Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Mh. Ridhiwani Kikwete,
Najiuliza, je, tunafahamu hali halisi ya ajira kwa vijana wa Kitanzania, hasa wanapokuwa wanatumikishwa na wawekezaji kutoka nchi za nje, kama vile wachina? Hali hii imefikia hatua ya kutisha ambapo vijana wa Kitanzania wananyanyaswa na kuzidi...
Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, viwanja vya kuweka biashara. Kuuza kiwanja cha kiwanda kwa @20,000 kwa mita moja ya mraba au 30,000 kwa sqm au 50,000 kwa sqm ni bei juu mno na inaua uzalishaji wa bidhaa hasa kwa vijana na wazawa, hakuna kijana mwenye milioni 500 au 1B kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatatu Februari 17, 2025 amekutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) akihimiza suala la Ujenzi wa viwanda na ufufuaji wa Viwanda vilivyokufa Mkoani Arusha kama sehemu ya Mkakati wa kukuza dhamira njema ya...
Uchunguzi wangu binafsi nimegundua dunia ya Sasa ni rahisi mno kupata hela Kuliko kupata ajira rasmi.
Hapa Tanzania watu wengi wanaPata pesa sana ila hawana ajira rasmi.
Asilimia kubwa sana ya Watu wana MAISHA MAGUMU
Asilimia kubwa ya vijana hawana AJIRA
Lazima CCM watashindwa au kuwa wa mwisho au kushika Mkia
Je, CCM watapata kura wapi wakati asilimia kubwa ya watu wana hali ngumu?
Unakuta kijana ana miaka 30+, ametumia miaka 28 au zaidi shuleni hadi kuhitimu shahada yake ya udaktari.
Anarudi nyumbani bila ajira. Hana mtaji na hana ujuzi zaidi ya alichosomea. Wazazi nao hawakuwa na ajira rasmi, walikuwa wanaungaunga tu ili mtoto wao apate elimu aje kuwaokoa. Kijana...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kufungua fursa zaidi za ajira kwa watanzania nje ya nchi.
Aidha, Mhe. Ridhiwani amesema serikali...
Mradi wa uchimbaji mkubwa wa dhahabu uliopo Nyanzaga - Sengerema unatarajiwa kuanza kazi za awali za ujenzi wa mgodi ifikapo Januari, 2025.
Hayo yamebainishwa leo Oktoba 11 , 2024 na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde, wilayani Sengerema katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya...
Nimefanya kazi sehemu tofauti tofauti kwenye sekta binafsi (Kampuni).
Nimekutana na mengi kwenye makampuni. Kwa wanaitafuta ajira/ mliopo kazini kuwa makini na yafuatayo;
Kampuni nyingi zisizotoa mikataba ya kazi nyingi ni wadhurumaji.
Kuwa makini na kampuni changa hasa za waswahili. Utaishia...
Tega sikio msikilize!
Mnawaambia vijana hawana ajira wajiajir wakati nyie mmeshindwa kujiajri mmeomba ubunge, wote hapa mmeshindwa kujiarijiri wengine ni Maprofesa mmo humu, mmeomba ajira kwa wananchi ya Ubunge.
Pia soma:
Viongozi wanavyosema kila siku vijana wajiajiri, kuna hata mmoja kati...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran aliyeongozana na Meneja wa Kanda ya Kati wa ATE, Bw. Leonard Mapha...
afisa
afisa mtendaji
afisa mtendaji mkuu
ajiraajirakwavijana
akutana
chama
kikwete
mazungumzo
mikakati
mkuu
mtendaji mkuu
ridhiwani
ridhiwani kikwete
tanzania
vijana
waajiri
Serikali ya CCM chini raisi Samia Suluhu Hassan. Naomba sisi vijana tulio soma iwe kuanzia form four(aliyefaulu) or Veta(NVC 3) na kuendelea kwenye hiyo miradi na huku mitaani na mtuwekee kipaombele/ au mazingira wezeshi Yaani Kwa mfano haya makampuni ya kichina yanayo jenga miradi ya serikali...
Inakadiriwa kuwa vijana wapatao milioni 23.6 barani Afrika (wenye umri wa miaka 15-35) hawana ajira – sawa na mmoja kati ya 22 (4.5%). Kwa idadi hii kutarajiwa kuongezeka hadi milioni 27 ifikapo mwaka 2030, umuhimu wa ajira ni wa hali ya juu. Katika muktadha huu, World Data Lab na Mastercard...
CHANGAMOTO KUU : Zaidi ya vijana 885,000 wanaohitimu masomo vyuoni kila mwaka hawana Ajira, Mbaya zaidi jamii zetu tunazotoka bado zina matatizo makubwa kama usosefu wa nishati bora, magonjwa yanayozuilika, Ukosefu wa vyoo safi, ukosefu wa chakula, mbinu mbovu za uzalishaji, ubovu wa...
TANZANIA TUITAKAYO: JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) LIWE SULUHISHO LA AJIRA KWA VIJANA
UTANGULIZI: Mfumo wetu wa elimu umekuwa na changamoto kubwa katika kutimiza ndoto za wahitimu wengi.Hii ni kwa sababu mfumo huu upo katika muundo wa msonge kwa maana kuwa katika ngazi za chini(Shule za Msingi na...
Kwa nini kumekuwa na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana hasa wahitimu wa vyuo vikuu nchini Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla? Migogoro bungeni, wazazi kwa vijana, vijana na jamii kwa ujumla juu ya ukosefu wa ajira kwa vijana. pia utegemezi mkubwa wa bidhaa kutoka mabara ya dunia...
SOKO LA AJIRA KWA VIJANA WENYE ELIMU YA KIDATO CHA NNE NA KIDATO CHA SITA.
TUJIULIZE MASWALI YAFUATAYO.
Je vijana wenye elimu ya kidato cha nne na sita wanasaidiwaje katika soko la ajira?
Je mfumo wetu wa elimu umewatengenezea ujuzi wowote hawa vijana waliohitimu kidato cha nne na cha sita na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.