiwa ni jumamosi,[ siku ya bonanza ] hapo Niko full-stim ''Mwamba ni Mimi'' basi imefika muda wa kuhakikiwa turudi mahangani kupumzika....nikawa naona wananizingua namba tunarudiarudia nikaona msinichezee... Nikafungua zipu...
Ripoti ya Hurriyet inadai kuwa Assad alipokea dhamana kutoka kwa Israeli ili kuhakikisha usalama wa njia yake ya kutoroka baada ya kupata taarifa za kijasusi. "Kwa kuzingatia usahihi wa mashambulizi ya Israeli dhidi ya mali ya kijeshi ya Syria baada ya kuanguka kwa Assad, inaonekana Israeli...
Hizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo!
Magoli rahisi sana!
Nilikutana na rafiki niliyesoma nae msingi miaka mingi mno iliyopita akiwa kwenye gari stendi tayari kwa safari.....nami nilikuwa nafika hapo kwa ajili ya usafiri wa kwenda sehemu. Tukiwa na hamu ya kuongea mengi lakini tukiachwa na muda kwani gari yao ilianza kuondoka; ikabidi anitajie namba...
Nimemsikia msemaji wa Yanga Ally Kamwe anasema DR Congo wamefanyiwa vitendo vya kihuni wamerogwa mchana kweupe washabiki wao wamepigishwa magoti na kuchomwa na jua kali,
Kama msemaji wa yanga anasema vitendo hivyo vingefanywa kwa mkapa na klabu ya Yanga kwa kuwa waandishi wa tanzania hawana...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika mabadiliko ya kawaida ya Baraza la Mawaziri yameshuhudia Mheshimiwa Innocent Bashungwa akihamishwa kutoka wizara ya Ujenzi kwenda wizara ya mambo ya ndani.
Hii na hatua hiyo ya kupata uteuzi mpya imemfanya kujiwekea rekodi yake binafsi na kuwa kati ya mawaziri...
Zamani huko Ulaya, ukipinga ukiristo unapatilizwa chini ya kile kilichoitwa inquisition.
Kwenye uislam, ukiupinga chini ya dhana ya jihad unauawa.
Huwa nashangaa.
Kwanini kupigania dini ya 'Mungu' kana kwamba Mungu hana uwezo wa kuipigania dini yake?
Tunapigania dini ya Mungu au maslahi...
“Yanga wana historia kwenye uwanja tutakaotumia kesho, walipoteza mchezo wa Fainali hapa kwa kanuni lakini naamini walishinda mioyo ya wapenda mpira hapa Algeria, kesho ni siku nyingine na tutakuja na nguvu na kasi ya ajabu ya kutaka kushinda tena"
My Take
😂😂😂😂😂
Ni ya ajabu kwangu! Sijawahi kuiota ndoto ya aina hii!!!
Nimeota nimetoka nje ya mwili wangu na kupaaa hadi eneo ambalo sikuwahi kufika, na hata sasa sipafahamu kama eneo hilo lipo au ni eneo la kufikirika tu. Lakini kama papo, nikipaona nitapakumbuka. Nilikariri baadhi ya maeneo, mfano, mti...
Mwaka ujao nitajitahidi nifike pale Israel nikajionee jinsi Mji wa Daudi na Ushahidi wa Kihistoria na Kibiblia, gharama za kuingia kufanya ziara ni shekeli 45-60 sawa na 30,000-40,000 ya kitanzania .
Hebu tuone kidogo kuhusu huu unaoitwa Mji wa Daudi Kiaikolojia na Kibiblia,
Mji wa Daudi ni...
Wananzengo hamjambo?
Humu kuna watu huwa wanakula panya, mbwa, punda, mende, mijusi, kenge na viumbe wengine wa ajabu ajabu.
Ebu tuambieni, mnavyokuwa mnawala huwa mnahisi ladha gani?
Inawezekana sisi tunawaogopa bure, huku nyie mkifaidi peke yenu kula vitu vyenye ladha nzuri.
Tushawishini...
Kuna jamaa yule mwenye jezi ya Yanga alivyotolewa nilitegemea watu wangelia machozi ya furaha lakini wapi,...watu walikuwa kama wanshangalia movie,hakuna hisia kwenye nyuso zao,walishangilia utadhani wako mpirani wakati jamaa alikuwa katikati ya kifo na mauti,...Wanatamani lile zari lingewatokea...
Rais Samia ambaye amesafiri kwenda Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil 16 Novemba, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20, amezungumza na Wananchi kufuatia kuporomoka kwa ghorofa...
Jana si nimeyakanyaga, huwa nafanya kazi dar kwa hio muda mwingi nakua huko ila mke yupo mkoani. Mwisho wa mwaka huwa narudi na mwaka huu nimerudi mapema, sasa jana wema wangu si ukaniponza.
Nikaamua kumtoa out wife, sijui kichaa gn kikaniingia nikampeleka pub moja ambapo huwa naenda sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.