ajali ya ndege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr mutuu

    Serikali: Ndege inayodaiwa kuanguka Kahama ni Majaribio ya Utayari

    Taarifa zaidi badae, Kuna mtu yupo Kahama kanitaarifu kuwa Kuna ndege imeanguka, ambulance na fire zinakimbia eneo la tukio. --- UPDATES; Ndege aina ya Garet 5Q KTM ikiwa na abiria 42 imeanguka nje kidogo ya uwanja wa ndege wa Kahama wakati ikijaribu kutua kwa dharura huku watu 10 wanasadikiwa...
  2. BARD AI

    PICHA: Nepal yaomboleza baada ya ajali mbaya ya Ndege kuua watu 66

    Nepal imeanza maombolezo leo Jumatatu, Januari 16, 2023 siku moja baada ya Ndege kuanguka ilipokuwa ikijaribu kutua katika uwanja mpya, na kuua takriban watu 66 kati ya 72 waliokuwa ndani. Wafanyakazi wa uokoaji walilazimika kushuka katika korongo la mita 300 kwa ajili msako wa kuwatafuta watu...
  3. Msanii

    Uwajibikaji ajali ya ndege ndiyo imeisha hiyo

    Tayari serikali imeshatoa taarifa ya uchunguzi wa ajali ya ndege iliyopata ajali wakati inatua uwanja wa Bukoba. Taarifa hiyo ya uchunguzi inakiri wazi uzembe wa kitengo cha dharura na uokozi uwanjani hapo. Pia hata kuleta mkanganyiko unaoiumbua serikali hususani ofisi ya Waziri Mkuu na ofisi...
  4. M

    Je, tuliowadanganya Watanzania tumeshajiandaa na Ripoti Kamili ya Ajali ya Ndege Bukoba baada ya Miezi 18?

    Ninachoogopa MINOCYCLINE ni kwamba Wazungu huwa hawanunuliki na wala hawajui kusema Uwongo hivyo huenda Muongo Mkuu wa Taifa Mr. Super Black Daima na Msaidizi wake wa Mr. Kukurupuka Kuchangayikiwa Wakaumbuka na Kumuaibisha hata Boss wao Kikatiba. Kazi ipo.
  5. IamBrianLeeSnr

    Watu walikufa kwa sababu ya uzembe, wangeweza kuokolewa katika ajali ya ndege

    Ndege ya Precision air iliyoanguka katika Ziwa Victoria Bukoba, Tanzania, November 6, 2022 Ripoti ya awali kuhusu uchunguzi unaoendelea kuhusu ajali ya ndege ya Precision nchini Tanzania inasema kwamba Maisha ya watu yangeokolewa endapo maafisa wa uokoaji wangeajibika kwa muda unaofaa. Licha ya...
  6. S

    Ajali ya ndege Bukoba: Nashangaa mpaka sasa si waandishi wa habari wala wadau wengine walioona umuhimu wa kupata maoni ya wataalamu wa hali ya hewa

    Tangu kutokea kwa ajali hii, kumekuwa na maoni mengi na watu mbalimbali kuhojiwa ili watoe maoni yao. Kinachonmishangaza ni kuwa, wakati chanzo cha ajali kikitajwa kuwa ni hali mbaya ya hewa(najua uchunguzi unaendelea) mpaka sasa sijaona waandishi wa habari wala wadau wengine walioona umuhimu wa...
  7. britanicca

    Ripoti ya ajali ya ndege kunani? Ukweli unaendelea kujifunua

    Kidumu Chama changu cha Mapinduzi, zidumu fikra zilizosahihi za Mweyekiti zisizo sahihi tuzifute, wananchi nawasalimu sana. Tushirikishane hapa, kuna jambo linakwepwa sana na halisemwi, nalo ni kwakuwa chapa ya ndege yetu itashuka ikionekana hakukuwapo uwajibikaji wa wahudumu na shirika kwa...
  8. barafu

    Ajali ya ndege Bukoba ni matokeo ya uzembe na kufanya kazi kwa mazoea.Tuwajibishane ili tusirudie makosa

    Yamesikika mengi kuhusiana na ajali ya ndege ya PW kule Bukoba, yamesemwa mengi na wanasiasa na wasio wanasiasa. Kila mtu anasema la kwake, lakini moja na lenye uhakika ni kuwa, kuna watu wanapaswa kuwajibishwa kwa ajali ya ndege Bukoba. Tumepoteza ndugu, marafiki na jamaa zetu kwa sababu ya...
  9. Sildenafil Citrate

    Ajali ya Precision Air: Ripoti yabaini hakuna Control Tower, Boti za Uokozi zilichelewa, Mhudumu na Abiria ndio waliofungua mlango

    Imefahamika kuwa licha ya Jeshi la Wanamaji kujulishwa tukio la ajali, Boti rasmi ya uokoaji ya Kitengo cha Wanamaji ilichelewa kufika eneo la ajali na sababu ni kwamba haikuwepo katika Bandari ya Bukoba - Pia, pamoja na Askari wa Kitengo cha Wanamaji kuchelewa kufika, hawakuweza kufanikisha...
  10. tamsana

    Taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya precision kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Air Bulletin Accident)

    Shujaa Majaliwa hatajwi kwenye report hiyo. Jisomee mwenyewe.
  11. Lady Whistledown

    Baraza la Mawaziri la serikali ya Tanzania limepokea taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Novemba 6, 2022

    Baraza la Mawaziri la serikali ya Tanzania limepokea taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Novemba 6, 2022, Bukoba mkoani Kagera na kugharimu maisha ya watu 19. Kauli hiyo imetolewa hii leo Novemba 14, 2022, jijini Dodoma na Msemaji Mkuu wa serikali kufuatia maelekezo...
  12. BARD AI

    Waathirika ajali ya Precision Air waanza kulipwa fidia kwa siri

    Ikiwa zimepita siku saba tangu kutokea kwa ajali ya ndege ya Shirika la Precision Air na kusababisha vifo vya watu 19, shirika hilo limeanza mchakato wa malipo ya fidia kwa familia zilizoathiriwa na ajali hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Novemba 14, 2022, Mkurugenzi wa...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mashujaa wasiofahamika ajali ya ndege PW Bukoba

    Brenda na Lydia walikuwa ni wahudumu wa ndege ya Precision iliyopata ajali ziwani kule Bukoba. Mabinti hawa warembo ni kama mchango haupo au ni kidogo sana, lakini ni hawa ndio walio watuliza akili abiria waliokuwa katika taharuki kubwa, ni hawa ndio waliogawa life jackets, na pia ni hawa...
  14. JanguKamaJangu

    Marekani: Ndege mbili zagongana angani wakati wa maonesho ya kijeshi

    Ndege hizo zilikuwa katika maonesho ya Kumbukumu ya Vita ya Pili ya Dunia (WWII) katika Jimbo la Dallas na baada ya tukio hilo zilidondoka chini na kutokea mlipuko mkubwa huku wananchi wakishuhudia. Haijaweka wazi idadi ya waliokuwemo ndani ya ndege hizo aina ya Boeing B-17 Flying Fortress na...
  15. Replica

    Rais Samia aitisha Baraza la Mawaziri kwa dharula, kujadili ajali ya ndege ya Precision

    Rais Samia Suluhu ameitisha kikao cha dharula na baraza la mawaziri kujadili ajali ya ndege ya precison iliyobeba uhai wa watu 19. Wakati ajali inatokea Rais Samia alikuwa nchini Misri. Mara ya mwisho baraza la mawaziri kuitishwa kwa udharula huu ni miaka ya 90. ===== President Samia Suluhu...
  16. Dibwi Method

    Tuache siasa ajali ya ndege ya Precision Air

    Inasikitisha sana kuona wasomi wengi wamejikita kwenye ku-identify watu waliosaidia/waliookoa abiria 24 waliokuwa kwenye ndege ya Precision Air iliyofondoka Ziwa Victoria siku kadhaa zilizopita. Binafsi naamini kwamba hakuna aliyeokoa abiria hao Kwa ajili ya spotlight, ni tendo la kibinadamu tu...
  17. Dr Rutagwerera Sr

    Serikali iwalipe fidia familia za wahanga ajali ya ndege Bukoba

    Kuna haja ya Serikali kuzilipa fidia familia za wahanga wote wa ajali ya ndege kutokana na uzembe uliosababishwa na kukosa uweledi kwenye uokoaji. Suala la uokoaji ni dhima ya serikali, wala haikupaswa kuwa shughuli ya wavuvi. Nashauri familia za wahanga waungane na kufungua kesi dhidi ya...
  18. Nyankurungu2020

    Taifa linafanyiwa ubadhirifu na wahuni wachache halafu mnabaki kumletea lawama Waziri Majaliwa kisa tu ajali ya ndege Bukoba

    Leo hii mgao wa umeme umekuwa kero kwa taifa letu kiasi cha kuporomosha uchumi wa wananchi lakini mnachukulia poa. Hiyo kampuni ya Mahindra group iliposaini mkataba wa bil 78 kuiboresha TANESCO mbona haijaboresha? Bunge linapitisha kuwa serikali ikope tril 10. Halafu zinakopwa tril 15 bila...
  19. Analogia Malenga

    TANZIA Stekamba Dunia, member wa JF ni mmoja wa marehemu wa ajali ya Ndege Bukoba

    Ajali ya ndege iliyoua watu 19 kule Bukoba imeondoka na mmoja wa member wa JF Stekamba Dunia
  20. BARD AI

    Aliyefariki ajali ya ndege azikwa siku ya ‘birthday’ yake

    Simanzi na majonzi vimetawala katika mazishi ya mmoja kati ya abiria 19 waliofariki katika ajali ya ndege iliyotokea Ziwa Victoria mkoani Kagera, Zaituni Mohamed (28), ambaye amezikwa tarehe ambayo inafanana na siku aliyozaliwa. Leo Jumatano Novemba 9, 2022 tofauti na misiba mingine ulinzi...
Back
Top Bottom