ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpigania uhuru wa pili

    U.s federal reserve walipunguza interest rate september ambapo kutapelekea kuongezeka kwa dollar cha ajabu sifa anapewa mafuru

    Kwenye msiba wa mafuru alisikika samia akimsifia mafuru alsaidia kupungua kwa uhaba wa dollar swali kivip kwa sababu anaye-control supply ya dollar ni u.s federal reserve sasa mafuru anahusikaje Hii ni habari ya september The US Fed on Wednesday cut the benchmark federal funds rate by half a...
  2. Magical power

    Vyoo vyetu vya enzi hizo, lakini ajabu hakujakuwa na magonjwa ya UTI tofauti na sasa

    Vyoo vyetu vya enzi hizo, lakini ajabu hakujakuwa na magonjwa ya UTI tofauti na sasa
  3. Eli Cohen

    Uturuki imewapiga Wakurdi zaidi mara 1000 ndani siku nne kuretaliate shambulio la kigaidi lilifofanyika. Cha ajabu hatusikii wanaharakati mkilaani

    Israel akirudisha mashambulizi kutokana na ugaidi anaofanyiwa mnawaita wauaji. Ooh, tushaelewa kwa nini. Turkey ni wale wale itikadi kali wenzenu ndio maana mko kimya.
  4. Mzee wa Code

    Maisha ya Kijiji cha kiboriani ni ya ajabu, huduma zote muhimu ni changamoto kupatikana

    Kijiji cha Kibodiani kilichopo Wilayani Mpwapwa, Dodoma ni mfano wa Jamii nyingi zinazokabiliwa na changamoto kubwa za kijamii. Wakazi wa kijiji hiki wanapitia matatizo mengi yanayohusiana na ukosefu wa huduma za msingi kama Elimu, afya, umeme na maji safi na salama. Hali hii inawaathiri kwa...
  5. jangos

    Huyu ni kiumbe gani?

    Leo nimeona kiumbe ambaye kanshangaza Au mnamjua wakuu👇👇
  6. Kasongo yeeyee

    MCHENGERWA NA TAMISEMI YAKO FUATILIENI CHATO KUNA UPIGAJI AJABU, HASA KWENYE CHAGUZI NA KAZI NYINGINE MAALUM

    Mhe. Waziri Mchengerwa na wizara yako imulikeni Chato na chukueni hatua mapema. Mambo si mambo kule, hali si hali. Nimepenyezewa taarifa kuwa watumishi wa zoezi la uchaguzi wanadhulumiwa malipo yao kuanzia siku ya kwanza ya uchaguzi hadi leo hii, na hadi sasa zoezi la ugawaji fomu kwa wagombea...
  7. comte

    Usafiri kwenda kwenye mikutanao ya siasa si jambo la ajabu bali ni bainisho la ustaarabu

    https://www.yahoo.com/news/trump-coachella-rally-attendees-were-010925587.html
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Sifa Mbili pekee ndizo hufanya Wanaume wawaite Wanawake Malaya, sio ajabu Mume kumuita Mkewe Malaya hata kama Mkewe hafanyi ufuska.

    SIFA MBILI PEKEE NDIZO HUFANYA WANAUME WAWAITE WANAWAKE MALAYA, SIO ADHABU MUME KUMUITA MKEWE MALAYA HATA KAMA MKEWE HAFANYI UFUSKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya mambo àmbayo Wanawake wengi hawapendi uwaite ni kumuita Malaya, lakini kingine kumuita MCHAFU. Yaani ukitaka Mwanamke...
  9. Mwachiluwi

    KOTI LA AJABU

    Daktari alimshauri Hamza kutokuugusa mwili huo sababu hilo ni tukio la Mauaji. Tayari wapelelezi walikua hapo wakiongozwa na Agent Daudi Mbaga aliyekua kiongozi wa wapelelezi hao, pia gari ya wagonjwa ilikua tayari imefika hapo ikiwa na Madaktari ambao nao walipewa taarifa kuwa Mtu...
  10. feyzal

    Mapenzi yalivyonibadilisha na kuwa mkatili na roho ya ajabu

    Naam kama heading inavyosema kwakweli kwasasa nimeanza kujichukia hasa upande wa mahusiano ya kimapenzi. Nianze nyuma kidogo ili uelewe kwanini yamenifanya kua katili na pengine inaweza ikawa funzo kwa vijana wa leo. Hapa sitataja majina halisi ya wahusika na nitaeleza direct lengo tu. "Wewe ni...
  11. Naju23

    Bagamoyo DC wa ajabu kabisa.

    Swali kidogo. Hawa viongozi wanamatatizo. Unamuwakilishaje Mama Samia kwa dc wa aina hii. Kama ni uteuzi wa kujuana sawa. Hivi hakuna vijana wenye hekima? Au ndio kuzidiana Dumba? Asilimia kubwa ma RC hawana tatizo..upande wa ma DC inanishangaza, hivi vetting zinavamiwa? My take...
  12. Chapati Tatu

    Teknolojia za Ajabu Afrika, Taja nyingine unayoifahamu.

