Na Kevin Lameck
Siku ya Kimataifa ya Vijana inaadhimishwa leo na kila mwaka tarehe 12 Agosti, ikileta maswala ya vijana kwa jamii ya kimataifa na kusherehekea uwezo wa vijana kama washirika katika jamii ya leo.
Vijana ni kundi muhimu katika taifa lolote lile duniani. Hii ni kutokana na ukweli...
MABILIONI YA RAIS SAMIA YAMPA IMANI SHAKA KUWAKOMBOA VIJANA KATIKA KILIMO
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema dhamira ya dhati ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuitazama kwa karibu sekta ya kilimo, ikiwemo kuongeza bajeti ya Wizara Kilimo...
KWANINI VIJANA WA TANZANIA WENYE NDOTO ZA KUPATA FURSA ZA AJIRA,ELIMU,KUJITOLEA KATIKA NCHIZA ZA UMOJA WA MATAIFA( NCHI ZA NJE) HUISHIA KUTAPELIWA,KUPATA VYUO VYA UCHOCHORONI AU KUKOSA NAFASI KABISA?
Tanzania ina vijana wasomi Tena wengi sana kutokana na wimbi la kukosekana ajira wanajikuta...
1.0 Ikisiri
Nchi nyingi duniani zinakumbana na changamoto ya ajira kwa vijana. Hii ni kutokana na ongezeko la idadi ya wahitimu katika ngazi mbalimbali za elimu ingali hapajatengenezwa mazingira rafiki kwa ajili ya kuwaajiri au kujiajiri vijana hao. Pamoja na kuonekana madhara makubwa...
Wapo watu wanaowakejeli waajiriwa wanadai eti kama "Mtu asiye na Elimu anaweza kuosha Magari mtaani na akaweza kukuza kipato” kuna sababu gani ya kuishi Maisha magumu Kazini au Ofisini ?
Upo Ukweli wa namna Fulani katika kauli hii kwakua wafanyakazi wengi wanaishi Maisha ya Ukata, kazi yao...
Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani ambayo imekuwa na changamoto ya vijana kukosa ajira mara baada ya kuhitimu masomo. Kumekuwa na mitazamo mingi juu ya tatizo hili ambapo wengine wamefikia hatua ya kusema ni bomu linalojiandaa kulipuka.
Kwa vyovyote vile kuna haja ya kulipa kipaumbele suala...
Naandika nikiwa na masikitiko makubwa sana.
Ina maana viongozi wetu hawaoni kwamba umachinga na bodaboda sio suluhisho la uhakika kuhusu ajira? Viongozi wote wa Chama Tawala na upinzani kwa nyakati tofauti wamekuwa wakitumia makundi haya mawili ku-boost agenda zao za kisiasa wakati wakijua hizo...
Nina wazo au proposal ambayo inahusu mradi mkakati mdogo utakaohusu kilimo na ufugaji kwa vijana waliohitimu vyuo nk.
Kama mnavyojua tatizo kwenye jamii ni fursa pia tena kubwa nimeandika proposal ambayo itakuwa inakusanya vijana kuanzia 50-100 kufanya kwa pamoja mradi wa kilimo na ufugaji...
Nimekuwa nikiumizwa sana na vijana wengi wanaomaliza masomo kila mwaka na kukosa ajira.
Uchunguzi niliyofanya nimegundua kuwa ajira karibu zote zinagawiwa kwa watoto wa viongozi wa kisiasa na serikali.
Hakuna mtoto wa kiongozi asiye na ajira kama walivyo watoto wawakulima na wafanyakazi wa...
Naitwa Fausta nina umri wa miaka 21 naishi Dar nina elimu ya chuo nimesomea secretary nina uzoefu wa mwaka na miezi 6. Natafuta kazi pia usafi maofisini naweza nisaidieni waungwana
Jaji Warioba anasema katika kipindi cha miaka 60 ya Uhuru wa nchi yetu bado Ajira kwa vijana ni tatizo kubwa.
Jaji Warioba ameshauri mfumo wa elimu uangaliwe upya.
CHanzo: BBC Dira ya Dunia!
Kila mwaka wanavyuo wengi wana graduate na kurundikana mtaani bila ajira huku wakihangaika kutafuta ajira bila mafanikio. Serikali kama mdau wa ajira nchini inapaswa kuja na wazo la ajira za mkataba kama ifuatavyo;-
1.Kwenye utumishi wa umma:
Mfumo wa ajira za maisha uondolewe yaani nesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.