Wakuu,
Kuna basi moja la mwendokasi limenusurika kuwaka moto asubuhi hii. Stori inaanzia Mitaa ya Shekilango ambapo limetupita, mimi na rafiki yangu tukiwa kwenye bolt. Kwa moshi uliokuwa unatoka haikuwezekana hata kusoma number plate yake, ulikuwa mzito sana kiasi cha kuziba barabara yote...