    Hii ni moja ya mambo yaliyowahi kunishangaza sana. Huyo mwamba aliyeshikilia hapo ameamua kuweka kende zake rehani kwa ajili ya taifa.
  13. Money Penny

    Nimegonganisha mabwana kanisani, nimetoka mzima, wanaume watu wa ajabu sana

    Mrembo: unajua Penny, nimefurahi umeanzisha youtube channel buana, sasa kuna ishu nataka nikupe Money penny: enhe nambie mrembo Mrembo: kuna wanaume wawili wananitaka, Mmoja ni mtu mzima miaka 55 - Mpenzi A Mwingine kijana miaka 35 - Mpenzi B Kati ya hawa wawili wote siwaelewi, Mwanzo Mpenzi...
  14. S

    Kaka unasafilisha mali ya asili - Julius Nyerere International Airport -Yamenikuta ya ajabu na kweli

    Nasafiri kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere International Airport. baada ya mabegi kupita kwenye scanner, begi moja likaonekana lina tatizo. Likaekwa pembeni, nikaitwa, mpekuzi akalifungua na kupekuwa akatoa pakiti ambayo ilikuwa na ubuyu, ule ubuyu wa rangi nyekundu ambao...
  15. Bulelaa

    Africa inahita nchi moja wapo kuwa super power wa nchi zote, la sivyo! Congo itaendelea kuonewa na kila viongozi wa vinchi vya ajabu!

    Ndiyo! Africa mpaka sasa sifahamu ni nchi gani ambayo viongozi wake wakikohoa, kina Kagame wanakaa kimya Congo, watu wake wanapata tabu sana kwa vita ambavyo tangu nimekuwa na akili nasikia tu wanauwana na sababu kuu ni vijimajeshi vya nchi za Waafrica wenzao kutumwa kwenda kupora mali za nchi...
  16. A

    KERO Wakazi wa Tinga Tinga (Longido) hatuna Maji miaka mingi. Ajabu Serikali inaleta miradi ambayo haikamiliki, TAKUKURU mko wapi?

    Mimi ni Kijana wa Jamii ya Kimasai kutoka Longido, Kata ya Tinga Tinga, naomba malalamiko haya wa Wananchi yamfikie Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda. Kata yetu inashida ya maji tangu enzi na enzi japo tuko karibu sana na vyanzo vingi vya maji, pia Serikali imekuwa ikileta miradi mbalimbali...
  17. kiredio Jr

    Walimuita Baba yangu majina ya ajabu, Freemason, mchawi

    Habarini ndugu, Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Mzee wangu, nimeamua kushare story hii fupi inayohusu jambo ambalo lilimkuta enzi za uhai wake. Kama ilivyo kawaida katika jamii zetu, mtu akiwa na mafanikio huitwa majina yote mabaya pasipo kujali uhakika wa madai hayo.. Siku moja ya...
  18. Yoda

    Mauaji ya ajabu ajabu Afrika Mashariki ni kiashiria cha kuingia ugonjwa wa "serial killer"?

    Serial killers ni watu wanaofanya mauaji ya zaidi ya mtu mmoja kwa minajili ya kujipatia furaha tu, mauaji yao mara nyingi huwa yanalenga kundi fulani la watu mfano wanawake, watoto, watu wa rangi fulani n.k Aina hii ya mauaji imekuwa maarufu zaidi katika nchi za magharibi ikihusishwa zaidi na...
  19. Ngongo

    Viongozi wetu wapo tayari kuweka kando dhamana ya mamilioni ya wananchi na kumlinda mtu mmoja!

    Heshima kwenu wanajamvi, Nimemfuatilia Mh. Rais Mstaafu Mzee Kikwete akielezea mahusiano yake na familia ya Manji, kwamba alikabidhiwa kijana wake amlee. Ni wazi Manji alikwapua fedha nyingi za NSSF kupitia miradi kausha damu. Tuna shukuru Mungu Magufuli alimfikisha sehemu yake inayostahili...
  20. Pascal Mayalla

    BullDoza Mwamposa Ana Powers za Mvuto wa Ajabu, Aleta Balaa Kubwa Kawe na Maeneo ya Jirani, Mkesha Wake, Kawe, Mikocheni, Mbezi Beach, Wote Tumekesha!

    Wanabodi, Hebu shuhudia Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo... 1. Nyomi!. Kiukweli kabisa watu ni wengi ajabu, sijui hata walitoka wapi, mabasi yote yalijaa, watu kwa makundi wanatembea kwa miguu, tumekaa foleni masaa 3!. Hii maana yake Bulldozer Mwamposa, ana nguvu za upako wa mvuto...
Back
Top Bottom